Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

Pasco,

Kwa mtazamo wako, nini maana ya "fedha za umma".

MKUU tayari hukumu ya ICSID imetolewa kwa mujibu wa kafulila na ilikuwa inatupa feva sisi kwamba tufanye hesabu kwa kiwango kinachokubaliwa na tanesco ili kujua tanesco inabakiwa na kiasi gani, sasa IWEJE KUSIWE NA FEDHA YA UMMA?

PIA KAMA SI FEDHA ZA UMMA ILIKUWAJE BOT IWACHUKUE MIEZI MI3 KUKUBALI KUACHIA HIZO FEDHA, kulikuwa na kigugumizi gani?
 
Wanabodi,

Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Pasco wa JF, kuwa ni "an enemy of the people!", Fedha za Escrow, Sio Fedha za Umma!, hizo Bilioni 320 zilizokuwa kwenye account ya Escrow, hazijaibiwa!, bali zimetumika kulipia umeme!.

Inawezekana PAP amenunua kampuni hewa, amefanya utapeli kuinunua IPTL toka kwa wamiliki halali, hayo hayatuhusu, bali malipo ya Tanesco kwenye account ya escrow ni kulipia capacity charges ya mitambo ya IPTL ambayo ni mitambo kweli sio mitambo hewa!, na pia Tanesco inalipia malipo ya huduma za umeme kweli unaokuwa genereted na mitambo ya IPTL, ni umeme kweli na sio umeme hewa!, na imeelezwa kuwa Tanesco bado inadaiwa!.

Ukiwa mkweli sana wa type ya ukweli huu, pia lazima uwe tayari to pay the price!.

Niko tayari to pay the price of expresing my opinion kuwa Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma!.

Pasco.

Pasco, You can no doubt argue better than this!!
Hakuna shaka kuwa pesa hatimaye zingeenda kwa mzalisha umeme, iwe IPTL au PAP au whotever else it would be! Kila mtu anaona kuwa ni kweli mzalishaji umeme ana mastahili ya kulipwa pesa zake lakini kuna haya yafuatayo (ambayo biased au shallow thinkers are capitalizing on):

a) Charges were overpriced. Hata kama hatimaye pesa zingekuwa hazitoshi, Tanesco ingekuwa inafanya malipo hayo kwa kutumia correct tarrifs. Sasa hata kabla kesi yake haijaisha na kujua kama pesa zote zitatumika kuilipa IPTL, tayari zimepotea.

b) Kuna swala la udanganyifu ktk ununuzi wa hisa za VIP. Mtu anakwenda kulipwa millions of dollars kwa kulipa dola 3,600 hivi tu. Imefanywa makusudi ili kukwepa kodi ya mauzo ya hisa. Kisha analipwa bilioni zaidi ya 200 na kupata barua kuwa hata kodi pia hatalipa!! Je, unasema pia serikali haikustahili kodi sahihi ukiachilia mbali kuipata kabisa??

c) Kwanini kuwe na mgao wa fedha ambazo bila shaka zinatoka kwa mwekezaji? Kuna chochote ambacho wewe binafasi umepata? Ni kwa sababu hauko katika mfumo wa kimaamuzi. Watu wamelipwa au wapindishe taratibu ili pesa zitoke na wengine wamelipwa ili wazibe midomo!! Na swala hili halijalishi kama ni fedha za umma ama za IPTL. Kupindisha taratibu au kunyamazishwa ili mambo mabaya yaendelee si jambo sahihi. Umeona jinsi TRA, AG offices zimeshiriki. Umeona mabenki yalivoshiriki kuvunja taratibu ili jambo hili (malipo) lifanikiwe. Kulikuwa kuna haja gani ya pesa hizi kugawiwa kwa viongozi wa kisiasa, kiserikali na hata madhehebu??

Punch at your weight Pasco, not above and not below!!
 
Wanabodi,

Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Pasco wa JF, kuwa ni "an enemy of the people!", Fedha za Escrow, Sio Fedha za Umma!, hizo Bilioni 320 zilizokuwa kwenye account ya Escrow, hazijaibiwa!, bali zimetumika kulipia umeme!.

Inawezekana PAP amenunua kampuni hewa, amefanya utapeli kuinunua IPTL toka kwa wamiliki halali, hayo hayatuhusu, bali malipo ya Tanesco kwenye account ya escrow ni kulipia capacity charges ya mitambo ya IPTL ambayo ni mitambo kweli sio mitambo hewa!, na pia Tanesco inalipia malipo ya huduma za umeme kweli unaokuwa genereted na mitambo ya IPTL, ni umeme kweli na sio umeme hewa!, na imeelezwa kuwa Tanesco bado inadaiwa!.

Ukiwa mkweli sana wa type ya ukweli huu, pia lazima uwe tayari to pay the price!.

Niko tayari to pay the price of expresing my opinion kuwa Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma!.

Pasco.

Na kama si za umma, CAG siku hizi inakagua fedha za wawekezaji?? Mimi nimesikitishwa na wewe zaidi kuliko Mhongo na wenzake..
 
Pasco BI39BE357 Imethibitishwa
Umepokea Tshs 8,000,000,000,000/= kutoka kwa Anastaz Rugemalira
Tarehe 22/11/14 saa 21:03pm
Kama mgao wako wa fedha za Escrow.naomba uniarifu ukipata sms hii.
 
Last edited by a moderator:
Hili swali nimemuuliza uzi mwingine, hakuwahi kulijibu.
  1. Na kwa kuongezea, wapi AG Werema amepata uwezo wa kuwa mshauri wa kodi?
  2. Tatu, ina maana pasco haamini CAG ?
  3. Sasa kama PAC wamefanya uhuni, uhuni huo si wameutoa katika taarifa ya CAG
  4. Nne, pesa za binafsi zinatumikaje kwa viongozi wa umma, hadi hapo haoni tatizo
  5. Tano, taarifa imeeleza mitambo ya low speed ndiyo ilihitajika, walileta isiyo katika kiwango hicho, hilo pasco hahisi =kuna tatizo kweli
  6. Sita, kama ni pesa za binafasi, CAG, waziri, katibu mkuu wizara wanaingiliaje masuala binafsi?
  7. Saba, jitihada za serikali kuzuia mjadala zililenga nini iwapo ilikuwa ni pesa binafasi.
Mkuu Nguruvi 3, nimefarijika sana kwa wewe na Mkuu Mchambuzi kuutembelea uzi huu, kwa sababu nyinyi ni miongoni mwa ma GT wa ukweli humu jukwaani!.Naomba unikumbushe huo uzi!.
  1. Japo sijabahatika kuuona mkataba wa IPTL ili nikichukulia mkataba wa Richmond kama sample, Tanesco ndio iko responsible kulipa all taxes!. AG ndie anaujua mkataba, hivyo alishauri hayo kutokana na mkataba!. Tax pekee ambayo sio jukumu la Tanesco ni ile ya transfer ambayo ilipaswa kulipwa na PAP kwa fedha za Singa Singa!.
  2. Soma Ripoti ya CAG uone amesema nini kuhusu fedha za escrow!, hakusema ni fedha za umma!, amesema sehemu inaweza kuwa ni fedha za umma!, imetokea kuwa Tanesco inadaiwa deni kubwa kuliko fedha zote zilizokuwemo ndani ya escrow, na aliyekubali fedha zilipwe ni Tanesco na kakiri anadaiwa na ameweka repayment schedule!.
  3. Uhuni huo ndicho kitu kilichonisikitisha, kunihuzunisha na kunifadhaisha!.
  4. Baadhi ya hizo pesa ni kweli ni kick back, baadhi ni genuine charity na nyingine ni sadaka na sadakalawe!.
  5. Mechmar ni matapeli!, Tanesco ilitapeliwa mchana kweupe!, ingekuwa na wanasheria wazalendo, kosa hili lilitosha kabisa kuvunja mkataba na kutaifisha kila kitu!.
  6. CAG na PCCB wameombwa na PAC na PM, Role ya BOT, Waziri na KM ilikuwa wakati zikiwa ndani ya escrow kabla hazichange hands!. zimechange hands zilipokubaliwa kutolewa!.
  7. Kutombunguzi Msamaria Mwema JR alivyotumia fedha zake!.
NB. Hayo majina mliyoyaoni ni majina ya kampuni binafsi ya JR, hamjaweza kuona account yake Holland amewalipa nani, hamjaweza kuona accont za PAP nani waliolipwa!.

Tangu issue ya Chenge, nilisema humu PCCB ni nothing!, kila mtu mwenye akili timamu anajua mgao ule ni mgao wa asante!. Nilitegemea taarifa ya PAC pia itazungumzia chanzo cha IPTL na ni nani aliyetuletea hili jinamizi za IPTL!, escrow ni matokeo tuu, tunashangilia watu ku deal na matokeo tuu badala ya kung'oa mizizi!.

Pasco.
 
kaka umemaliza kabisa!
Hayo ndiyo maswali niliyomuuliza hapo juu post 3, pasco nini maana ya fedha za umma, ndio maana nimemuuliza tanesco wanatengeneza pesa???

nchii hii tutaendelea kuwa maskini mpaka siku ya mwisho;

PASCO UMENISIKITISHA SANAAAA..

mimi naomba kuuliza kama ni ya umma kwa nini ilienda escrow? si ingekaa huko huko tanesco? What was the money doing in the escrow account in the first place?
 
Niliungana na faizafoxy na naungana na Pasco katika hili.
Tabgu report ilipoanza kusomwa niliona tayari watu wamechezewa akili. Ni upumbavu mtupu. Waenedelee kuchezea akili za watu wasiotaka uhuru wa kufikiri.
 
kwa msaada tu pesa ya umma ni pamoja na makusanyo ya kodi, na mengine yanayofanana na hayo lakini fedha hii huwekwa kwenye account ya mfuko mkuu wa serikali na katika account iliyoelekezwa kwa utaratibu na serikali na wala siyo ile ambayo serikali huifungua kwa minajili ya kuweka fedha ambayo serikali ni go-between (third party account ambayo huitwa account maalum, mfano mishahara (uncollected salaries) huwekwa kwenye account kama hii kwa maana tu walipwa wa fedha hizo wanapojitokeza waweze kulipwa, ingawa a/c kama hii ina mda maalum enadapo mdai hajaonekana a/c hufungwa na fedha kuwa transfered kwenye mfuko mkuu kama mapato ya serikali. lakini kwa fedha iliyowekwa kwenye a/c ya Escrow ilikuwa ni fedha ya kutoka tanesco ikiwa ni sehemu ya gharama ya kutumia umeme iliyolipwa ktk ac hiyo kwa mujibu wa makubaliano yanayoelekeza inapojitokeza baina yao kuna sintoelewana basi charge hiyo iwekwe kwenye ac hiyo kwa kusubiri hatua za kisheria zitatuliwe na iwapo upande wa mlalamikiwa ukishinda basi aweze kulipwa hivyo hatuwezi sema kwa hatua hiyo ni pure public money.
 
Niliungana na faizafox na naungana na Pasco katika hili.
Tabgu report ilipoanza kusomwa niliona tayari watu wamechezewa akili. Ni upumbavu mtupu. Waenedelee kuchezea akili za watu wasiotaka uhuru wa kufikiri.

hili suala kila anayetumia kichwa kulijadili anashambuliwa bila sababu. Pointi za msingi hakuna badala yake watu wamejikita kwenye "magunia, masandarusi, maboxi....."
 
Mkuu Pasco pale TBC ulikuwa ni mwandishi wa habari AU mtangazaji tu wa habari? samahani kwa usumbufu lakini! Na hivi sasa wewe ni WAKILI au ni mwanasheria tu unayesubiri kwenda Law school? samahani tena kwa usumbufu!!
 
[/LIST]
Mkuu Nguruvi 3, nimefarijika sana kwa wewe na Mkuu Mchambuzi kuutembelea uzi huu, kwa sababu nyinyi ni miongoni mwa ma GT wa ukweli humu jukwaani!.Naomba unikumbushe huo uzi!.
  1. Japo sijabahatika kuuona mkataba wa IPTL ili nikichukulia mkataba wa Richmond kama sample, Tanesco ndio iko responsible kulipa all taxes!. AG ndie anaujua mkataba, hivyo alishauri hayo kutokana na mkataba!. Tax pekee ambayo sio jukumu la Tanesco ni ile ya transfer ambayo ilipaswa kulipwa na PAP kwa fedha za Singa Singa!.
  2. Soma Ripoti ya CAG uone amesema nini kuhusu fedha za escrow!, hakusema ni fedha za umma!, amesema sehemu inaweza kuwa ni fedha za umma!, imetokea kuwa Tanesco inadaiwa deni kubwa kuliko fedha zote zilizokuwemo ndani ya escrow, na aliyekubali fedha zilipwe ni Tanesco na kakiri anadaiwa na ameweka repayment schedule!.
  3. Uhuni huo ndicho kitu kilichonisikitisha, kunihuzunisha na kunifadhaisha!.
  4. Baadhi ya hizo pesa ni kweli ni kick back, baadhi ni genuine charity na nyingine ni sadaka na sadakalawe!.
  5. Mechmar ni matapeli!, Tanesco ilitapeliwa mchana kweupe!, ingekuwa na wanasheria wazalendo, kosa hili lilitosha kabisa kuvunja mkataba na kutaifisha kila kitu!.
  6. CAG na PCCB wameombwa na PAC na PM, Role ya BOT, Waziri na KM ilikuwa wakati zikiwa ndani ya escrow kabla hazichange hands!. zimechange hands zilipokubaliwa kutolewa!.
  7. Kutombunguzi Msamaria Mwema JR alivyotumia fedha zake!.
NB. Hayo majina mliyoyaoni ni majina ya kampuni binafsi ya JR, hamjaweza kuona account yake Holland amewalipa nani, hamjaweza kuona accont za PAP nani waliolipwa!.

Tangu issue ya Chenge, nilisema humu PCCB ni nothing!, kila mtu mwenye akili timamu anajua mgao ule ni mgao wa asante!. Nilitegemea taarifa ya PAC pia itazungumzia chanzo cha IPTL na ni nani aliyetuletea hili jinamizi za IPTL!, escrow ni matokeo tuu, tunashangilia watu ku deal na matokeo tuu badala ya kung'oa mizizi!.

Pasco.

Kila siku wanatuongezea gharama za umeme.. Halafu bado kuna mijitu inatetea mafisadi
 
wewe ni kibaraka wa Chief Nanga "A man of the people" na inaonekana wewe ni la sita la zamani unajidanganya ni degree ya sasa Cambridge. Pasco
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom