Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Kwa nini usigenunua P2 ili uwe na uhakika kuliko nguvu ya coca,, huyo kakutega kubali yaishe lea mimba
 
Suruhisho la mwisho ni Ultra sound
Ultrasound Ina Majibu tata mkuu, labda sijui za sehemu zngne Kama zinasema ukweli

Mimi nilifatiza hiyo nikpga Hesabu na sema si wangu , lakn baadae ikawa inapshan yenyew ,
Be patient subr miez Hadi ajifungue unawez kuhusianish

NB:- usiwe upande wowote
 
Sawa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom