Nimesikitika baada ya binti kufariki kwa kung'atwa na nyoka kwenye makalio

Kama ni kweli nyie na project yote ni maFala.

Huwezi ishi katika ya msitu bila kuwa na mtaalam wa nyoka

Wala kuwa na hayo mawe ya sumu ya nyoka.

Akili mlipata ya kubeba wanawake tu, mkija mnasema mna PhD oops
Malezi malezi
 
Nenda sokoni ulizia jiwwe la nyoka linauzwa elf 2 ukingatwa na nyoka unaliweka kwenye kidonda linaganda Hadi limalize kunyonya sumu linadondoka lenyewe
 
Mwingine dereva wa loli la dangote naskia maeneo flan kilwa road alipak gari pemben akaingia polini.

Hakurudi tena mpaka watu wakashtuka mbona loli limepak muda mrefu hapo polini?
Hii ni kwel kabisa, na jamaa alimezwa na Chatu. Alipaki gari pemben mwa barabara na kwenda kujisaidia huku ikiwa haijazimwa. Baada ya muda kupita madereva wengne wa malori walisimama ili kujua jamaa anashida gani kuacha gari pemben mwa baranara ikiwa haijazimwa, hapo ndipo wakakuta kwenye chaka joka kubwa limelala hadi kukimbia linashindwa
 
Back
Top Bottom