Nimesikia takwimu za wafanyabiashara wa kariakoo wakilalamika hali ya biashara kuwa ngumu

Ukaridayo

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
507
469
Hbr Wana jamvii.

Nimesikia takwimu za wafanyabiashara wa kariakoo wakilalamika hali ya biashara kuwa ngumu... last time niliskia biashara 800 zimefungwa na wkt huo huo zikafunguliwa biashara 2000.. sasa kilio kimerudi tena wanadai makadirio wanayokadiriwa na TRA ni makubwa mnoo kuliko kile wanachouza.

Ujue mimi nilianza kushangaa hiki kikokotoo cha TRA jinsi kinavyokokotoa hesabu zake especially kwenye kodi ya magari jinsi ilivyopaa Yani unaweza kukuta gari ambalo mwaka jana lilikuwa na gharama ya mil8 hivi... ukikokotoa tena kwa mwaka huu 2018 unakuta limefika mil13. .

Hapo unajiuliza labda kikokotoo Chao pengine kina virus..

Halafu hii ishu watu wamenyamaza ..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom