Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,683
Jana niliona jinsi wananchi wa mkoa wamara walivyokuwa wanashabikia ukeketaji wa vibinti vidogo tena siyo kwa ridhaa yao
Sheria zipo na wanazivunja na vyombo vina kaa kimya
Hivi hawa watu wapo juu ya sheria ama vyombo vimeshindwa kufanya kazi
Sasa hawa ni wazazi wa kesho itakuaje?
Kuna mmoja alikimbia na hii inaonyesha wazi kuwa watoto hawapendi ila wanalazimishwa kufanyiwa kitu wasichopenda.
Imeniuma sana