Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kwangu mimi ni habari njema kuwa unagombea kupitia chadema. Go go go keep on going!
 
kama kujulikana ni mpaka ukamatwe na takukuru, then CCM ni vinara wa ku-strategize, if that is what you people call strategies!
Vincent Agustino anafikiri kujulikana mpaka ukimbie na box la kura za maoni, hizo ni mbinu za CCM wanatoa rushwa waziwazi iliwatangazwe redioni, kama ni kujulikana kwa hivo acha nisijulikane.
 
Sasa campaign unafanya kwa kificho ? Hata kama watu wanataka kukupigia kura au kampeni watawezaje mtu mwenyewe hutaki kujitambulisha?

Hivi unaelewa sacrifices za uongozi wewe kweli ? Unaelewa essence ya campaign ? Unaelewa majukumu ?

Au tunataniana tu ?
watu wenyewe mko ulaya hata hamjajiandikisha, GS usijitambulishe wamuulize Mwakalinga yaliyomfika mara baada ya kujitambulisa.
 
Mgombea ubunge tayari kashaonyesha kukosa umakini katika maamuzi.

Kwa upande mmoja, anataka kufanya ugombea wake ubunge kuwa siri hapa JF, hivyo hataki kutuambia jimbo wala jina lake.

Kwa upande mwingine hawezi kuwa msetiri wa habari zake, baada ya kutaka kutoanika jina na jimbo lake, anakuja JF na kutumwagia mpunga, mpaka na vidokezo vya "wilaya yenye jimbo moja" kuturahisishia kazi.

Mgombea ubunge inaonekana anashindwa mtihani mdogo tu wa maamuzi, akifika njia panda anashindwa kuchagua njia ya kwenda, akitaka kuwa msiri anaishia kutoa siri, ataweza ku deal na classified documents za vita dhidi ya ufisadi ?

Strategy iko wapi? Solid decision making iko wapi? Huu ndio uongozi mbadala tunaousubiri? Uongozi unaoogopa kivuli chake wenyewe unawezaje kusimama against the CCM apparatus of Stalinistic machinations ?
kama anahitaji mawazo yako ataku PM lakini kama mawazo yako ndiyo haya sidhani kama anahaja nayo, tuendelee kuchangia kwa vile GS mwenyewe yupo humu JF atachambua mchele na pumba, ref. Mwakalinga watu walimshambulia hadi akakimbia kijiwe.
 
Umeshanitibua na kwenye uchaguzi mkuu na ushindwe kwa sababu hustahili kuwatumikia watu wa jimbo lako.
Nyani Ngabu

na wewe ushindwe na ulegee roho za kwanini hazipendi kuona wengine wakifanikiwa kwa kila jambo nyie ndio mnaombea baba zenu wafe mrithi bila jasho shame on you.

Eti linaombea mwenzake ashindwe hiyo ni akili au matope, ni sawa na wale wanaoombea mafuriko yaje ili nyumba ya jirani ibomoke kwa kuwa yeye kashindwa kujenga, shame on you again.
 
kama anahitaji mawazo yako ataku PM lakini kama mawazo yako ndiyo haya sidhani kama anahaja nayo, tuendelee kuchangia kwa vile GS mwenyewe yupo humu JF atachambua mchele na pumba, ref. Mwakalinga watu walimshambulia hadi akakimbia kijiwe.

Kwa spidi hii, mtu yeyote anaweza kuja humu, kutumia a phony moniker na kuwaambia anagombea ubunge, mkakubali.

Utajuaje kwamba huyu kweli kashinda kura ya maoni na si muhuni tu anayetaka kuwachezea akili?

Hata kama ni kweli kwa nini anajificha? Hajiamini? Ana kitu anachoficha? Mtu anatafuta kura za wananchi kwa kujificha, does this make sense ?

Kwa kumlinganisha na Mwakalinga aliyekimbia maswali una maana GS anaogopa maswali hapa ? Kama anaogopa maswali ya wananchi atawawakilishaje? Ataelewa vipi matatizo ya wananchi ?

Kama hizi ndizo type za wagombea wa CHADEMA basi CCM watatanua kwa miaka mingi ijayo tu. I am sorry to break it to you, huwezi kuwa na mgombea anayeogopa kivuli chake mwenyewe ukategemea ataangusha machine la CCM.
 
watu wenyewe mko ulaya hata hamjajiandikisha, GS usijitambulishe wamuulize Mwakalinga yaliyomfika mara baada ya kujitambulisa.

JF nzima iko ulaya? Kampeni ya uchaguzi ni lazima kupiga kura? mbona una myopic view hivyo ? Mbona Mwanyika ana solicit maoni kwa watu mbalimbali na kajitangaza kwenye networks kibao tu online? Mimi mtu kama Mwanyika at least namuona yuko transparent na anajiamini. Huyu kama kweli ni mgombea na si muhuni tu anayetusanif, namuona muoga na hayuko serious kuhusu campaign yake.
 
Nyani Ngabu

na wewe ushindwe na ulegee roho za kwanini hazipendi kuona wengine wakifanikiwa kwa kila jambo nyie ndio mnaombea baba zenu wafe mrithi bila jasho shame on you.

Eti linaombea mwenzake ashindwe hiyo ni akili au matope, ni sawa na wale wanaoombea mafuriko yaje ili nyumba ya jirani ibomoke kwa kuwa yeye kashindwa kujenga, shame on you again.

Unadulterated tripe!!!!!
 
Kwa spidi hii, mtu yeyote anaweza kuja humu, kutumia a phony moniker na kuwaambia anagombea ubunge, mkakubali.

Utajuaje kwamba huyu kweli kashinda kura ya maoni na si muhuni tu anayetaka kuwachezea akili?

Hata kama ni kweli kwa nini anajificha? Hajiamini? Ana kitu anachoficha? Mtu anatafuta kura za wananchi kwa kujificha, does this make sense ?

Kwa kumlinganisha na Mwakalinga aliyekimbia maswali una maana GS anaogopa maswali hapa ? Kama anaogopa maswali ya wananchi atawawakilishaje? Ataelewa vipi matatizo ya wananchi ?

Kama hizi ndizo type za wagombea wa CHADEMA basi CCM watatanua kwa miaka mingi ijayo tu. I am sorry to break it to you, huwezi kuwa na mgombea anayeogopa kivuli chake mwenyewe ukategemea ataangusha machine la CCM.
Kwani wewe umejiandikisha jimbo gani, tuambie kwanza wewe ni wa jimbo gani ili uulize vinginevyo ataulizwa na wanajimbo, angekuwa ni mgombea urais sawa, kama jimbo lake linahitaji reli ifike jimboni wakati wewe umejiandikisha Wawi Pemba utamsaidiaje ili reli ivuke bahari.
 
Nyani Ngabu

ni mchawi tu ndiye anayeombea wenzake mabaya, kwa nini uombee mwenzako ashindweee? hata kama kuna kosa limefanyika? hiyo ni busara kweli? hebu fikiria au lala utakapoamka kesho utajiona kuwa ulifanya kosa then tubu kwa mwenyezi Mungu.
 
Honger Mkuu hii ni atua moja mbele, kaza buti tupate bunge la kwanza lenye tija tangia uhuru
 
Mimi silazimiki kukuambia nimejiandikisha jimbo gani kwa sababu za privacy yangu. You see mimi naelewa kuchagua kati ya privacy yangu na public service, kwa sababu najua privacy yangu kwangu ni muhimu kuliko public service, sijaamua kugombea nafasi yoyote ya kisiasa na kwa hiyo siwajibiki kukuambia chochote kuhusu my info.

Lakini huyu ndugu yenu hajui kwamba hakuna privacy ya level hii kwa mtu anaye run for public office, you cannot eat your cak and till have it.Ukitaka kuwa private kihivi usiingie kwenye siasa, ukiingia kwenye siasa ukubali kuacha privacy yako, at least katika level ya kutaja jina lako na jimbo unalogombea. These are some fundaments of public service.

Zaidi ya hapo, nimeshaongelea jinsi gani hata watu wasiopiga kura katika jimbo fulani bado wana haki ya kuchambua chaguzi za jimbo hilo. Ingekuwa si hivyo magazeti national yaliyokuwa based Dar yasingeandika habari za uchaguzi wa Mbeya.

Huelewi campaign process inavyofanya kazi, na kwamba influence haiji kwa kura tu, hata watu wanaosoma huu mjadala hapa wanaona kumbe hao watu wenyewe wanaopitishwa kugombea ubunge CHADEMA ndio watupu hivi, wanaanza kupata second thoughts kuhusu wagombea wote wa CHADEMA sasa, wanaona he kumbe tulifikiri CHADEMA wanaleta uongozi mpya kumbe uongozi wenyewe ndio huu hata kampeni kupiga unaogopa, je ukipewa majukumu mazito utaweza kupambana ?

Kwa hiyo damage badala ya kuwa kwa jimbo moja sasa inaanza ku spread kwa wagombea wote wa CHADEMA, wanaanza kuonekana kama si tofauti na CCM.
 
Nyani Ngabu

kubali umeonyesha weakness vinginevyo nitanzisha thread 'NYANI NGABU AOMBEA MWANA JF MWENZAKE ASHINDWE' ili tujadili kama hapo kuna busara imetumika.
 
Honger Mkuu hii ni atua moja mbele, kaza buti tupate bunge la kwanza lenye tija tangia uhuru

Hizi ndizo hoja zinazotakiwa vijana kutiana nguvu sisi kwa sisi na si kuombea mwenzako kushindwa hata kama unajua ana kazi kubwa mbeleni.
 
Watu wengine ukiwaambia nagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA tu, washakukubali bila hata ya kukujua wewe ni nani.

Mtachagua majini na ma bot hivi hivi.
 
Nyani Ngabu

ni mchawi tu ndiye anayeombea wenzake mabaya, kwa nini uombee mwenzako ashindweee? hata kama kuna kosa limefanyika? hiyo ni busara kweli? hebu fikiria au lala utakapoamka kesho utajiona kuwa ulifanya kosa then tubu kwa mwenyezi Mungu.

Don't get me wrong. I am a very forgiving person and I am ready and willing to throw my full support behind her, but mutatis mutandis to her attitude.
 
GS,
Acha woga bana kama kweli wewe kamanda mpiganaji umeamua kujiripua twambie unagombea jimbo gani wengine tupo serious kuchangia kwa hali na mali...sasa kama hatukujuwi jimbo lako tutakuaminije?
Mbona makamanda wenzako akina Mnyika, Dr.Slaa, Zitto...Mw...n.k hawajifichi, naomba jimbo mkuu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom