Nimesikitishwa na aina hii ya usajili unaofanywa na Mwenyekiti wangu Freeman Mbowe

Ametoswa Lowassa na bado CCM ipo!!! Who is Wema!?
Hahhahahahahahaha Ccm Bhana?? Eti ametoswa lowasa na bado ccm ipo eti eeh...... ila mkiambiwa muweke tume huru mnakuwa wakali. Ya'll know bila lubuva mngekuwa TCD sahivi so shida sio lowasa au wema kuondoka ni hta magufuli akiondoka bado ccm itabaki madarakani sio kwa sababu mnapendwa sana ila kwa kua tume sio huru...... kuprove hili utaona 2020 voter turnout itakuwa ndogo tokea uhuru coz wanajua hta wakichagua upinzani bado hautotangazwa
 
Tunachofanya sasa ni kama wanaume wanaovizia wanawake wanaoachwa na waume zao then sisi tunaingia kwa mbwembwe kwa lengo la kutaka kufunganao ndoa. Tunajua wameachwa kwa sababu gani? Tena muogope mwanamke anayeachika kwa mumewe then haraka haraka anakusanya virago vyake na kuhamia kwako. Je wakipatana na mumewe utakuwa katika hali gani? Siri zako zote zitakuwa hadharani.

Nikiri kwa dhati ya moyo kwamba, sijafurahishwa na aina ya usajili unaofanywa na Mwenyekiti wangu Freeman Aikael Mbowe. Dhamira ni njema ila aina ya watu tunaochukua kwa kweli tuna kila sababu ya kujiona hatujitendei haki.

CHADEMA si chama cha kuokoteza wanachama. CHADEMA si chama cha kutegemea mtu anayechukia CCM kwa sababu tu maslahi yake yamepokonywa. CHADEMA si chama zoa zoa. Kilijengwa kwa misingi imara ambayo iliasisiwa na wazee wetu Edwin Mtei na Bob Makani. Ninasikitika kusema kuwa tunawakwaza sana wazee hawa ambao walitumia nguvu kubwa kuweka misingi imara ya chama chetu.

Tulivyomchukua Edward Lowasa tulipewa propaganda kuwa anakuja na wabunge 50 pamoja na wenyeviti wa Mikoa 18 na Wenyeviti wa wilaya wa CCM zaidi ya 100. Hata hivyo, tulichoshuhudia ni kinyume chake. Leo hii tukifanya tathmini ya wanachama tuliowachukua utakuta zaidi ya nusu wamesharejea CCM kiakili na wengine wametangaza hadharani kukihama chama chetu.

Huku mitaani tunachekwa sana kwa sasa. Mwanzo walikuwa wanatuita kichaka cha mafisadi na sasa tumeongezewa ugonjwa mwingine wa kuwa kichaka cha wauza unga na mateja.

Niwasihi sana viongozi wetu. Tanzania hii ina watu wengi ambao wanaweza kuwa potential katika chama chetu. Hapa ndipo CCM wanapotushika. Sisi tunahangaika na Wema Sepetu mmoja ama Edward Lowasa ama Frederick Sumaye ama Laurence Masha ama Milton Makongoro Mahanga ama Kingunge Ngombale Mwiru, wenzetu CCM wanafanya usajili wa maana kwa kutekeleza ilani ya chama chao na kujali maslahi ya wananchi. Wapo busy kutekeleza miradi ya vijijini ambako kuna wapiga kura wengi. Sisi tunang'ang'ana na watu wanaotafuta unafuu wa maisha! Twafwaaaaaaa!
Uuu ni uharo mwingine....sorry to say
Maana unasema tunachukua waliojitoa...ina maana hao mabwana zako wanachukua wasiojitoa?
But...nimejua wewe ni nguruwe mweusi sina shaka.....utanyooka tu
 
2015 nlikuwa mpinzan but nimeamua kuuchambua upinzan nikakuta nao unamapungufu mengi zaid ya ccm.
Chadema is a lower version of CCM and this is the truth
Hyo chadema utalinganishaje na ccm wakati hamjawapa kufuli za ikulu?? Hyo ccm kwa miaka 50 imesaidia nni hasa?? Mbona wakenya wanatuzidi wakati wote tulianza same page?? Hao chadema wameshawahi kuongoza serikali afu wakashindwa kudeliver kma maccm??? Muwajaribu kwanza wakishindwa muirudishe ccm milele... sio kuanza kucompare ccm na chadema eti LOWER VERSION as if chadema wameshawahi kuongoza nchi na kuiacha maskini kma walivyoikuta
 
Wafuasi wanasaidia nini? Lowassa Ilikuwaje
Wafuasi wanasaidia nni??? Kura milion 6 unafkiri zote ni za wapinzani peke yao??? Lowasa alipata kura hata kutoka kwa wanaccm....... na kma sio tume kutokuwa huru leo hii magufuli angekuwa TCD
 
Fanteni yote lakini maisha magumu na watumishi wamepuuzwa na hii serikali na wanakansamizwa sn.
Na wana jambo la kufanya
 
We sio kada wa chadema.

Nimepitia post zako zoteeee kwenye profile yako. Wewe ni kuponda tu Chadema mwanzo mwisho. Hamna hata a single post you are neutral.

Ni kijana wa lumumba anayetumia jina la Kada Wa Chadema kama a tool of propaganda lakin umeferiii sanaa. Profile yako imekuumbua.

Lakini hoja yake ipo makini! ametusemea makada wengi wa CHADEMA asili hapa.
 
CCM wanafanya usajili wa maana kwa kutekeleza ilani ya chama chao na kujali maslahi ya wananchi. Wapo busy kutekeleza miradi ya vijijini ambako kuna wapiga kura wengi. Sisi tunang'ang'ana na watu wanaotafuta unafuu wa maisha! Twafwaaaaaaa!
Really? Halafu unajiita Kada wa CHADEMA!
 
Tunachofanya sasa ni kama wanaume wanaovizia wanawake wanaoachwa na waume zao then sisi tunaingia kwa mbwembwe kwa lengo la kutaka kufunganao ndoa. Tunajua wameachwa kwa sababu gani? Tena muogope mwanamke anayeachika kwa mumewe then haraka haraka anakusanya virago vyake na kuhamia kwako. Je wakipatana na mumewe utakuwa katika hali gani? Siri zako zote zitakuwa hadharani.

Nikiri kwa dhati ya moyo kwamba, sijafurahishwa na aina ya usajili unaofanywa na Mwenyekiti wangu Freeman Aikael Mbowe. Dhamira ni njema ila aina ya watu tunaochukua kwa kweli tuna kila sababu ya kujiona hatujitendei haki.

CHADEMA si chama cha kuokoteza wanachama. CHADEMA si chama cha kutegemea mtu anayechukia CCM kwa sababu tu maslahi yake yamepokonywa. CHADEMA si chama zoa zoa. Kilijengwa kwa misingi imara ambayo iliasisiwa na wazee wetu Edwin Mtei na Bob Makani. Ninasikitika kusema kuwa tunawakwaza sana wazee hawa ambao walitumia nguvu kubwa kuweka misingi imara ya chama chetu.

Tulivyomchukua Edward Lowasa tulipewa propaganda kuwa anakuja na wabunge 50 pamoja na wenyeviti wa Mikoa 18 na Wenyeviti wa wilaya wa CCM zaidi ya 100. Hata hivyo, tulichoshuhudia ni kinyume chake. Leo hii tukifanya tathmini ya wanachama tuliowachukua utakuta zaidi ya nusu wamesharejea CCM kiakili na wengine wametangaza hadharani kukihama chama chetu.

Huku mitaani tunachekwa sana kwa sasa. Mwanzo walikuwa wanatuita kichaka cha mafisadi na sasa tumeongezewa ugonjwa mwingine wa kuwa kichaka cha wauza unga na mateja.

Niwasihi sana viongozi wetu. Tanzania hii ina watu wengi ambao wanaweza kuwa potential katika chama chetu. Hapa ndipo CCM wanapotushika. Sisi tunahangaika na Wema Sepetu mmoja ama Edward Lowasa ama Frederick Sumaye ama Laurence Masha ama Milton Makongoro Mahanga ama Kingunge Ngombale Mwiru, wenzetu CCM wanafanya usajili wa maana kwa kutekeleza ilani ya chama chao na kujali maslahi ya wananchi. Wapo busy kutekeleza miradi ya vijijini ambako kuna wapiga kura wengi. Sisi tunang'ang'ana na watu wanaotafuta unafuu wa maisha! Twafwaaaaaaa!
Tunachofanya sasa ni kama wanaume wanaovizia wanawake wanaoachwa na waume zao then sisi tunaingia kwa mbwembwe kwa lengo la kutaka kufunganao ndoa. Tunajua wameachwa kwa sababu gani? Tena muogope mwanamke anayeachika kwa mumewe then haraka haraka anakusanya virago vyake na kuhamia kwako. Je wakipatana na mumewe utakuwa katika hali gani? Siri zako zote zitakuwa hadharani.

Nikiri kwa dhati ya moyo kwamba, sijafurahishwa na aina ya usajili unaofanywa na Mwenyekiti wangu Freeman Aikael Mbowe. Dhamira ni njema ila aina ya watu tunaochukua kwa kweli tuna kila sababu ya kujiona hatujitendei haki.

CHADEMA si chama cha kuokoteza wanachama. CHADEMA si chama cha kutegemea mtu anayechukia CCM kwa sababu tu maslahi yake yamepokonywa. CHADEMA si chama zoa zoa. Kilijengwa kwa misingi imara ambayo iliasisiwa na wazee wetu Edwin Mtei na Bob Makani. Ninasikitika kusema kuwa tunawakwaza sana wazee hawa ambao walitumia nguvu kubwa kuweka misingi imara ya chama chetu.

Tulivyomchukua Edward Lowasa tulipewa propaganda kuwa anakuja na wabunge 50 pamoja na wenyeviti wa Mikoa 18 na Wenyeviti wa wilaya wa CCM zaidi ya 100. Hata hivyo, tulichoshuhudia ni kinyume chake. Leo hii tukifanya tathmini ya wanachama tuliowachukua utakuta zaidi ya nusu wamesharejea CCM kiakili na wengine wametangaza hadharani kukihama chama chetu.

Huku mitaani tunachekwa sana kwa sasa. Mwanzo walikuwa wanatuita kichaka cha mafisadi na sasa tumeongezewa ugonjwa mwingine wa kuwa kichaka cha wauza unga na mateja.

Niwasihi sana viongozi wetu. Tanzania hii ina watu wengi ambao wanaweza kuwa potential katika chama chetu. Hapa ndipo CCM wanapotushika. Sisi tunahangaika na Wema Sepetu mmoja ama Edward Lowasa ama Frederick Sumaye ama Laurence Masha ama Milton Makongoro Mahanga ama Kingunge Ngombale Mwiru, wenzetu CCM wanafanya usajili wa maana kwa kutekeleza ilani ya chama chao na kujali maslahi ya wananchi. Wapo busy kutekeleza miradi ya vijijini ambako kuna wapiga kura wengi. Sisi tunang'ang'ana na watu wanaotafuta unafuu wa maisha! Twafwaaaaaaa!
Wewe gamba umevaa jina kada wa cdm,toa mashudu hapa
 
Mwambie aliyekutuma wenzio wamemshtukia Fanya lolote andika chochote hakitawabadilisha watu wanaotaka kujiunga na people's. Mnakumbuka mlivyowatumia wakati wa kampeini na pesa msiwalipe? Zaidi ya yote tamaa zenu za uzinzi mnapokataliwa mnaotumia mamlaka kuwakomboa watu
. Itawacost sana
 
Dhambi ya kumtukana na kumuita Slaa kuwa ni Dr Mihogo itawaandama milele chadema.
Wachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.
HUKO NDIO KIMBILIO LA WANYONGE...
FISIEM IMESHAJULIKANA NI MAGUMASH USANII MTUPU
 
daah....makamanda ujio wa hawa watu utathminiwe kwa makini si kwa kukurupuka coz ya umaarufu wake huyu ni MSAKA TONGE TU wakimpa donge nono anarudi kule , tupate watu makini wenye mapenz toka moyoni sio km ujio wa huyu bint , vp wakimruhusu uteja wake na kumpa pesa ndefu si atatupiga kibuti huyu ? I don't trust wema .

TIME WILL TELL.
 
Tunachofanya sasa ni kama wanaume wanaovizia wanawake wanaoachwa na waume zao then sisi tunaingia kwa mbwembwe kwa lengo la kutaka kufunganao ndoa. Tunajua wameachwa kwa sababu gani? Tena muogope mwanamke anayeachika kwa mumewe then haraka haraka anakusanya virago vyake na kuhamia kwako. Je wakipatana na mumewe utakuwa katika hali gani? Siri zako zote zitakuwa hadharani.

Nikiri kwa dhati ya moyo kwamba, sijafurahishwa na aina ya usajili unaofanywa na Mwenyekiti wangu Freeman Aikael Mbowe. Dhamira ni njema ila aina ya watu tunaochukua kwa kweli tuna kila sababu ya kujiona hatujitendei haki.

CHADEMA si chama cha kuokoteza wanachama. CHADEMA si chama cha kutegemea mtu anayechukia CCM kwa sababu tu maslahi yake yamepokonywa. CHADEMA si chama zoa zoa. Kilijengwa kwa misingi imara ambayo iliasisiwa na wazee wetu Edwin Mtei na Bob Makani. Ninasikitika kusema kuwa tunawakwaza sana wazee hawa ambao walitumia nguvu kubwa kuweka misingi imara ya chama chetu.

Tulivyomchukua Edward Lowasa tulipewa propaganda kuwa anakuja na wabunge 50 pamoja na wenyeviti wa Mikoa 18 na Wenyeviti wa wilaya wa CCM zaidi ya 100. Hata hivyo, tulichoshuhudia ni kinyume chake. Leo hii tukifanya tathmini ya wanachama tuliowachukua utakuta zaidi ya nusu wamesharejea CCM kiakili na wengine wametangaza hadharani kukihama chama chetu.

Huku mitaani tunachekwa sana kwa sasa. Mwanzo walikuwa wanatuita kichaka cha mafisadi na sasa tumeongezewa ugonjwa mwingine wa kuwa kichaka cha wauza unga na mateja.

Niwasihi sana viongozi wetu. Tanzania hii ina watu wengi ambao wanaweza kuwa potential katika chama chetu. Hapa ndipo CCM wanapotushika. Sisi tunahangaika na Wema Sepetu mmoja ama Edward Lowasa ama Frederick Sumaye ama Laurence Masha ama Milton Makongoro Mahanga ama Kingunge Ngombale Mwiru, wenzetu CCM wanafanya usajili wa maana kwa kutekeleza ilani ya chama chao na kujali maslahi ya wananchi. Wapo busy kutekeleza miradi ya vijijini ambako kuna wapiga kura wengi. Sisi tunang'ang'ana na watu wanaotafuta unafuu wa maisha! Twafwaaaaaaa!

Wewe zuzu wa Lumumba jadilianeni kwanza mpasuko wa chama lenu chakavu.
 
Dhambi ya kumtukana na kumuita Slaa kuwa ni Dr Mihogo itawaandama milele chadema.
Wachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.

Na laana ya kumtwanga ngumi mzee Warioba haitamuacha salama jamaa yule.
 
Back
Top Bottom