Nimesikitishwa na body language ya rais wetu dhidi ya watanzania

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Nilikuta picha ya Rais wetu katika Blog ya Michuzi akiwa katika mkutano pamoja na Rais wa RHODESIA,ukiangalia utaona kuwa Rais wetu anajaribu kujiweka mbali na Mugabe, hii inatokana na waingilishi kutompenda huyu jamaa, hapa ndio hujiuliza huu udugu wa nchi za kiafrika ukoje?

5166d1246663105-nimesikitishwa-na-body-language-ya-rais-wetu-dhidi-ya-watanzania-8e9u5643.jpg
 

Attachments

  • 8E9U5643.JPG
    8E9U5643.JPG
    32.5 KB · Views: 182
Last edited:
RHODESIA mazee? For real? Is somebody time traveling up in here? Or perhaps from a 30 plus year sentence?
 
Sasa tuambie huo undugu wa kiafrika huwa unawakilishwa vipi? na rais huyu alikosea vipi? na pia kama wewe je ni mtaalam wa body language au tu umependa kulitumia hilo neno! Eleweka na Rhodesia yako usizingue
 
Ana maono

kweli haya ni maono,
nikiangalia picha naona mkulu alitaka kukaa kwa kuegemea na mkono wake,kwa kutumia mkono wa kushoto anaonekana kasogea mbali na huyo anayetajwa sijui m-Rhodesia na kama angeegemea mkono wa kulia angemsogelea,na kwa kutumia maono ya body language angeonekana anamkimbia aliyeko kushoto kwake ambaye sijui ni nani-pengine ni waziri mkuu wa Rhodesia.
 
Hakuna hoja hapa .Jamaa naye alitaka kuongeza idadi ya post hapa na kupata wa kupoteza muda wetu kuongelea maono yake .Kwani hata hivyo ku distance na Mugambe ambaye ni dicteta kama CCM ilivyo CCM kuna ubaya gani ? Wote si wanajua style yao ya kubakia madarakani na kuogopana inaweza ikawepo pia au unasemaje mleta maono haya ?
 
Ana pointi. Jee katika seat arrangement walipngwa kukaribiana hivyo kimakusudi? Kama ni alphabeti ilitumika, basi herufi -- Z (Zimbabwe) na T (Tanzania au hata U (United Republic of T & Z) hazikaribiani -- kwani katikati kuna Uganda na zambia.
 
Wafrika tumehafilika we have got a long way to Go!!!!!!!!!!





Crossed legs can mean a lot of things--anxiety or self-consciousness.






Practical Body Language: 5 Ways a Person's Legs Reveal Their Thoughts





Remember that if you're not experienced in reading body language, you have to act like a detective and not just look at one or two aspects of a person's body. Like any successful detective, you'll find that it's important to look at as many clues as possible. I'll keep stressing that
lg.php




point because, well, it's important. The signals listed below should act as more of a guide than an authoritative statement on body language.

Crossed Legs

The legs indicate what the mind wants to do--that's the most important thing to remember. Crossed legs, therefore, indicate--anyone care to guess it? A closed mind.

If someone's legs are crossed, they're closing themselves off to the person they're speaking to. They're not comfortable with the person, and may be fearing attack on a very basic primordial level. Interestingly enough, getting the person to uncross their legs will almost invariably get them to open their mind up a bit more.

Note to the guys: a woman's crossed legs doesn't necessarily mean she's not into you. Remember, women wear skirts a lot--well, many of them do--and they may just be accustomed to it. And everyone should keep remembering to look for multiple signals, not just one--someone could be cold, therefore they cross their legs for warmth, or they could be wearing shorts and self conscious about a scar on their legs.

Straight Legs

Straight legs, of course, mean the opposite of closed legs--an open mind. This person is likely open to influence or at ease with the conversation, and standing in this manner yourself will subconsciously make people feel more at ease around you.

If the legs are wide open, however, the person is asserting dominance. Monkeys do this to display their genitals and declare themselves the masters of their groups.

For obvious reasons, this gesture is more common with men, especially when speaking to each other.








lg.php
 
..naona Kikwete anacheka wakati Gaddafi na Mugabe wako serious.
 
kweli haya ni maono,
nikiangalia picha naona mkulu alitaka kukaa kwa kuegemea na mkono wake,kwa kutumia mkono wa kushoto anaonekana kasogea mbali na huyo anayetajwa sijui m-Rhodesia na kama angeegemea mkono wa kulia angemsogelea,na kwa kutumia maono ya body language angeonekana anamkimbia aliyeko kushoto kwake ambaye sijui ni nani-pengine ni waziri mkuu wa Rhodesia.

Kiti cha kushoto mwa JK sio kitupu.
 
Jamani hivi kiswahili kigumu kiasi hichi???????ndio maana yake body language unatafuta visingizio kama hivyo na vyenginevyo ili kuiipritendi hali halisi,ee hebu nijiondokee zangu mie .
 
Mugabe ni mbabe na mwanaume rijali kisiasa achana na mashoga wa kisiasa!
 
nilikuta picha ya rais wetu katika blog ya michuzi akiwa katika mkutano pamoja na rais wa rhodesia,ukiangalia utaona kuwa rais wetu anajaribu kujiweka mbali na mugabe, hii inatokana na waingilishi kutompenda huyu jamaa, hapa ndio hujiuliza huu udugu wa nchi za kiafrika ukoje?

5166d1246663105-nimesikitishwa-na-body-language-ya-rais-wetu-dhidi-ya-watanzania-8e9u5643.jpg

acha uzushi
 
Mimi naona kuna aina ya messege hapa, Jk anakuwa yupo mbali sana kuliko alivyo yeye. sasa je kama angekuwa Nyerere ingekuaje au vipi?? Maana kwanini asiwe karibu na Mzee wetu wa kaya?? Mbona yupo mbali sana kuliko ilivyokawaida.
 
..naona Kikwete anacheka wakati Gaddafi na Mugabe wako serious.

Siyo kwamba wako serious ukiwaangalia wamemgeukia na kumshangaa anacheka nini. Yeye anacheka kaangalia mbele, kwa mantiki hiyo kilichokuwa kinaendelea kiko mbele ila jamaa walishtushwa na kicheko cha muuhishimiwa. Ingekuwa katuni bila shaka gaddafi angekuwa anasema "huyu naye vipi?" Ilhali Mugabe angekuwa na "huyu dogo ovyoooo!"
 
Back
Top Bottom