Nimeshindwa kumuelewa mke wangu, yaani ni kosa kutokutwa na meseji za kucheat?

Hivi hawa wazee walikuwa hawawamisi wake zao?

Walikua wanawamiss sana na ndio maana ndoa zao zilikua imara. Kumbuka enzi hizo kwanza kulikua hakuna simu. So mtu akienda safari lets say ya mwezi mmoja, maana yake ni mwezi mmoja bila mawasiliano ya aina yoyote! Mtu anakua na ile anticipation na hamu na mwenzake.

Sasa siku hizi ukiondoka nyumbani asubuhi, saa mbili tayari umeshaanza kuulizwa uko wapi, unafanya nini, upo na nani, unarudi saa ngapi nk.. yaani hakuna sapraizi wala anticipation kabisa kwenye mapenzi ya sasa. Matokeo yake maisha yanaboa sana.
 
kwamba maisha hayana amsha amsha
 
Umalaya kumbe unalipa eehh.
Imagine kuna watumishi wa umma wako kazini miaka zaidi ya 20 hawana magari ila malaya mwenye kudumu kazini miaka 4 tu ana gari
 
Back
Top Bottom