Nimeshindwa kufanya mapenzi nini tatizo?

msd

Member
Nov 26, 2012
50
8
Mimi ni kijana wa kiume nina girlfriend ambaye tunatarajia kuishi pamoja Mungu akipenda,,Huwa tunakawaida ya kufanya mapenzi mara moja kwa mwezi,mwezi huu tumekutana lakini maajabu jogoo wangu alishindwa kufanya kazi,tulifanya Romance before na alisimama kama kawaida lakini ghafla akalala na hatujaweza kufanya mapenzi mpaka asubuhi na imepita siku moja lakini jogoo hasimami mpaka nimepanic na Girlfriend wangu hataki hata kunisikia anasema na mcheat lakini ukweli sijafanya hivyo,wana jamii naombeni msaada maana uhusiano wetu mpaka sasa upo majaribuni ni nini tatizo kwani ni mara ya kwanza kutokea?
 
Dogo usipanic sana, ila pole kwa yaliyokukuta labda nikuulize swali je,una hofu sana wakati wa kutaka kudu. Je,unawaza sana juu ya kupafomu kwa bedi ebu nijibu maswali haya nipate mwanga wa kukushauri.
 
Pole mkuu,mda wa mwezi m1 unakaaje kaaje au unakwea bomba(kupiga puchu)? Kama ndio basi punguza puchu au kama haupigi ktk mwezi m1 basi una matatizo ya nguvu za kiume nenda hospital wakupe ushauri ila usijidanganye kwenda kutumia madawa ya kimasai au ya kuongeza nguvu hapo ndio utajiroga....
 
Huwa niko normal wakati wa sex,lakini hii siku imetokea ghafla tu.
 
Kilichokutokea ni athari tu za kisaikolojia, hunashida yoyote, ila ni panic tu, mwiite geto siku nyingine na akija usianze kumparamia, anza kwa kupiga naye stori ili hofu uliyonayao iishe na baadaye uanze kama utani kumtomasa na kamwe usilete mawazo ya "hivi itakuwaje jogoo akikataa kuwika?"

jiamini we ni jembe na unauwezo wa kugonga ngozi mpaka atambue uongozi.
taratibu mchojoe viwalo huku ukiendelea kutomasa na wewe jichojoe na endelea kumtomasa, mtanue uingie katikati endelea kumchuchu chuchu, huwa inamacho yenyewe itavutwa. hapo kwishney.

Na endelea ku du naye hata kila siku ikiwezekana ili uweze kujiamini zaidi.
 
Mkuu Umemaliza Kila kitu Dogo hana tatizo lolote. Weka Mtoto ndani chezea bila hofu sukuma Ngozi
 
Kilichokutokea ni athari tu za kisaikolojia, hunashida yoyote, ila ni panic tu, mwiite geto siku nyingine na akija usianze kumparamia, anza kwa kupiga naye stori ili hofu uliyonayao iishe na baadaye uanze kama utani kumtomasa na kamwe usilete mawazo ya "hivi itakuwaje jogoo akikataa kuwika?"

jiamini we ni jembe na unauwezo wa kugonga ngozi mpaka atambue uongozi.
taratibu mchojoe viwalo huku ukiendelea kutomasa na wewe jichojoe na endelea kumtomasa, mtanue uingie katikati endelea kumchuchu chuchu, huwa inamacho yenyewe itavutwa. hapo kwishney.

Na endelea ku du naye hata kila siku ikiwezekana ili uweze kujiamini zaidi.

Najiamini Kaka vibaya mno,,,nashukuru sana kwa ushauri wako
 
Hawa madogo wanakuwaga na wenge sana mara wapatapo demu.
Bila kuwapa moyo wanaweza wakajihisi washakuwa mahanisi na kuanza kushikishwa ukuta kitaa.

Tena inapokuwa Demu amemfia Mbaya na amemuhangaikia kwa Muda. Siku anampata anakuwa hajiamaini Matokeo yake Dushelele chali.

Kimsingi dogo yuko poa anatakiwa achukulie EASY
 
Najiamini Kaka vibaya mno,,,nashukuru sana kwa ushauri wako

Kama unajiamini basi wakati wa kufanya tendo fikiria tendo na usifikirie mambo mengine.

KICHWA CHA CHINI KIKIFANYA KAZI CHA JUU KINAKUWA LIKIZO. ILA

KICHWA CHA JUU KIKIFANYA KAZI CHA CHINI KINALALA.

Mboo haiwezi kusimama kama unafikiria vitu vingine tofauti na ngono tu

Isipokuwa nyakati za asubuhi ambapo mboo inasimama kwa sababu mwili unajiscan kujua uzima wake.
 
acha kuchezea watoto wa watu kabla ya kuwaoa..hahahaha..mleta mada mimi ilinitokea kwa demu mmoja hivi enzi za ujana wangu mpaka leo sijui ilisababishwa na nini maana ni mara tatu na lala nae kitu kikisimama nikitaka kuingiza kinalala mpaka asubuhi kesho nikatafuta demu mwingine nikapiga nikaweka miahadi ya huyo demu tena mambo yale yale mpaka mara tatu mpaka leo nahisi alikuwa ananiwangia
 
Kwa kweli mm mwenyewe sijui nn kimetokea lakini nina miaka miwili kwenye relationship na huyu my girl,,na haijawahi kutokea hata mara moja kabla.
 
Athari ya kufanyana kwa RATIBA umeonaeeeeeeeeeee!
alafu mkute mnafuata taratibu kama mnataka kula chakula..sasa vua blauzi, vua basi na sketi, subri nivue chu.pi, hooooooooooooooooooo! lazima kajogoo kasinzie!

Huwa niko normal wakati wa sex,lakini hii siku imetokea ghafla tu.
 
Dogo usipanic bana hiyo kawaida sana hasa ukiwa na msongo mawazo, ila ukituliza akili inawezekana kabisa, nakumbuka mi demu wangu wa kwanza bana wakati ndo nimemalize six, nilikuwahi ku do, sasa siku hiyo na nakwenda kupiga kwa mara ya kwanza, daaaaaaaaaaah kudadadeki, kitu masaa 2 hakijaamka, ikabidi nimtoe demu tu asepe
baada ya hapo ilibidi nitafute kwanza ushauri nasaha ili kujenga confidence, na nikamrudia yuleyule, weeeeeeeeeeeeee siku hiyo mziki wake alitia akili
so relax and do it
 
Back
Top Bottom