Yales
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 517
- 527
Kikao baina ya IGP wa Rwanda National Police na Wetu Tanzania Police Force Kilijadili mambo kadhaa zikiwemo Joint operation za Mipakani huku na mambo wa kadhaa ambayo naona Yako sawia na hayatishii usalama wetu,
Nilishitushwa baada ya IGP wa RNP kusema ataleta police wa kinyarwanda ili waje wafundishe police wetu kutumia computer..!,
Hii ni mara ya pili nasikia rwanda akitaka kuleta wana IT wake apa previous kagame ndio aliongea kama kumpa offer fulani mkuu watu walipiga kelele sana juu ya hili mana Dunia ya sasa kiuhalisia computer ndio kila kitu,
Utaruhusu vipi jirani yako awe na access na computer yako???
Hawa jamaa tukiwaruhusu watatuvua nguo mchana kweupe kabisa tuache utani jeshi kama linataka watu wa IT liingie kwenye college kama Coict,St Joseph, DIT, ATC, MuSt, UCC wako vijana kibao ambao wako fresh au li anzishe mashindano fulani na watakao patikana wawe recruit bila kuangalia umri wake ni wasaaa wa majeshi kutoa offer kwa wataalamu wajiunge nao kama mataifa endelevu.
Mambo ya kubeba madogo wa form four yapunguzwe na wachukuliwe wachache hawa vijana wa four, jeshi lianzie watu wa Diploma to degree ambao almost course zote za vyuo computer huwa ipo basics.