Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
Nikiwa naangalia taarifa ya habari channel Ten nimeona habari inayohusu kimbunga kilichoukumba mmoja wa mji nchini marekani..
Kilicho nishtua na kuniogofya na kusisimka mwili nimesikia mtangazaji akisema rais wa marekani bwana trump ameomba pesa katika baraza la CONGRESS ili aweze kuongeza nguvu kuwahudumia waathirika.. Nikajiuliza rais mwenye nguvu kama trump na taifa lenye uchumi imara bado rais anaomba pesa kwa baraza hili... Yaani hawezi kwenda hazina na kuwaambia wampe kiasi fulani cha pesa?? Mpaka bunge liidhinishe??
Kilichonifanya niogope zaidi ni kwa mataifa yetu ya kiafrica hata tanzania yetu rais kujipangia matumizi ambayo hayajaidhinishwa na bunge na anaweza kuchota kiasi chochote kwa matumizi atakayo yeye!!
Ref.
Bambadia
Udsm hostels
Sent using Jamii Forums mobile app