Nimeshindwa kuacha pombe

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Pombe haina faida zaidi ya hasara , vishawishi na kuharibu ratiba. Ila sasa nimejitahidi sana kuiacha nashindwa.

Marafiki zangu 90% ni watumiaji wa pombe. Sasa kila unakokwenda unawakuta au wanakukuta, nashindwa kuacha kabisa.

Naomba mbinu za kuacha tungi
 
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Unaacha pombe ili ufanye nini?
 
Kunywa dawa za minyoo Kwanza akili ikae sawa kidogo
 
Pombe haina faida zaidi ya hasara , vishawishi na kuharibu ratiba. Ila sasa nimejitahidi sana kuiacha nashindwa.

Marafiki zangu 90% ni watumiaji wa pombe. Sasa kila unakokwenda unawakuta au wanakukuta, nashindwa kuacha kabisa.

Naomba mbinu za kuacha tungi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nenda kwa Mwamposa utapona 😔
 
Katika vitu ambavyo siwezi kuacha na sitakaa niache ni pombe yaani huyu aliyeniloga sijui kama yupo hai!naweza sema leo naonja kidogo nikate kiu najikuta nimetundika kiwango kile kile.Yaani
 
Fanya kitu kimoja mkuu

Acha kwenda bar,ukifika muda wa tungi nenda grocery hapo jirani chujua chupa zako kadhaa ambazo unajua izi zitanipa stim,rudi home na utulie na familia mnacheki movie huku unapiga moja moja

Fanya hivyo kila siku utajikuta unaanza kupunguza idadi na unakunywa kistaarabu

Kujumuika kila siku na marafiki muda wa tungi utajikuta unakunywa zaidi ya ulivyopanga na ndio unazidi kuwa sugu

Pombe tamu uwe unakunywa home mama watoto anachezea ndevu huku unacheka na watoto.
 
Pombe haina faida zaidi ya hasara , vishawishi na kuharibu ratiba. Ila sasa nimejitahidi sana kuiacha nashindwa.

Marafiki zangu 90% ni watumiaji wa pombe. Sasa kila unakokwenda unawakuta au wanakukuta, nashindwa kuacha kabisa.

Naomba mbinu za kuacha tungi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Njoo nijufundishe na kubeti na punyeto
 
hamna
 
Pombe haina faida zaidi ya hasara , vishawishi na kuharibu ratiba. Ila sasa nimejitahidi sana kuiacha nashindwa.

Marafiki zangu 90% ni watumiaji wa pombe. Sasa kila unakokwenda unawakuta au wanakukuta, nashindwa kuacha kabisa.

Naomba mbinu za kuacha tungi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ongea na Yesu Kristo kama ulivyoongea na Jamii Forums, utaona.
 
Ukiweka Nia ya dhati.
Unaweza ukaacha au ukapunguza kwa kiasi kikubwa.

Hebu jaribu mbinu hizi;-

1. Wakwepe hao marafiki.
Ni ngumu ila fanya tu namna uwakwepe.

2. Kwakuwa kuacha moja kwa moja ni ngumu. Bas anza kwa kupunguza siku za kunywa. Kunywa Ijumaa na Jumamos tu, na sio kila siku.

3. Ule Muda ukitoka kwenye harakat. Badala ya kufikiria kwenda bar na kujipongeza . Tafuta kitu kingine ufanye. Either mazoezi. Kusoma vitabu. Gazeti. Kuwapigia simu ndugu na jamaa. Kufuatilia mipango yako ambayo unahisi haiendi kwasababu ya muda. Nk nk
Yaani hakikisha unakuwa busy yale masaa ambayo unaendaga bar.

Alaf ww ni mwanamke, ukitoka harakat, rud home haraka kapikie familia.

4. Hela ile ya kunywa bia , itunze au either ununulie kitu ambacho utapeleka home.
Ukiwa na tabia hii, kuna siku utaona vitu ulivyonunua na ukajishukuru kwa maamuz ya kununua vitu na sio hela kuinywea. Na hivyo itakujenga kiakili kuwa bia sio za kuendekeza au za kunywa mara kwa mara.

Kila la kheri.

Mm nilifanikiwa kuacha kwa miez 3.
Nikarudia kunywa ila Sikuhizi Mind yangu iko strong na inazid kuimarika.
because nakunywa ijumaa au jumamosi. Tena bila kampan.
Na naenda na budget fixed kabisa.

Na niliweza kupunguza kwa kureplace ule muda wa kwenda bar kwa vitu hivyo hapo juu.

Be blessed na kila la kheri.

Ila bana kama ww ni mchaga , pombe iko ndan ya damu, kuacha itakuwia vigumu sana .
Sijawah ona mchaga akawa mnywaj alaf akafanikiwa kuacha. Labda aumwe na ameze dawa kila siku.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom