nimesikitishwa sana

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Jana niliona jinsi wananchi wa mkoa wamara walivyokuwa wanashabikia ukeketaji wa vibinti vidogo tena siyo kwa ridhaa yao
Sheria zipo na wanazivunja na vyombo vina kaa kimya
Hivi hawa watu wapo juu ya sheria ama vyombo vimeshindwa kufanya kazi
Sasa hawa ni wazazi wa kesho itakuaje?
Kuna mmoja alikimbia na hii inaonyesha wazi kuwa watoto hawapendi ila wanalazimishwa kufanyiwa kitu wasichopenda.
Imeniuma sana
 
Ingeundiwa sheria hawa jamaa wanaofanya hii kitu washughulikiwe kama wabakaji labda ingesaidia..
 
Jana niliona jinsi wananchi wa mkoa wamara walivyokuwa wanashabikia ukeketaji wa vibinti vidogo tena siyo kwa ridhaa yao Sheria zipo na wanazivunja na vyombo vina kaa kimya Hivi hawa watu wapo juu ya sheria ama vyombo vimeshindwa kufanya kazi Sasa hawa ni wazazi wa kesho itakuaje? Kuna mmoja alikimbia na hii inaonyesha wazi kuwa watoto hawapendi ila wanalazimishwa kufanyiwa kitu wasichopenda. Imeniuma sana
Mkuu wamevunja sheria gani.
 
Jana niliona jinsi wananchi wa mkoa wamara walivyokuwa wanashabikia ukeketaji wa vibinti vidogo tena siyo kwa ridhaa yao
Sheria zipo na wanazivunja na vyombo vina kaa kimya
Hivi hawa watu wapo juu ya sheria ama vyombo vimeshindwa kufanya kazi
Sasa hawa ni wazazi wa kesho itakuaje?
Kuna mmoja alikimbia na hii inaonyesha wazi kuwa watoto hawapendi ila wanalazimishwa kufanyiwa kitu wasichopenda.
Imeniuma sana

mila zingine we zisikie tu....hii itachukua muda sana hawa jamaa kubadilika.......tena umesema ni mkoa gani vile?....let me end here
 
mila zingine we zisikie tu....hii itachukua muda sana hawa jamaa kubadilika.......tena umesema ni mkoa gani vile?....let me end here

Mkoa wa MARA
Jamani oneni aibu
Kwa nini mnawakeketa wakina Bhoke, Obhari, Nyanswi, n.k.
Embu ondokaneni na mila zisizokuwa na faida
 
Mkoa wa MARA
Jamani oneni aibu
Kwa nini mnawakeketa wakina Bhoke, Obhari, Nyanswi, n.k.
Embu ondokaneni na mila zisizokuwa na faida
Kama kuchinjana, kwao wanaona kama utukufu ije kukeketa? Hata ukikimbia usikeketwe, ole wako ubebe mimba siku ya kujifungua hosptal vibibi vinakuja ukiwa na uchungu vinakufyeka tu. Hao jamaa sijui wakoje hakuna waku elimisha wengine MABISHIII.... MAGOMVIII......
 
Ingawa sidhani kama ni wote wana tabia hii , ila kuna amboa wamejikita sana katika hili jambo:A S-alert1:
Ila hii mijamaa ina akili sana kwenye mambo mengine hasa ya maendeleo
Nashangaa kwanini kuliondoa hili imekuwa taabu
Ingawa siyo wao tu maana kuna mikoa kama kilimanjaro,singida , dodoma , manyara n.k hizi tabia za ukeketaji zipo ila hazijazidi kama mkoa wa mara
 
Jana niliona jinsi wananchi wa mkoa wamara walivyokuwa wanashabikia ukeketaji wa vibinti vidogo tena siyo kwa ridhaa yao
Sheria zipo na wanazivunja na vyombo vina kaa kimya
Hivi hawa watu wapo juu ya sheria ama vyombo vimeshindwa kufanya kazi
Sasa hawa ni wazazi wa kesho itakuaje?
Kuna mmoja alikimbia na hii inaonyesha wazi kuwa watoto hawapendi ila wanalazimishwa kufanyiwa kitu wasichopenda.
Imeniuma sana
Sidhani kama kuna sheria hapa!
 
Mkoa unachafuliwa na kabila moja ambalo limegawanyika into vikabila vingi vidogo vidogo ndo maana inaonekana ni mkoa mzima.. Are they above the law? Au kwa vile wajeshi wengi wa that tribe? Nakumbuka tukiwa wadogo tunaenda kwa babu xmass tukipita vijiji vya wakurya unakutana na makundi ya vibinti vimetoka kukeketwa wapo vifua wazi vimechorwa na kitu cheupe usoni na vifuani I used to ask so many questions.. mila zingine so barbaric..
 
Mie niliwahi kwenda tarime (kikazi) walitaka kunikeketa kisa nimewakamata wamekula pesa. Hawafai hao watu sijui wananini
 
Unifanyie mara ngapi??

Mhh haya mengine tena
Napendekeza sheria iwe hivi

Mtoto wa umri chini ya miaka 18 hawezi kuridhia tendo la ngono au kukeketwa na adhabu inayotolewa kwa wanaume/Ngariba wanaokiuka sheria hii ni kifungo cha maisha au kifungo kisichopungua miaka 30 jela
 
Back
Top Bottom