Mimi ni kijana wa kiume nina girlfriend ambaye tunatarajia kuishi pamoja Mungu akipenda,,Huwa tunakawaida ya kufanya mapenzi mara moja kwa mwezi,mwezi huu tumekutana lakini maajabu jogoo wangu alishindwa kufanya kazi,tulifanya Romance before na alisimama kama kawaida lakini ghafla akalala na hatujaweza kufanya mapenzi mpaka asubuhi na imepita siku moja lakini jogoo hasimami mpaka nimepanic na Girlfriend wangu hataki hata kunisikia anasema na mcheat lakini ukweli sijafanya hivyo,wana jamii naombeni msaada maana uhusiano wetu mpaka sasa upo majaribuni ni nini tatizo kwani ni mara ya kwanza kutokea?