Nimeshatengeneza Blog Yangu Ya Mambo Ya Utalii Njoeni Muitazame Je iko Poa?

Jinsi unavyoandika mada zako utapata shida Sana kupata watembeleaji hasa kutoka Google, hivyo website inaweza isipate watembeleaji mpaka kushea kwenye magroup,

Unatakiwa kuandika Kwa kufanya keyword research ya topiki unayoilenga.

Kwa mfano mada ya maisha buffalo uliyoiandika, Mimi title ningeiandika ni

what eats buffalo in the serengeti?

Hii ni keyword ambayo watu wanaandika kwenye Google Search na ushindani wake sio makubwa.

Hivyo kuna chansi ya page yako kutokea kwenye page ya Kwanza ya Google kama uta-optimize page yako vizuri,

Kitu cha kufanya Kwa sasa ni kuongeza contents zifike zaidi ya 100 Kwa miezi mitatu, ukiweza kupata angalau watembeleaji 10,000 Kwa mwezi ndio uanze kufikilia mambo ya monetisation
For the first time nimeelewa SEO inatumikaje...let put it in my data base.
 
Nimetengeneza Blog inayousiana na Mambo ya Utalii iyo apo chini mimi naona iko poa tu sijui nyinyi wataalamu mnaonaje tazama blog Yenyewe apa Tourism In African Country niweka na domain kutokagodady

Shida kubwa kwa sasa ninayoiona ni kupata watembeleaji sasa aisee sio poa

Kama kuna watu mnasome tric aisee au seo tricks za kuatract zaidi watembeleaji ukiachana na content kushiba maana kwenye content apo sina shaka sana

Karibuni Tourism In African Country
Mkuu Blog yako ina muda gani toka uanze kupost makala zako?
 
Nimetengeneza Blog inayousiana na Mambo ya Utalii iyo apo chini mimi naona iko poa tu sijui nyinyi wataalamu mnaonaje tazama blog Yenyewe apa Tourism In African Country niweka na domain kutokagodady

Shida kubwa kwa sasa ninayoiona ni kupata watembeleaji sasa aisee sio poa

Kama kuna watu mnasome tric aisee au seo tricks za kuatract zaidi watembeleaji ukiachana na content kushiba maana kwenye content apo sina shaka sana

Karibuni Tourism In African Country
usisahau kuweka royal tour
 
Wewe hujui chochote kuhusu preference za viewers. Kutafuta viewers sio jukumu lako ni jukumu la search engines (google, bing etc) maana wao ndio wanajua ni nani anaendana na content ulizo publish.

Unacho takiwa ni kutengeneza well optimized valuable contents then swala viewers waachie akina google, bing nk nk wao watatafuta viewers wanao endana na content yako.
 
Iko vizur. Shida ni kwamba bado hujajua kuandika kwa ajili ya search engines na user. Jifunze hii ndo msingi wa mafanikio kwenye blog.

Kingine
Page ya contact na privacy policy zina redirects kwenye site ya kiarabu. Tatua hii shida.

Pia main menu yako yote haifanyi kazi.

Halafu sjapenda namna unavyo categorize posts zako. categorize posts zako vizur, kisha tumia hizo category kwenye main menu.

Ongezea hizi page kwenye blog yako, about us, na terms of use

Advanced
1.add meta description
2.blog yako ina too much external links kwenda kwenye site ambazo hazieleweki. Fix hii haraka sana.
3. Declare canonical URL

I like the theme of your blog.
Habari boss, naona uko vizuri sana kwenye mambo ya blogging,unafanya hiyo shughuli? Naamini nina uwezo wa kugenerate content za aina mbali mbali za kiswahili lakini sina platform ya kuandika. Je unaweza nipa msaada wa kupata blog yangu ntakayokuwa naandika? Au kuniunganisha na watu wenye blog nami niweke content zangu?
Tunaweza kuongea namna ya kutengeneza pesa kupitia kazi hii.
 
Blogging ndo kazi yangu mkuu. Kwa msaada zaidi ni pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom