Nimesikitika kwa majonzi makubwa kwa kutolewa gadafi libya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimesikitika kwa majonzi makubwa kwa kutolewa gadafi libya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by newmzalendo, Aug 23, 2011.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  NIMESIKITIKA KWA MAJONZI MAKUBWA KWA KUTOLEWA GADAFI LIBYA.
  libya ilikuwa inaongoza njia ktk kukomboa bara la Africa,NATO na USA wamefanikiwa kutuangusha Tena Africa.
  sitarajii mabadilikoa mazuri in TZ ya CCM-ya Sasa na Mwenyekiti wake kwani yeye ndio rafiki mzuri wa NATO na USA,so tusubiri tu Auze nchi kwa kutoa misamaha ya kodi,Vibali vya URANIUM,GAS,OIL na GOLD.

  Tanzania Tanzania natamani nikukane kuwa siyo nchi yangu
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mbona bado yupo libya?.bado anaweka mambo sawa.atashinda tu.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Tangu lini Gaddafi katolewa Libya?
  Yeye mwenyewe ameapa kuwa atakuwa mtu wa mwisho kabisa kuikimbia Libya!..Rekebisha bandiko lako.
   
 4. N

  Ndoano Senior Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  achana na habari za cnn aljazeera bbc skynews fox news wanainterest zao kwenye hio vita
   
 5. N

  Nego Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 25, 2006
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Given what he has done for his country and Africa...its really a shame that we failed to protect him. Wangekuwa na nia njema ya kusaidia Africa...wangemwondoa the likes of JK...etc
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Sasa tukiachana na mashirika yote hayo ya habari, tusikilize nini, tbc1???
   
 7. V

  Vonix JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ni upepo unaovuma kwenye nchi za kiarabu acha aondolewe ili walibya wawe na kujifunza,anaweza onekana kakaa sana madarakani lakini ni tofauti sana na viongozi wengine hapa africa itafika mahali walibya watamkumbuka baada ya kulinganisha na hao wanaopigania kumrithi tusubiri.
   
 8. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Acha aondolewe tu, simpendi kabisa kwani me ni muhanga wake,
  Huyu aliwaua wazazi wetu wakati wa vita vya Kagera, kwa kutuma majeshi yake yapigane dhidi ya Tanzania
   
 9. C

  Chief Nanga Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe jamaa aliumbwa ili atawale milele?du!Haya tunasubir magamba nayo yatumilelishe.
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Sasa ata akiondolewa we unapata faida gani?
   
 11. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,019
  Likes Received: 8,498
  Trophy Points: 280
  bado ngoma ni nzito libya,waasi wameingia mkenge tripoli.hivi sasa ni street fighting with no hope of rebel getting airsuppot from nato nenda aljazeera live blog for upto the minute update or DEBKAfile.com
   
Loading...