Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 10,766
- 18,620
yeah!! haelewi huyo nanga ndo moja ya angle za kumbana!!Mkuu wa shule kadharau sikukuu ya kitaifa

Sina sababu ya kuficha chochote. Barua sio ya ONYO wala kuachishwa kazi bali ni ya kusimamishwa kazi. Ningeiweka hapa ila haitakuwa busara(Cha ajabu ni kuwa leo amekuja na kunitaka nikabidhi mali za shule na kunipa barua ya kunisimamisha kazi afanye uchunguzi halafu ataniita kwa utetezi.
Kosa kwenye barua ni hilo la kutofika kazini siku hiyo.
Kwa ninavyomjua ni dhahiri kuwa kifuatacho ni barua ya kunifukuza kazi.)
================
Kwa maelezo yako hapo... Kuna ukweli umeificha... Umepewa onyo au barua ya kuachishwa kazi??
Cc: mahondaw
Mkuu kuna kitu kimejificha hapo hutaki kuweka wazi..Sina sababu ya kuficha chochote. Barua sio ya ONYO wala kuachishwa kazi bali ni ya kusimamishwa kazi. Ningeiweka hapa ila haitakuwa busara
tMkuu kuna kitu kimejificha hapo hutaki kuweka wazi..
Yani hukufika kazini siku moja alafu akuandikie barua ya kukusimamisha kazi ili afanye ufhunguzi...
Sasa anschunguza kama hukufika kazini au ulifika? Au anachunguza nn?!
pole sana kkWakuu habari za mchana na poleni kwa majukumu.
Nimeajiriwa kama mwalimu katika shule moja inayomilikiwa na kanisa. Mnamo tarehe 07/04/2017 mkuu wa shule alitutaka tufike kazini japo ilikuwa ni sikukuu ya kitaifa (Karume day). Nilitoa udhuru kwamba licha ya kuwa ni siku ya mapumziko pia nilikuwa na masuala ya kifamilia niliyopanga kurekebisha siku hiyo.
Baada ya siku hiyo mkuu alikuja akatangaza kuwa anatoa likizo kwa wafanyakazi wote kuanzia tarehe 12/4-23/4/2017 isipokuwa mimi niendelee kufika kazini kama kawaida. Nilitimiza amri yake na kufika shuleni siku zote bila kunung'unika au kulalamika hadi jana shule ilipofunguliwa.
Cha ajabu ni kuwa leo amekuja na kunitaka nikabidhi mali za shule na kunipa barua ya kunisimamisha kazi afanye uchunguzi halafu ataniita kwa utetezi.
Kosa kwenye barua ni hilo la kutofika kazini siku hiyo.
Sina rekodi ya makosa na sijawahi kupewa barua yoyote ya onyo.
Kwa ninavyomjua ni dhahiri kuwa kifuatacho ni barua ya kunifukuza kazi.
Ninaomba ushauri wenu nifanye jambo gani maana naona wazi haki zangu zinaminywa na mkataba wangu unaelekea kumalizika.
Natanguliza shukrani zangu kwa ushauri mtakaonipatia.

Kwel kabisa ndomana ikaitwa "jamii forum"ivi mnajua tunajifunza mengi sana uku sasa nyie watu wa kila kitu ni PM haaaa
c mtupe izo nondo tuambulie kidogo
Ndugu yangu nahitaji msaada wa kisheria kuhusu uhamisho wa mke wangu.ntashukuru kama utanisaidiaNi pm kwa msaada wa kisheria.