Nimeshindwa namna ya kumsaidia. Ingawa naumia sana kwa hali anayonisimulia

Mwaka 2010 nlipata msichana ambaye alikuwa akisoma udsm. Huyu dada wazazi wake walikuwa mkoani. Mwaka 2011 akamaliza. Hapa Dar hakuwa karibu sana na ndugu zake.alipomaliza chuo mwaka huo akawa anataka aishi Dar.

Nikampangia chumba mimi nlikuwa kikazi Arusha. Ilikuwa haipiti miezi mitatu nakuja Dar tunakaa pamoja na likizo yote nakuwa naye Dar.
Halafu hawa viumbe huwa hawapotezi namba za sim hata mkorofishane vp
 
Mweleze kuwa umemsanehe, na kweli umsamehe. Kusamehe sio kurudiana ila ni kumwachilia moyoni na usiwe na kinyongo wala hasira naye, tena hata mkionana. Kama huwezi, Mungu anaweza kukusaidia.
Kusamehe ni faida yako wewe wala si yake tu. Usiposamehe sio tu Mungu hatakusamehe, bali hali hiyo ya uchungu inaweza ikaendelea kukusumbua kwa mahusiano mengine.
Tafuta muda ikiwezekana mweleze msimamo wako. Kuogopa kutoonana sio suluhisho, kwa kuwa siku moja mnaweza kukutana. Dawa ni msamaha unaotoka moyoni, kwa Mungu yote yawezekana.
Nimependa hii nitatumia busara hii.
 
Anakuchota akili mkuu, usiwe na huruma sana, we kama unajua hujamfunga wala kumpa laana haina haja ya kujiuliza sana.
 
Mwambie nilikwishakusamehe siku nyingi tu. na kata mawasiliano naye na aende zake maana maumivu aliyokupa ni makubwa sana.
 
Mwaka 2010 nlipata msichana ambaye alikuwa akisoma udsm. Huyu dada wazazi wake walikuwa mkoani. Mwaka 2011 akamaliza. Hapa Dar hakuwa karibu sana na ndugu zake.alipomaliza chuo mwaka huo akawa anataka aishi Dar.

Nikampangia chumba mimi nlikuwa kikazi Arusha. Ilikuwa haipiti miezi mitatu nakuja Dar tunakaa pamoja na likizo yote nakuwa
Sio wa Machame kweli huyo? To be honest huyo ndio karma sasa
 
Pole sana mkuu na pole kwa binti, nadhani atulie wakat utafikia tu as long as wewe hakuna ulichofanya. Shida yake anafanya relative comparison kuwa mbona rfk ake gani na gani wameolewa yeye hajaolewa. Na hilo ni kosa la watu wengi, kila mtu ana profile........ afocus kwenye lane yale tu na kuishi vema na watu, wakati wake utafika
 
Back
Top Bottom