Nimesoma computer science, nimefundisha physics na math kwa miaka 7 natafuta kazi

Hapana. Kwa sasa nimejikita kwenye GRAPHICS hasa Matangazo ( audio, video n.k). May be nikuunganishe ya mtu anayefundisha JAVA SCRIPT

kaka kwa degree ya computer science. ni vizuri ukajua vitu muhimu vya computer.. hivyo unavyovijua hata sisi wa art na business tunavijua.. mfano mimi sijawai kusoma computer popote ila ni graphic designer mkubwa sana kariakoo.... mimi nilitegemea computet science mnafanya coding na kutengeneza apps.. ila eti unasema graphics tu... unajishusha sana kaka.. graphics ni rahisi sana.. usiitegemee sana watu wengi hata form 4 hawajamaliza wanajua graphics...
 
Vifunza python ama swift kaka
Kwenye Programming unaweza kuwa mzuri kwenye lugha fulani ila huwezi kuwa programmer halafu usiwe hata na curiosity ya lugha nyingine hasa basics.Vile kimsingi kanuni za Programming ni zile zile regardless of Lugha unayotumia.Ninachotaka kukwambia ni kwamba kwa Computer Programmer ni vizuri ukaelewa lugha anuai.Ila ukahakisha umemaster Lugha Moja au hata tatu ili uweze kufanya kazi kwa raha.
 
Hii course bwana wahitimu wake 95% majivuno kibao hela hakuna, nilipiga hii course lkn haina hela kabisa, lkn hii niliohamia, nimeweza kujiajiri mimi na wengine na sasa mambo mungu ananijaalia sio haba.
 
Jamani wana jamii mimi nimemaliza computer science pia nimefundisha masomo kwa takribani miaka 7 sasa natafuta kazi.

Nina uwezo wa kufundisha

1. ICT
2. PHYSICS
3. MATHEMATICS
4. PIA NAFANYA GRAPHICS AND COMPUTER DESIGN
COMPUTER DESIGN NI NINI?HEBU TUWASILIANE
 
learn how to code.utatafuta ajira hadi lini
Mkuu nashangaa watu tuna internet lakini hatuitendei haki matumizi yake. Nimemaliza UD mwaka 2015 na baada ya kuona mambo si mambo ikabidi niingie zangu mzigoni na bundle langu la internet na pc yangu kujifunza kucode. Huwezi amini the job market for developers ni very unsaturated. Watu wale wale tunakutana projects mbali mbali na hela nzuri tu unapata. Companies zinakushawishi upige nao full time so ni wewe na unachokitafuta. Ila siwezi laumu mtu aliyesoma course hiyo kutoka UD kuwa shallow maana ufundishaji wa kule sio kabisa. Na mimi chuo sikusoma anything related to programming hapo ila right now I'm proud to say I'm a full stack developer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujasoma popote form 4 ndo level yako kubwa
Hawa ndo Vinara wa Ku Download na Ku Supply Movie Kali Vyuoni. Kichwani Sifuri. Anafikiri Computer Science ni kuwa updated na Movie mpya. Rudi tena Shule mkuu kama Una Bachelor ya hii kitu HTML na Java basic zake nazijua ila mimi nisoma BAF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom