Nina g.f kwa mwezi wa nne sasa yeye anasoma mkoani chuo fulani.. ni mpole mnoo chochote nitakachosema basi anatekeleza na kiukweli nampenda sana nilimgusia kuhusu kuoana next yr akiitimu akasema anaitaji mwaka 1 mbele basi tukakubaliana hivyo na tayari kanitambulisha kwa mama yake na mimi baadhi ya ndugu zangu wanamfahamu tatizo huyu g.f wangu hanipi changamoto za kimaisha yaani naona hawezi fanya kitu bila wazo langu licha ya kumweka huru kunishauri kwa lolote lile kwani mimi kwa sasa nina kipato kizuri na elimu nzuri sitaki kuonyesha utofauti wetu kwani yy ndo kwanza anasoma diploma wakati mwingine nafikiri anaona hawezi kuongea kitu mbele yangu hali hii inanikosesha sana amani sijui nifanye nini ili aone usawa baina yetu kwani imefikia hatua nafikiria yawezekana kuna m2 pembeni ya uhusiano wetu ingawaje sijona evidence yoyote yaani simwelewi kabisaa amepooza sana licha ya kuniambia ananipenda sana.. i need yo advice plz