Daniel Schoter
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 114
- 64
Je ni kweli wadau ama?
Naona vyuo sasa vinapoteza hadhi yake kwa kunyang'anywa dhamana kadha na wizara/TCU. Wasiposimamia na kulinda majukumu yao wataishia kuwa kama sekondari tu.Nchi ya kipuuzi hii.... Kwa hiyo siku hizi curriculum ya vyuo inatungiwa wizaran
Ndg chuo kiko chn ya wizara,, na kbla chuo hakijaanzishwa lzm kipeleke mwongozo wa mtaala wake wzrn,, wzr ikilidhia ndio chuo kinafunguliwa. pia wizara ina uwezo wa kuagiza chuo kibdili mtaala kuendana na mtkwa au kukifungia coz ya kutoendana na matakwaNchi ya kipuuzi hii.... Kwa hiyo siku hizi curriculum ya vyuo inatungiwa wizaran
Inategemea ndugu field umefanyia wapi sio useme upuuzi tu field ina maana kubwa sana katika kujifunza zaidi na kuelewa mambo kwa weledikweli field mwaka wa kwanza ni upuuzi tu hakuna cha maana ambacho mwanafunzi amejifunza kwenda kuapply kwenye eneo la kanza nazungumzia uzoefu wangu kwenye computer engineering.
ni kweli inasaidia ila kwa mwaka wa kwanza hamna kitu.Inategemea ndugu field umefanyia wapi sio useme upuuzi tu field ina maana kubwa sana katika kujifunza zaidi na kuelewa mambo kwa weledi
Nipe sababu ya kukufanya wewe useme hivyo ndugu maan sijaelewa kwann useme mwaka wa kwanza hamna kituni kweli inasaidia ila kwa mwaka wa kwanza hamna kitu.