Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

uwezo wake wa kufikiri ni mdogo. Ameingia kwenye siasa kuwafuata baba na mama yake. Haiwezekani kijana unasema watu wanafuata mkumbo cdm na unaona nchi inacolapse,kila kitu kinahitaji ukombozi mpya! Eti vijana siyo wazalendo kwa sababu hawajapita jkt huku wahujumu uchumi wote wa nchi hii ni wale waliopitia jkt.! Tafuta kazi ya kufanya ccm ina wenyewe!

Well said, l am sure he is good at something! Sio wote lazima wawe politician, na si lazima uwe politician ili uikomboe au kuleta mabadiliko kwenye nchi!
 
Punguza mapepe, ongeza umakini.
Punguza ego, ongeza usikivu.
Punguza kusema, ongeza kusoma.
Zaidi ya yote, enenda kwa kutenda.

Hawezi, akiweza atakuwa si yeye. Mimi nafikiri aangalie wapi anafanya vizuri aendelee napo; kama ultimate goal yake ilikuwa kuiendeleza nchi (which l doubt), anaweza kwa kupitia channel nyingine. Kama ni uongozi na umaarufu ndio anataka (which l believe so), bado he can be lakini si thru siasa!
 
- Well, Heshima mbele sana JF KUMKOMA NYANI, leo kwenye uchaguzi wa Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best Friends Shyrose, Dulla, na Makongoro, MUNGU AWAONGEZEE NA WAKATUMIKIE VYEMA TAIFA LETU!

- AS FOR ME SASA NI WAKATI WA KUKAA CHINI NA KUTAFAKARI NILIPOKOSEAA NA KUANZA KUJIPANGA UPYA, NINAWASHUKURU BAADHI YA JFs WALIONISAIDIA KWA HALI NA MALI, MBARIKIWE!

- WAKUU WANGU MWANAKIJIJI, INVISIBLE NA HALISI, SINA CHA KUWALIPA KWA ALL YOU DID KATIKA KUNISAIDIA NA KAMPENI, WOTE MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI NA JF WOTE MBARIKIWE, THIS IS MY HOME SO TUNAENDELEA KAMA KAWAIDA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!


William @Dodoma City!

. pole malecela. hamia CDM tukupambanishe na LUSINDE 2015. mwanamke huyo KWENYE RED ni kimeo kweli, yeye kila sehem yupo. ananikera kwa kweli. tutegemee kuangushwa
 
So, is there anything like "Non-starters"?
Yeah, very much so...like the following non-starter, LOL!

No+Non+Starter+Meeroos+Post+Graphic.png



 
Ningeshangaa sana kama wangekuchagua. Ingekuwa ni mwendelezo wa ujinga wa ccm kumchagua mtu kwa historia ya wazazi wake au kwa nguvu ya rushwa. Wewe umekimbia uwanja wa mapambano baada ya mpambano kuwa mkali na kujificha kwenye kivuli cha maadui. Umeona kanafasi unataka kurudi na kupewa kikosi ukiongoze! That is being oppotunist! Kuna wapambanaji waliokuwa mstari wa mbele siku zote ambao walistahili kupewa hiyo nafasi na sio wewe! Na wakombozi wa nchi sasa wapo cdm. Lakini umezoea woga na kutegemea umaarufu wa wazazi ukifikiri wananchi waleo ni wale wenye fikra kama ulivyowaacha. Pole sana. Tulikushauri hukusikia. Umeshindwa kwakuwa hukuwa msikivu. Ni ujinga wako. Hata hivyo umewavua tena nguo wabunge wa ccm kwa kuonesha ufinyu wa akili zao kwa kukufikisha hatua ya mwisho ilhali hukustahili. Rudi marekani tuache tuikomboe nchi, utakuja kufaidi uhuru. Maana hata ukibaki hapa na fikra zako za kukitumikia chama tunachopambana nacho ni kutuchelewesha tu! Kwa heri.
 
William mimi nakupongeza kwa hatua yako ya kuthubutu kujitosa katika kinyang'anyiro cha ubunge wa EALA.

Matokeo yaliyopatikana ni changamoto kwako ili ufanye tathmini na kujipanga upya kwa ajili ya nafasi nyengine.
 
umejitahidi kujibu ila ulikuwa unahema sana. Sasa unatakiwa ulekeze nguvu mtera. Watu wa mtera wanakuitaji. Nilipenda jinsi ulivyotumia ile clause ea ya ku opt out.
Fanya mazoezi yatakusaidia kwenye pumzi
 
William mimi nakupongeza kwa hatua yako ya kuthubutu kujitosa katika kinyang'anyiro cha ubunge wa EALA.

Matokeo yaliyopatikana ni changamoto kwako ili ufanye tathmini na kujipanga upya kwa ajili ya nafasi nyengine.

Mkuu,
huyu hastahili pongezi. Tulimshauri asipitie ccm lakini hakusikia. Ni mwoga wa mapambano na alidhani mgongo wa wazazi ungemvusha. Woga wa kujiunga na upinzani ndio uliomkimbiza nchi. Akadhani bado sisi ni wajingawajinga kama alivyotuacha na kufikiri bado tupo kwenye enzi zile za "zidumu fikra za mwenyekiti!" Amepata alichostahili. Na bila kuuma maneno, kama kweli anataka kuingia kwenye mapambano ya kuikomboa nchi, ahame ccm na kujiunga na cdm maana ndio wapambanaji wa kweli na tumaini pekee la watz. Aache woga na asimame kwa miguu yake na sio mgongo wa historia!
 
Kama ulimwambia mwanzo kuwa habebeki sawa lakini kama ulingoja mpaka ashindwe ndio useme habebeki huo unakuwa ni unafiki ambao haukufai mtu kama wewe!! Wengine tulimwabia toka mwanzo mpaka ikabidi atumie mbinu zake kutufungia tusichangie threads zilizokuwa zinamgusa ingawa tulikuwa tunamwambia ukweli!!

umesema nini sasa hapa?? ndio ushauri uliokuwa unampa willy? mimi na willy hatujakutana barabarani!
 
Nasema hivi..kama kuna watu mnamsifia Malecela kwa kuthubutu...tunaomba kesho mumsifie sofia simba kuthubutu kuwa rais wa Tanzania!! ebu tuache unafiki

type ya akina willy sio viongozi hawa!! unless afanye overhaul ya tabia yake kijumla.....hatuwataki viongozi wa style hii

will huyu ninayemsema....ni yule ambaye naweza kusoma tabia yake kupitia post zake humu kuanzia mwaka 2009!

kama willy huyo huyo ndiyo huyu huyu mnayemsifia napata wasiwasi wa mnayempa pole kwa kuthubutu

unatukana watu usiowajua humu JF...kesho unaenda kuwaomba kura hao hao...

akili matope??
 
Halafu simple logic ni kwamba vitu vingine hata mwenyezimungu anachukizwa navyo, hivi inawezekana vipi nyumba moja iwe na Waziri Mkuu Mstaafu, huyu tunamlisha sisi kwa kodi zetu.

Pili Anne Kilango huyu anaishi kwa kulipwa kodi zetu na ni dependant wa Mzee Malecela, kwa mfumo wa Tanzania huyu safari zote za ulaya hajui hata bei ya Airline ticket.

Still William after 23 yers in New York ameshindwa kucreate biashara na kuja kufunguwa hata viofisi mbuzi vya Shipping Agency na yeye anataka kuja kuclaim Public fund iendelee kuflow kwenye familia moja? jamani hili siyo fair hata chembe.

Nimefurahishwa sana na Malecela kuangushwa pamoja na yule ndugu wa Makamo wa Rais na hata yule jamaa Banker wa KBC naye simsikitikii, maana hawa ni watu wanaodhani wao ndio wameumbwa pekee kula keki ya nchi.

Nafahamu vyema Ubunge wa EA ni uwakilishi zaidi lakini nafahamu vyema ni ajila pia na ndio maana wapo wagombea waliomwaga pesa za kutosha ili wachaguliwe.
 
William, Hongera sana kwa kuthubutu, nilitamani sana nikuone ukijieleza pale bungeni jana , na bahati nzuri nikabahatika kukushuhudia ukijieleza, sikufahamu, lakini nilifarijika kwa maelezo yako na nilitamani wakupitishe, bali nafasi zilikuwa chache. Unaweza, jiamini na uthubutu tena mwanzo mzuri !
 
- Well, Heshima mbele sana JF KUMKOMA NYANI, leo kwenye uchaguzi wa Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best Friends Shyrose, Dulla, na Makongoro, MUNGU AWAONGEZEE NA WAKATUMIKIE VYEMA TAIFA LETU!

- AS FOR ME SASA NI WAKATI WA KUKAA CHINI NA KUTAFAKARI NILIPOKOSEAA NA KUANZA KUJIPANGA UPYA, NINAWASHUKURU BAADHI YA JFs WALIONISAIDIA KWA HALI NA MALI, MBARIKIWE!

- WAKUU WANGU MWANAKIJIJI, INVISIBLE NA HALISI, SINA CHA KUWALIPA KWA ALL YOU DID KATIKA KUNISAIDIA NA KAMPENI, WOTE MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI NA JF WOTE MBARIKIWE, THIS IS MY HOME SO TUNAENDELEA KAMA KAWAIDA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!


William @Dodoma City!
Pole saana mdau wewe hukujua kuwa kuna siasa za makundi, tena ukitilia maanani mzee wako influence yake imepungua!!!! Nakupongeza kwa kujifunza kusimama mwenyewe, njoo CDM sasa bila hivyo utaachwa nje!!!!!!

 
Mkuu anza kunywa Konyagi, huenda ikakuongezea confidence na misimamo na kupunguza uzito!!
Nakumbuka watu walikupa nondo za EAC(FJM & Co) na wakakushauri upite kule jukwaa la kimataifa ujisomee sijui kama ulizingatia.

Anyways, jipange upya...

Pole sana:disapointed:
 
- well, heshima mbele sana jf kumkoma nyani, leo kwenye uchaguzi wa ubunge wa eac nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best friends shyrose, dulla, na makongoro, mungu awaongezee na wakatumikie vyema taifa letu!

- as for me sasa ni wakati wa kukaa chini na kutafakari nilipokoseaa na kuanza kujipanga upya, ninawashukuru baadhi ya jfs walionisaidia kwa hali na mali, mbarikiwe!

- wakuu wangu mwanakijiji, invisible na halisi, sina cha kuwalipa kwa all you did katika kunisaidia na kampeni, wote mbarikiwe na mungu wa mbinguni na jf wote mbarikiwe, this is my home so tunaendelea kama kawaida!

Mungu aibariki tanzania na aibariki jf!


William @dodoma city!
hongera kwa kukubali matokeo huo ndio uungwana.ujipange tena kwa chaguzi za baadaye ikiwezekana hata katika jimbo la uchaguzi la bunge la tanzania.
 
Pamoja sana mkuu............I always say "Failure is not parmanent and success is not final" keep it up. Sie tunaendelea kuijenga nchi tukitokea upande mwingine.
 
of course umejifunza kitu,SHYROSE kaanzia mbali na wengi walimcheka lakini she is now in next level.get back i hope u will be.
 
Back
Top Bottom