Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,685
- 29,007
Mzuka wanajamvi!
Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.
Hata ukiwaambia kajenga international Airport kijijini kwao, anakandamiza demokrasia hawakuelewi.
Sasa hivi baada ya msiba kwenye whatsapp na Facebook zao ni picha za Magufuli tu.
Halafu ile nyomi ilioenda kuthibitisha.
CCM ni hatari kwa propaganda.