Nimeshangazwa sana na majibu ya mama wa rafiki yangu

Daaahhh single mathers hawatendewi haki kabisa
huu ubaguzi sijui utaisha lini.

Maendeleo hayana chama
Waende kwa waliozaa nao! sawa?Kuna watu wamechukua contract ya kuzalisha na kuacha,its high time wa take responsibility!
 
Unapopata platform ya kujadili mambo ya msingi kama hii unatakiwa kuwa makini na unachokuja kupost hapa.......!

Sio unatunga upuuzi halafu sisi tunakuazima attention zetu tukijua una jambo la msingi la kuongea kumbe pumba tupu......pumbavu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom