Nimesikiliza Shule ya Uongozi ya Polepole, nimejua Polepole hapaswi tena kupewa nafasi yoyote kubwa ya kiuongozi

Ndugu Polepole katika vipindi vyake vya Shule ya Uongozi anazungumzia mambo mengi lakini theme kuu ni kupinga mataifa ya magaharibi.

Katika moja ya mafundisho yake Polepole anasema tusitumie vigezo vya nchi za Magharibi kupima maendeleo ya nchi yetu.

Akitolea mfano suala la watu kujua kusoma na kuandika (literacy rate) katika nchi fulani halipaswi kuchukuliwa kama moja ya kipimo cha maendeleo.

Akasema pia kuna takwimu kama vile kasi ya ukuaji uchumi (GDP growth rate) na takwimu za magonjwa na vifo vyote hivi ni vipimo vya kimagharibi vya kupima maendeleo na hatutakikiwi kuvitumia.

Akaendelea kutoa mfano mfugaji Mmasai mwenye ng'ombe 1000 Tz lakini kwa vigezo vya kimagharibi huyu mmasai ni masikini lakini tunapaswa kumuita ni tajiri kwani mtu mwenye ng'ombe 1000 Ulaya anaitwa tajiri.

Polepole anataka tutumie vigezo vya nchi kama China au Singapore kupima maendeleo.

Sasa nilichojiuliza ni China na Singapore zinapoitwa ni nchi zilizopiga hatua kubwa kimaendeleo kwani ni vigezo vipi hutumiwa?

Si ndio hivi hivi vya kimagharibi? Zinaitwa zimeendelea kwa sababu wananchi wake wana makazi bora, huduma nzuri za afya, usafiri, nishati ya uhakika , high litetacy rate n.k.

Wamasai wenye ng'ombe 1000 ila wanakunywa maji machafu na mifugo, kuhama hama na kulala kwenye nyumba zinayovuja zisizokuwa na umeme, hawa kwa vigezo vya China au Singapore ni wananchi walioendelea?

Halafu Polepole anasema tukae mbali na nchi za magharibi kwani hawana nia nzuri na nchi yetu na kutaka tuwe karibu na China, lakini China hii ndio waliituhumu kutaka kuingiza nchi mkenge kwenye bandari ya Bagamoyo.

China ndio imekopesha nchi za Africa kama Kenya mikopo mikubwa ya kimtego isiyolipika kwa lengo baya.

China ndio hii tunasikia wametifisha bandari baadhi ya nchi zilizoshindwa kulipa mikopo yao.

Polepole sababu anachukia nchi za magharibi imemtia upofu hadi kushindwa kuona vitu vya logic ndogo tu, huyu mtu na walio nyuma yake ni hatari na hawapaswi tena kupewa nafasi ya kuongoza nchi yetu, wataturudisha Tanzania mbovu kuliko ile ya miaka ya 1980s.

Huyu mpumbavu sijui kwa nini watu wanamsikiliza. He is trying to be relevant Ila hana chochote kwa sasa. Walishaiba na mzee wao akae kimya
 
Tatizo hujui ndio maana unakurupuka maana huna uwezo kumuelewa polepole. China haijawahi kua na makoloni wala sio mkoloni mambo leo. Nchi hiyo imepambana na ubeberu wa nchi za magharibi na ikajikomboa kisiasa na saa kiuchumi. Wee kalagabao kuabudu wazungu mimi sina muda kukupa darasa.
 
Akili za Kimagufuli hizi, zinaamini China ni rafiki wa kweli wa Africa

Wasikiliza propaganda na kuziamini zilivyo

Anyway point yangu kuu wala haikuwa kusema ni nani beberu ama sio beberu, sema kwa ukilaza wako ndio umeelewa hivyo
 
Bado anaota! ... kabla, na baada, ya kuvuruga uchaguzi mkuu wa 2020 plan B ya Jiwe na wajoli zake kina polepole ilikuwa ni kulalia China ... maana walijua fika kuwa nchi za magharibi zinaenda kuwatenga!
... KWAMBA CHINA ITATUMIA FURSA HIYO KUTUNYANYASA NA KUTUFANYA KOLONI LAKE MAMBOLEO KWAO HAIKUJALISHA! ... AS LONG AS WAO WANAENDELEA KUTAWALA!
DISGUSTING!
NB: Kwa Polepole nchi ni ya viongozi, wavaa Kaunda suti wachache, ... na waliobaki ni sawa na mifugo wengine tuu!
Umbwa huyu jamaa 😠
 
Polepole ni miongoni mwa wale ambao akili yote ilibebwa na hakufanikiwa kuirudisha japo kiasi kidogo.
 
Ndugu Polepole katika vipindi vyake vya Shule ya Uongozi anazungumzia mambo mengi lakini theme kuu ni kupinga mataifa ya magaharibi.

Katika moja ya mafundisho yake Polepole anasema tusitumie vigezo vya nchi za Magharibi kupima maendeleo ya nchi yetu.

Akitolea mfano suala la watu kujua kusoma na kuandika (literacy rate) katika nchi fulani halipaswi kuchukuliwa kama moja ya kipimo cha maendeleo.

Akasema pia kuna takwimu kama vile kasi ya ukuaji uchumi (GDP growth rate) na takwimu za magonjwa na vifo vyote hivi ni vipimo vya kimagharibi vya kupima maendeleo na hatutakikiwi kuvitumia.

Akaendelea kutoa mfano mfugaji Mmasai mwenye ng'ombe 1000 Tz lakini kwa vigezo vya kimagharibi huyu mmasai ni masikini lakini tunapaswa kumuita ni tajiri kwani mtu mwenye ng'ombe 1000 Ulaya anaitwa tajiri.

Polepole anataka tutumie vigezo vya nchi kama China au Singapore kupima maendeleo.

Sasa nilichojiuliza ni China na Singapore zinapoitwa ni nchi zilizopiga hatua kubwa kimaendeleo kwani ni vigezo vipi hutumiwa?

Si ndio hivi hivi vya kimagharibi? Zinaitwa zimeendelea kwa sababu wananchi wake wana makazi bora, huduma nzuri za afya, usafiri, nishati ya uhakika , high litetacy rate n.k.

Wamasai wenye ng'ombe 1000 ila wanakunywa maji machafu na mifugo, kuhama hama na kulala kwenye nyumba zinayovuja zisizokuwa na umeme, hawa kwa vigezo vya China au Singapore ni wananchi walioendelea?

Halafu Polepole anasema tukae mbali na nchi za magharibi kwani hawana nia nzuri na nchi yetu na kutaka tuwe karibu na China, lakini China hii ndio waliituhumu kutaka kuingiza nchi mkenge kwenye bandari ya Bagamoyo.

China ndio imekopesha nchi za Africa kama Kenya mikopo mikubwa ya kimtego isiyolipika kwa lengo baya.

China ndio hii tunasikia wametifisha bandari baadhi ya nchi zilizoshindwa kulipa mikopo yao.

Polepole sababu anachukia nchi za magharibi imemtia upofu hadi kushindwa kuona vitu vya logic ndogo tu, huyu mtu na walio nyuma yake ni hatari na hawapaswi tena kupewa nafasi ya kuongoza nchi yetu, wataturudisha Tanzania mbovu kuliko ile ya miaka ya 1980s.

Unamjua polepole wa kabla ya kuwa kiongozi wa ccm na polepole ambaye ni kiongozi wa ccm na polepole huyu wa sasa.
Fanya contrast utaelewa .
 
Polepole ana laana ya wapinzani
 
It's true
Basi we have such a very long way to go.yan safar bado ndefu mnoo...sema shida ni kwamba wwenye akili na smartest people bongo hawajiamin hawana confidence.Hawa mbumbumbu wako na confidence ya hali ya juu kias ha kuweza kushawish watu wakawaamin but hawana content.Wasomi tunakwama sanaa
 
Safari yetu ni ndefu sana mkuu, huyo aliyepata zero Leo anazungumzia uongozi tena kwa kupotosha pia mbona akiwa na cheo alikuwa kimya kwahyo uzalendo umerudi baadi ya kutolewa nafasi ya ulaji
 
Ndugu Polepole katika vipindi vyake vya Shule ya Uongozi anazungumzia mambo mengi lakini theme kuu ni kupinga mataifa ya magaharibi.

Katika moja ya mafundisho yake Polepole anasema tusitumie vigezo vya nchi za Magharibi kupima maendeleo ya nchi yetu.

Akitolea mfano suala la watu kujua kusoma na kuandika (literacy rate) katika nchi fulani halipaswi kuchukuliwa kama moja ya kipimo cha maendeleo.

Akasema pia kuna takwimu kama vile kasi ya ukuaji uchumi (GDP growth rate) na takwimu za magonjwa na vifo vyote hivi ni vipimo vya kimagharibi vya kupima maendeleo na hatutakikiwi kuvitumia.

Akaendelea kutoa mfano mfugaji Mmasai mwenye ng'ombe 1000 Tz lakini kwa vigezo vya kimagharibi huyu mmasai ni masikini lakini tunapaswa kumuita ni tajiri kwani mtu mwenye ng'ombe 1000 Ulaya anaitwa tajiri.

Polepole anataka tutumie vigezo vya nchi kama China au Singapore kupima maendeleo.

Sasa nilichojiuliza ni China na Singapore zinapoitwa ni nchi zilizopiga hatua kubwa kimaendeleo kwani ni vigezo vipi hutumiwa?

Si ndio hivi hivi vya kimagharibi? Zinaitwa zimeendelea kwa sababu wananchi wake wana makazi bora, huduma nzuri za afya, usafiri, nishati ya uhakika , high litetacy rate n.k.

Wamasai wenye ng'ombe 1000 ila wanakunywa maji machafu na mifugo, kuhama hama na kulala kwenye nyumba zinayovuja zisizokuwa na umeme, hawa kwa vigezo vya China au Singapore ni wananchi walioendelea?

Halafu Polepole anasema tukae mbali na nchi za magharibi kwani hawana nia nzuri na nchi yetu na kutaka tuwe karibu na China, lakini China hii ndio waliituhumu kutaka kuingiza nchi mkenge kwenye bandari ya Bagamoyo.

China ndio imekopesha nchi za Africa kama Kenya mikopo mikubwa ya kimtego isiyolipika kwa lengo baya.

China ndio hii tunasikia wametifisha bandari baadhi ya nchi zilizoshindwa kulipa mikopo yao.

Polepole sababu anachukia nchi za magharibi imemtia upofu hadi kushindwa kuona vitu vya logic ndogo tu, huyu mtu na walio nyuma yake ni hatari na hawapaswi tena kupewa nafasi ya kuongoza nchi yetu, wataturudisha Tanzania mbovu kuliko ile ya miaka ya 1980s.

Mzee wa V8, kwanza nakupongeza kwa kuchukua kumpa nafasi ya kumsikiliza ni nini anafundisha ...pia kwa kuwa umegundua anafundisha utumboo
 
Back
Top Bottom