Nimeshatengeneza Blog Yangu Ya Mambo Ya Utalii Njoeni Muitazame Je iko Poa?

Professional Trader

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
1,220
1,113
Nimetengeneza Blog inayousiana na Mambo ya Utalii iyo apo chini mimi naona iko poa tu sijui nyinyi wataalamu mnaonaje tazama blog Yenyewe apa Tourism In African Country niweka na domain kutokagodady

Shida kubwa kwa sasa ninayoiona ni kupata watembeleaji sasa aisee sio poa

Kama kuna watu mnasome tric aisee au seo tricks za kuatract zaidi watembeleaji ukiachana na content kushiba maana kwenye content apo sina shaka sana

Karibuni Tourism In African Country
 
Jinsi unavyoandika mada zako utapata shida Sana kupata watembeleaji hasa kutoka Google, hivyo website inaweza isipate watembeleaji mpaka kushea kwenye magroup,

Unatakiwa kuandika Kwa kufanya keyword research ya topiki unayoilenga.

Kwa mfano mada ya maisha buffalo uliyoiandika, Mimi title ningeiandika ni

what eats buffalo in the serengeti?

Hii ni keyword ambayo watu wanaandika kwenye Google Search na ushindani wake sio makubwa.

Hivyo kuna chansi ya page yako kutokea kwenye page ya Kwanza ya Google kama uta-optimize page yako vizuri,

Kitu cha kufanya Kwa sasa ni kuongeza contents zifike zaidi ya 100 Kwa miezi mitatu, ukiweza kupata angalau watembeleaji 10,000 Kwa mwezi ndio uanze kufikilia mambo ya monetisation
 
kazi nzuri, enaseketeshaaaaaa
 
Nashukuru kwa ushauri mzuri aise ngoja niufanyie kazi
 
Iko vizuri mnooo,
Ila jaribu kutafuta mtu akuandikie kiingereza kizuri pia epuka kutumia maneno mengiiiiii kwenye utambulisho.
 
Iko vizur. Shida ni kwamba bado hujajua kuandika kwa ajili ya search engines na user. Jifunze hii ndo msingi wa mafanikio kwenye blog.

Kingine
Page ya contact na privacy policy zina redirects kwenye site ya kiarabu. Tatua hii shida.

Pia main menu yako yote haifanyi kazi.

Halafu sjapenda namna unavyo categorize posts zako. categorize posts zako vizur, kisha tumia hizo category kwenye main menu.

Ongezea hizi page kwenye blog yako, about us, na terms of use

Advanced
1.add meta description
2.blog yako ina too much external links kwenda kwenye site ambazo hazieleweki. Fix hii haraka sana.
3. Declare canonical URL

I like the theme of your blog.
 
Shukran mkuu nafanyia kazi ayo
 
Nimetengeneza Blog inayousiana na Mambo ya Utalii iyo apo chini mimi naona iko poa tu sijui nyinyi wataalamu mnaonaje tazama blog Yenyewe apa Tourism In African Country niweka na domain kutokagodady

Shida kubwa kwa sasa ninayoiona ni kupata watembeleaji sasa aisee sio poa

Kama kuna watu mnasome tric aisee au seo tricks za kuatract zaidi watembeleaji ukiachana na content kushiba maana kwenye content apo sina shaka sana

Karibuni Tourism In African Country
Naona pia ongeza ujuzi wa copywriting kichwa cha habari kiwe kifupi ila cha kuvutia tofauti na sasa umeweka virefu
 
Nimetengeneza Blog inayousiana na Mambo ya Utalii iyo apo chini mimi naona iko poa tu sijui nyinyi wataalamu mnaonaje tazama blog Yenyewe apa Tourism In African Country niweka na domain kutokagodady

Shida kubwa kwa sasa ninayoiona ni kupata watembeleaji sasa aisee sio poa

Kama kuna watu mnasome tric aisee au seo tricks za kuatract zaidi watembeleaji ukiachana na content kushiba maana kwenye content apo sina shaka sana

Karibuni Tourism In African Country
Blog ni nzuri ila tafuta mtu akusaidie kwenye uandishi wa Kiingereza. Usitake kufanya kila kitu wewe mwenyewe.
 
Screenshot_2022-05-31-16-08-59-79.jpg
Screenshot_2022-05-31-15-42-04-74.jpg
View attachment 2245845 Next time usirudie haya makosa mkuu yanaweza kukufanya ukakosa wasomaji na pia usipende kutumia neno "very" pendelea zaidi kutumia "extreme adjective" katika uandishi wako.

Mafanikio mema.
 
Attachments

  • Screenshot_2022-05-31-16-08-59-79.jpg
    Screenshot_2022-05-31-16-08-59-79.jpg
    71.1 KB · Views: 13

Similar Discussions

Back
Top Bottom