Nimesikiliza Shule ya Uongozi ya Polepole, nimejua Polepole hapaswi tena kupewa nafasi yoyote kubwa ya kiuongozi

Ndugu Polepole katika vipindi vyake vya Shule ya Uongozi anazungumzia mambo mengi lakini theme kuu ni kupinga mataifa ya magaharibi.

Katika moja ya mafundisho yake Polepole anasema tusitumie vigezo vya nchi za Magharibi kupima maendeleo ya nchi yetu.

Akitolea mfano suala la watu kujua kusoma na kuandika (literacy rate) katika nchi fulani halipaswi kuchukuliwa kama moja ya kipimo cha maendeleo.

Akasema pia kuna takwimu kama vile kasi ya ukuaji uchumi (GDP growth rate) na takwimu za magonjwa na vifo vyote hivi ni vipimo vya kimagharibi vya kupima maendeleo na hatutakikiwi kuvitumia.

Akaendelea kutoa mfano mfugaji Mmasai mwenye ng'ombe 1000 Tz lakini kwa vigezo vya kimagharibi huyu mmasai ni masikini lakini tunapaswa kumuita ni tajiri kwani mtu mwenye ng'ombe 1000 Ulaya anaitwa tajiri.

Polepole anataka tutumie vigezo vya nchi kama China au Singapore kupima maendeleo.

Sasa nilichojiuliza ni China na Singapore zinapoitwa ni nchi zilizopiga hatua kubwa kimaendeleo kwani ni vigezo vipi hutumiwa?

Si ndio hivi hivi vya kimagharibi? Zinaitwa zimeendelea kwa sababu wananchi wake wana makazi bora, huduma nzuri za afya, usafiri, nishati ya uhakika , high litetacy rate n.k.

Wamasai wenye ng'ombe 1000 ila wanakunywa maji machafu na mifugo, kuhama hama na kulala kwenye nyumba zinayovuja zisizokuwa na umeme, hawa kwa vigezo vya China au Singapore ni wananchi walioendelea?

Halafu Polepole anasema tukae mbali na nchi za magharibi kwani hawana nia nzuri na nchi yetu na kutaka tuwe karibu na China, lakini China hii ndio waliituhumu kutaka kuingiza nchi mkenge kwenye bandari ya Bagamoyo.

China ndio imekopesha nchi za Africa kama Kenya mikopo mikubwa ya kimtego isiyolipika kwa lengo baya.

China ndio hii tunasikia wametifisha bandari baadhi ya nchi zilizoshindwa kulipa mikopo yao.

Polepole sababu anachukia nchi za magharibi imemtia upofu hadi kushindwa kuona vitu vya logic ndogo tu, huyu mtu na walio nyuma yake ni hatari na hawapaswi tena kupewa nafasi ya kuongoza nchi yetu, wataturudisha Tanzania mbovu kuliko ile ya miaka ya 1980s.

Huyu Pole Pole anafadhiliwa na serikali ya China ndio maana ni Anti West
 
Dah....haya ni mawazo yako....Kama yalivyokuwa mawazo ya Polepole.... Yote yanategemea pale ulipoegemea 🤣🤣🤣🤭
 
Hongereni Wana JF kwa kuwa wasikilizaji wazuri wa Humphrey Polepole.
Ila msisahau kila hoja Ina pande mbili, na ndio maana kila theory inayosomwa shuleni, inatajwa kuwa na strengths na weaknesses zake!
Hivyo mwerevu huchambua hoja yoyote na kushikamana na upande ulio positive!

Mazumbukuku huchukua upande mmoja wa hoja kwa malengo yao binafsi

Kupinga mataifa ya magharibi ni sahihi Ila kwa Jambo gani?
Kama mzazi au Raisi wako unaweza kumpinga, kwanini iwe haifai kupinga nchi za magharibi?
Umesahau Tanzania inawapinga wa magharibi kwa ajenda yao ya haki za mashoga?
 
acha kujidanganya, Polepole hayupo kushea knowledge. Ana ajenda aliyotumwa anajaribu kupenyeza
Hizo ni fikra zako
Kwasababu hazina ushahidi acha kuzipublish
Huyo mama yako unayomtetea, usidhani Kama yupo kimya tu, ameshatuma chawa wake wanamfuatilia
Hizi post zako hazina faida yoyote kwa huyo mama yako kipenzi
 
Ana kipindi chake kinaitwa shule ya uongozi kinarushwa Youtube na Facebook kila Jumamosi usiku..nimeviangalia mara kadhaa, ila cha jana nikaona upotoshaji umezidi, nikamfungulia huu uzi
Vipindi vilivyopita uliona viko smart, si ndio?
 
Hivi inaigia akilini kwamba Serikali pamoja na vyombo vyake vya Dola vyenye uwezo mkubwa waku- vent watu vinaweza kweli kupendekeza kilaza awepo kwenye team ya tume ya katiba? Naona chuki zenu zimepitiliza mipaka - msikilizeni Pole Pole anapo zungumza kiingereza anaonekana wazi wazi ni MTU mwenye taaluma ya sheria, wanao sema ni mbumbumbu hawajui walisemalo - siyo fresh kuwazulia binadamu wenzenu kwa lengo la kuwaribia kisiasa.
Ni wivu wa kike!
Wenyewe hawana faida kwenye nchi hii, lakini Polepole anatoa elimu, pia watu wanapiga simu kumpa shida zao anawapa njia za kufuata ili kutatua tatizo lao,
Unadhani mtanzania atawafaa vipi watanzania wengine Kama si kuwapa elimu na kuwasaidia kutatua matatizo yao
 
Huwezi kushare Professionalism kama mganga wa kienyeji huu utakua ni upotoshaji. Kipaji cha kuelewa uchumi wa kimataifa bila kuwa na hiyo elimu ni sawa na mganga anaetoa utabiri. Polepole aache mara moja upotoshaji.
Wanaomsikiliza ni pamoja na wachumi, wanasheria na wengineo,
Na Mambo mengine madogo madogo anayaongea hayahitaji hata uwe na diploma kuyaelewa
 
Ndugu Polepole katika vipindi vyake vya Shule ya Uongozi anazungumzia mambo mengi lakini theme kuu ni kupinga mataifa ya magaharibi.

Katika moja ya mafundisho yake Polepole anasema tusitumie vigezo vya nchi za Magharibi kupima maendeleo ya nchi yetu.

Akitolea mfano suala la watu kujua kusoma na kuandika (literacy rate) katika nchi fulani halipaswi kuchukuliwa kama moja ya kipimo cha maendeleo.

Akasema pia kuna takwimu kama vile kasi ya ukuaji uchumi (GDP growth rate) na takwimu za magonjwa na vifo vyote hivi ni vipimo vya kimagharibi vya kupima maendeleo na hatutakikiwi kuvitumia.

Akaendelea kutoa mfano mfugaji Mmasai mwenye ng'ombe 1000 Tz lakini kwa vigezo vya kimagharibi huyu mmasai ni masikini lakini tunapaswa kumuita ni tajiri kwani mtu mwenye ng'ombe 1000 Ulaya anaitwa tajiri.

Polepole anataka tutumie vigezo vya nchi kama China au Singapore kupima maendeleo.

Sasa nilichojiuliza ni China na Singapore zinapoitwa ni nchi zilizopiga hatua kubwa kimaendeleo kwani ni vigezo vipi hutumiwa?

Si ndio hivi hivi vya kimagharibi? Zinaitwa zimeendelea kwa sababu wananchi wake wana makazi bora, huduma nzuri za afya, usafiri, nishati ya uhakika , high litetacy rate n.k.

Wamasai wenye ng'ombe 1000 ila wanakunywa maji machafu na mifugo, kuhama hama na kulala kwenye nyumba zinayovuja zisizokuwa na umeme, hawa kwa vigezo vya China au Singapore ni wananchi walioendelea?

Halafu Polepole anasema tukae mbali na nchi za magharibi kwani hawana nia nzuri na nchi yetu na kutaka tuwe karibu na China, lakini China hii ndio waliituhumu kutaka kuingiza nchi mkenge kwenye bandari ya Bagamoyo.

China ndio imekopesha nchi za Africa kama Kenya mikopo mikubwa ya kimtego isiyolipika kwa lengo baya.

China ndio hii tunasikia wametifisha bandari baadhi ya nchi zilizoshindwa kulipa mikopo yao.

Polepole sababu anachukia nchi za magharibi imemtia upofu hadi kushindwa kuona vitu vya logic ndogo tu, huyu mtu na walio nyuma yake ni hatari na hawapaswi tena kupewa nafasi ya kuongoza nchi yetu, wataturudisha Tanzania mbovu kuliko ile ya miaka ya 1980s.

Unaifahamu vieite wewe ?
 
Ni jambo la kusikitisha sana kwamba watu aina ya Pole pole wanapatikana duniani. Hawa watu ni wa hovyo sana. Hawana faida na nchi. Tuwapige vita kwa nguvu zetu zote.
 
Polepole ana elimu gani

Na kasoma wapi
Nimesikia juzi ndo akamaliza masters kumbe hata masters alikua hana halafu kageuka lecture wa mtaala Aliko evaluate na ku assess mwenyewe chini ya Bodo ya kichwa chake na Research alizofanya mwenyewe na kuji quote tabu kweli kweli
 
We unaangaika na polepole badala ya kuangaika boys ll men wako mjini wameshaanza na tanesco .
 
Back
Top Bottom