nimesoma degree ya kiswahili lakini nataka nisome masters ya public health itawezekana kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nimesoma degree ya kiswahili lakini nataka nisome masters ya public health itawezekana kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by bigmukolo, Mar 6, 2012.

 1. b

  bigmukolo Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  naombeni mnisaidie kuhusu hilo kwani linanichanganya sana mwenye taarifa zaidi anijuze
   
 2. Nelsweeter

  Nelsweeter Senior Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haiwezekani
   
 3. Najuta Kukufahamu

  Najuta Kukufahamu Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha..Makubwa!! kutoka ngeli nomino na vitenzi..aixee ..
   
 4. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Searching.....!
  Please wait....!
  Loading system files...!
  Cannot open system files,they might be corrupted or deleted!
  Instal them later!
   
 5. d

  dav22 JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  haiwezekani kusoma hiyo kitu Kama hujasoma any coz ya mambo ya Mediciene, Sociology au kwa wale wa IT kama umesoma kitu chochote kuhusiana na Health Informatics ndo unaweza soma hiyo kitu.
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  We kawe ticha tu.
   
 7. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Na waliosome HR mbona wanafanya hiyo master?
   
 8. +255

  +255 JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Hiyo mixture unayotaka kutengeneze ni balaa..Mbona ka havina uhusiano kabisa ingawa inawezekana!? Nakushauri degree ya kwanza fanya yoyote inayohusiana na Management af ndo uje upige hy kitu unayotaka manake na yenyewe inahusiana na Management.
   
 9. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Wasikuzingue ndugu kwa wingi na utitiri wa hivi vyuo vya kata unaweza kusoma..ni mkwanja wako tu.

  kama huamini nachokwambia tafuta cv ya dr haji mponda waziri wa afya uone alisomea nini hadi baadae akasomea mambo ya health management.
   
 10. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  fanya masters ya linguistics itakutoa.
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Sina hakika kama hayo mambo mawili yanaendana!!!!!!!
   
 12. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Google hiyo course kwenye vyuo ujue sidhani kama hili linahitaji kutufikirisha,vinginevyo kama unataka ushauri kuhusu uamuzi huo
   
 13. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana ndugu yangu, ila utapata shida mwanzoni lakini uta adapt baada ya muda. Itabidi utumie nguvu nyingi ili usije ukadakwa mengi.

  kwa kuanzia search hebrew university of jerusalem, public health. website nimesahau ila ukisearch utapata.
   
Loading...