Nimesitisha shughuli zote za kutongoza kwa kipindi cha miezi6 ya mwanzo kupisha mikosi inayoniandama..

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
1,160
1,191
Habari wakuu..

Nimekuwa na msimu mbovu kuwai tokea kwny carrer yangu hii ya kutongoza. Sielewi nini chanzo..

Mwanzoni mwa msimu huu ulioanza mwezi July, nilikuwa na jumla ya wapenzi5. Wote walikuwa Active. Tulichati na kupigiana simu kila wakati. Kwa hakika Mambo yalikuwa ni Moto, yani Mambo ni fireee..

Kilichokwamisha, ni kuwa mie nilikuwa Mkoani. Ila wao wote kwa pamoja walikuwa Daslam.

Sasa leo nimekuja dar, wote hawaeleweki. Si Marium. Si Ashura. Si Mwajuma. Si Rose Na wala si Neema..

Wote eti wapo bize so hawawezi onana nami. Nikajisemea 'Huu sasa ufala, napiga Window Chini. Naanza upya'

Futa namba zote. Muhuni nikarudi msakoni..

Kuna Mother wa makamo jilani yangu hapa. Nikaambiwa hana Mume. Anaishi peke yake tu. Baharia nikasema Mambo si haya sasa. Nikamsomesha B Mkubwa, naye hakuwa na shida. Akasema fresh ila akiskia nawanawake wengine huo ndio utakuwa mwisho wetu.

Nikamwakikishia yuko peke ake. Basi akafurahi. Maisha yakaanzia palee.

Kilichofanya niachane na huyu Mother ni utoto wake. Aisee B mkubwa wa37+ ila mambo yake ni km vile unamdate Kichaa. Mara hapokei simu. Mara asije location na pesa ya lodge ushatoa. Kwa kifupi nikachoka. Nikamwambia tusitishe.

Week mbili nyuma nilipata ugeni wa mpenz wangu wa zamani toka mkoani. Nilifurahi sana. Ila naye amefika Dar akawa haeleweki tenaa.. Mara niko bze. Mara niko na dada. Yan adi nikajiuliza ilikuwaje ukaniambia km unakuja sasa. Boya kweli ww..

Bda ya pale nikapata km madem wawili. Nao mambo yakawa vile vilee. Pasua kichwaa..

Juzi kati, nikakutana na mrembo maeneo ya M/city. Nikajisemea huyu akijaa naoa kabisaa.

Basi nikamsemesha na Mrembo akaitikia wito. Nikamsalimia, tukapiga story mbili tatu. Kisha akaniachia namba yake.

Nimefika home nikampgia. Tukapiga story km lisaa limoja. Kwakweli nilifurahi sanaa. Mrendo alinionesha nia ya kunihitaji km vile mie nilionesha kwake.

Ilikuwa haipiti lisaa bila kunitafuta. Maisha yakawa raha mustarehe..

Nikasema nifungue fixed acc special kwa kutunza mahari ili kufikia mwakani nipeleke posa kwa wazee wake..

Aisee ninavyoongea hapa hata simu yangu hapokei tena. Imenibidi nicheke tu. Kaniachia picha zake tu.

Sasa imenibidi nisitishe shughuli hizi kwa muda wa miezi6, nitaongeza muda ama kupunguza kutokana na viashiria nitakavyoviona

Nikitaka kwenda Ambianc Pub ama Brazil ile ya tegeta nashukia wap wakuu

Nawasilisha..
 
Shikilia papo hapo kama uko makini kutaka kujenga urafiki na Mwanamke anayekuja kuwa mke mwema katika maisha yako daima.

"NO LONGER AT EASY"

"NO PAIN NO GAIN"

"USE THE CHALLENGE AS OPPORTUNITY"
 
usilolijua kila mwanamke ana vimikosi au viroho vyake once you sleep naye unaondoka na hizo roho....think of how many dadaz umewalala?wamekuambukiza maroho mangapi?
 
Sitakiwi kuamini ulichoandika, ila kuheshimu maon yako

Back
Top Bottom