Nimesikia tu kwa jamaa anasimulia rais naye alikuwa kama Makonda

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,774
32,582
Nilisikia mazungumzo ya majamaa flan wakidai Rais alipanda chati jinsi Makonda anavyopanda alipokuwa na cheo cha chini kwenye wizara ya ujenz mwanzo wa 2000s. Hivi hivi kama makonda Beni akamdiskava nakumpandisha chati.

Je wanajamvi wezangu ni kweli mkuu alikuwa na hii mihemko enz hizo. Ama ni porojo za vijiwen. Binafs nafaham alikuwa mbunge baadaye akateuliwa wazir

Nawakilisha
 
Back
Top Bottom