Nimesoma Diploma ya Procurement pia nina cheti cha ufundi wa magari natafuta kazi

FrankMakeps

Member
Apr 1, 2013
40
95
Habari ndugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, Natafuta kazi yoyote kati ya hizi nimemaliza Diploma ya Procurement na pia nna cheti cha ufundi wa magari level II pia nnayo lesen yenye madaraja yafuatao,A,A2,B,C1,C2,C3,D,E,F,G.

Nipo tayari kufanya kazi yoyote kati ya hizo.

Naombeni msaada wenu, Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,470
2,000
Una leseni kubwa hivyo.. bado unakosa kazi.. ama hujui kuendesha magari ya abiria na malori... leseni hujaifanyia kazi..

Dala dala zimejaa kibao, uber kibao, serikali inaajiri madereva kila mara.. why huwe na leseni class E na C1 na diploma juu.. maana yake cheti cha form 4 unacho... uchawi wa ajira ya udereva ni cheti cha form 4 na leseni kubwa.. wewe vyote unavyo... why ukose kazi..

Ama hujui kuendesha gari kubwa
 

May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
3,786
2,000
Wewe si unaona Wanasiasa wenyewe wanahangaika, mara huku mara kule....angalia namna ujiajiri ajira ni ngumu Kaka,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom