Nimesikia Aibu wana TEHAMA wa Rwanda Kuja kutufundisha Computer

Yales

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
517
527
Kikao baina ya IGP wa Rwanda National Police na Wetu Tanzania Police Force Kilijadili mambo kadhaa zikiwemo Joint operation za Mipakani huku na mambo wa kadhaa ambayo naona Yako sawia na hayatishii usalama wetu,

Nilishitushwa baada ya IGP wa RNP kusema ataleta police wa kinyarwanda ili waje wafundishe police wetu kutumia computer..!,

Hii ni mara ya pili nasikia rwanda akitaka kuleta wana IT wake apa previous kagame ndio aliongea kama kumpa offer fulani mkuu watu walipiga kelele sana juu ya hili mana Dunia ya sasa kiuhalisia computer ndio kila kitu,

Utaruhusu vipi jirani yako awe na access na computer yako???

Hawa jamaa tukiwaruhusu watatuvua nguo mchana kweupe kabisa tuache utani jeshi kama linataka watu wa IT liingie kwenye college kama Coict,St Joseph, DIT, ATC, MuSt, UCC wako vijana kibao ambao wako fresh au li anzishe mashindano fulani na watakao patikana wawe recruit bila kuangalia umri wake ni wasaaa wa majeshi kutoa offer kwa wataalamu wajiunge nao kama mataifa endelevu.

Mambo ya kubeba madogo wa form four yapunguzwe na wachukuliwe wachache hawa vijana wa four, jeshi lianzie watu wa Diploma to degree ambao almost course zote za vyuo computer huwa ipo basics.
 
Acha hizo bhana, elimu haina mwisho ata wewe unaweza kufundishwa na yoyote tu.
 
Bongo ntarudi term ya huyu jamaa ikiisha hata kama ni 2025. Na akigeuka Mugabe basi sirudi tena, sasa hivi kafanya kila mtu awe kichaa, mambumbumbu kibao, mtu anasema kupiga picha za hostel na kupost kwenye internet ni kosa la uzushi hahaha kosa la uzushi limeandikwa wapi, mwingine anasema marufuku kuitana baby, hahaha siwezi kudeal na hizo stress, kuna vilaza ukikaa nao sana unageuka kilaza.
 
Usishangae mkuu,nakumbuka wakati nasoma kahama mwalim wa kiswahili alikuwa mnyarwanda nilishangaa sana ,,IT wapo wengi sana kuna degree nying sana za computer science from udsm mtaan
 
Kikao baina ya IGP wa Rwanda National Police na Wetu Tanzania Police Force Kilijadili mambo kadhaa zikiwemo Joint operation za Mipakani huku na mambo wa kadhaa ambayo naona Yako sawia na hayatishii usalama wetu, Nilishitushwa baada ya IGP wa RNP kusema ataleta police wa kinyarwanda ili waje wafundishe police wetu kutumia computer..!, Hii ni mara ya pili nasikia rwanda akitaka kuleta wana IT wake apa previous kagame ndio aliongea kama kumpa offer fulani mkuu watu walipiga kelele sana juu ya hili mana Dunia ya sasa kiuhalisia computer ndio kila kitu, Utaruhusu vipi jirani yako awe na access na computer yako??? Hawa jamaa tukiwaruhusu watatuvua nguo mchana kweupe kabisa tuache utani jeshi kama linataka watu wa IT liingie kwenye college kama Coict,St Joseph, DIT,ATC,MuSt,UCC wako vijana kibao ambao wako fresh au li anzishe mashindano fulani na watakao patikana wawe recruit bila kuangalia umri wake ni wasaaa wa majeshi kutoa offer kwa wataalamu wajiunge nao kama mataifa endelevu mambo ya kubeba madogo wa form four Yapunguzwe na wachukuliwe wachache hawa vijana wa four, Jeshi lianzie watu wa Diploma to degree ambao almost course zote za Vyuo computer huwa ipo basics
Tutavuliwa nguo kuna mambo ya kushirikiana lakini sio IT ya jeshi letu, watakapoingia ya Jeshi la Polisi watatamani waingie ya JWTZ na huo ndio utakua muendelezo wa kudukua kila watakacho. Ni vyema TISS, JWTZ wakatoa msimamo kuhusu usalama
 
Tutavuliwa nguo kuna mambo ya kushirikiana lakini sio IT ya jeshi letu, watakapoingia ya Jeshi la Polisi watatamani waingie ya JWTZ na huo ndio utakua muendelezo wa kudukua kila watakacho. Ni vyema TISS, JWTZ wakatoa msimamo kuhusu usalama
Usishangae kabisa hawa mabwana wa kapropose mifumo ya kutumika kwenye jeshi ile hali wadau wa IT wengi tu wameshapeleka prototype mfano inshu kama za Kuchukua fingerprint za Wote wanaokamatwa na Kuwekwa kwenye data base au inshu ya Kufunga scanner na Camera kila penye taa, Rwanda wanajua Dunia ni IT wakitushika apo tutakuwa pabaya kweli mkuu
 
Bongo ntarudi term ya huyu jamaa ikiisha hata kama ni 2025. Na akigeuka Mugabe basi sirudi tena, sasa hivi kafanya kila mtu awe kichaa, mambumbumbu kibao, mtu anasema kupiga picha za hostel na kupost kwenye internet ni kosa la uzushi hahaha kosa la uzushi limeandikwa wapi, mwingine anasema marufuku kuitana baby, hahaha siwezi kudeal na hizo stress, kuna vilaza ukikaa nao sana unageuka kilaza.


Hawa jamaa nafikiri kwasasa wamevurugwa.....


Maana wanachoongea ni Utumbo mtupu.
 
Back
Top Bottom