Nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja

Pole ninawakanya hamtaki kusikia, umeona ushauri wa wengi upo negative! Ukiendekeza ushauri wa MMU hutakaa uwe na gf au uoe maana hutakiwi kumchunguza bata anakula nini.

hata mimi nmeshangaa ushauri wa wengi!yule wangu angekua anaingia huku wallah ningekua nna jina jingine sa hivi..
Manake mimi kwa masihara!naweza nikamtumiaa sms wakati tupo miles apart"apo apo ulipo simama nmeshakuona swtii love you"...sasa sijui nyie jamaa wa humu mngechukua uamuz gani!
 
Narudia kusema! Jf usipokuwa na akili yako hata moja! Unaweza shinda umenuna siku nzima tena ukaomba ruhusa kazini ukashinda kwako ukilia! Haahahahahh
 
Back
Top Bottom