Nimesoma International Relations, naomba mbinu za kupata kazi

namriny

Senior Member
Mar 21, 2020
172
186
Nina bachelor degree ya IR (International Relations)

Nmeomba kazi kuanzia January hadi hivi ninavyoongea yaani kila siku nikiona tangazo la kazi nliyosomea na apply
Ila sijapata chochote, wale wenzangu waliomaliza wakapata kazi mnatumia mbinu gani?
 
Sasa hivi wengi wana watu kwenye system. Nafasi zikitoka wanawajulisha mapema utaratibu mzima na hata interview yenyewe.
Uko wapi wewe?
 
Jitahidi kuwa na watu wenye uzoefu na nafasi hizo za IR, interview zao na kazi hiyo kwa ujumla
 
Pole sana na changamoto ya ukosefu wa ajira, usikate tamaa, kuna watu wana over 3 yrs mtaani na bado wanapambana, ningekushauri uingie kwenye masuala ya kujiajiri lakini najua huku napo si rahisi.

Ushawahi kutembelea sherehe zozote za kibalozi hapa tanzania???
 
Nilitembelea kipind niko chuo
Pole sana na changamoto ya ukosefu wa ajira, usikate tamaa, kuna watu wana over 3 yrs mtaani na bado wanapambana, ningekushauri uingie kwenye masuala ya kujiajiri lakini najua huku napo si rahisi.

Ushawahi kutembelea sherehe zozote za kibalozi hapa tanzania???
 
Jamaa mmoja kazunguka na bahasha hadi kachoka, I just told him to find an alternative, white collar jobs kipindi hiki uwe na bahati sana. Tena kipindi hiki ambacho companies are laying off experienced workers, nah tafuta mbinu nyingine kuishi mjini.
 
Back
Top Bottom