Nimeshangazwa sana na majibu ya mama wa rafiki yangu

NIMESHANGAZWA SANA NA MAJIBU YA MAMA WA RAFIKI YANGU.

Wakuu,

Kuna rafiki yangu huku kitaa amekuwa aki_date na manzi fulani ambaye kiumri wanalandana,
Ila huyo manzi ana mtoto wa miaka minne ambaye baba yake alimtelekeza kitambo.

Sasa huyu mshikaji wangu amefikia maamuzi ya kutaka kumuoa huyu binti,
Na akaona jambo la kwanza ni kumjuza Bi. Mkubwa wake.

Hivyo akanifuata kama rafiki/ndugu wa karibu ili nimsindikize kwa mama yetu (mama yake) tukampe habari njema,
Ikizingatiwa mama amekuwa akiulizia sana kipengele cha mwanaye kuoa.

--------------
Kiukweli Mama alitupokea vizuri kwa shangwe na bashasha tele,
Kwani jamaa alishamdokeza mama kuwa mazungumzo yanahusu habari njema za kubeba jiko.

Msh'kaji alifunguka vema sana kwa Mama,
Na mama akaonekana kuwa furaha, nderemo na shauku kubwa sana ya kumwona mkwewe tarajali.

Akiwa na uso wenye tabasamu pana,
Akaniangalia huku akisema,

" Seneta Wa Mtwiz,
You see ??
It's high time now you young men need to have fruitful social decisions of this kind,

Mind you that,
Our sons getting hitched is amongst notable prides of we parents-

In so doing,
Let your friend start,
And so you follow the very same path-
Since your parents are alongside you in any move towards a prosperous future of you guys.

Simply saying,
We'll support you morally and materially-
Go on guys!!! "

Bi. Mkubwa aliongea meno yote yakiwa nje kwa furaha.

-----------
Ila kiukweli mchizi wangu kuna kipengele alikikwepa kumwambia maza wake kwenye mazungumzo yake-
Hakumwambia 'Maza' kuwa mkwe tarajali alishazaa na jamaa mwingine miaka minne iliyopita.

Mother alipotoka sebuleni kwenda kuturekebishia menyu jikoni-
Mi' nikaona kuna haja ya kuvunja ukimya,

Nikamchana mwana,
Nikamwambia,
"Mwanangu hapa usifiche kitu-
Huyu ni maza wako mzazi,
Mwambie ukweli wa kila kitu ili Bi. Mkubwa aujue uhalisia,
Kuliko kuficha vitu sensitive kama hivyo- baada'e mtaanza kulaumiana.
Kumwambia 'maza' hicho kipengele ni typical unkwepable!!!"

----------
Basi maza aliporejea,
Mchizi akaanza kujing'atang'ata pale-
Kisha akamwambia kuhusu hicho kipengele.

Aisee !!!
Maza mzuka wote ukamwishia,
Hadi sura yake yenye bashasha, shangwe na nderemo ikakunja ndita kiaina.

Huyu maza ni mtu fulani mkarimu sana,
Mwenye busara, hekima na maadili ya hali ya juu,
Ni mtu ambaye amekuwa akiheshimika sana katika jamii kwa upeo wake wa juu na matumizi sahihi ya elimu yake ya shahada mbili (kitaaluma yeye ni gynecologist i.e daktari 'specialist' wa magonjwa ya wanawake).

Kilipita kimya kama cha dakika 11 na sekunde 4 hivi huku mama akionekana kutafakari jambo,
Na sisi tukiwa tumetulia kimya tukisubiri madini atakayoyatema huyu mama (maana'ke ni mtu fulani mwenye hoja kuntu mithili ya zile za Mbunge Lissu dhidi ya 'Mashilingi').

-------
Tofauti na ambavyo tulitarajia,
Bi. Mkubwa aliongea maneno matatu tu-
Maneno ambayo hayakutarajiwa kusikika katika kinywa chake kwa hadhi, umri na nafasi yake.

Maza alituangalia,
Akasema,
"Madogo, Acheni Us*nge!!!"

---------
Na nd'o ukawa mwisho wa mazungumzo kwa kikao hicho.

Mpaka hivi sasa sijaielewa mantiki ya majibu ya huyu maza wa rafiki yangu kwa kweli.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Hicho ndicho kiingereza cha masterz cha gynecologist?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nd'o ukawa mwisho wa mazungumzo kwa kikao hicho.

Mpaka hivi sasa sijaielewa mantiki ya majibu ya huyu maza wa rafiki yangu kwa kweli.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."

I can totally understand a guy who doesn't want to marry a single mother (Not every cup is for every one).
Nna sababu mbili tu za ni kwanini tusiendeleze hizi kampeni za kuwadiss;

1) They did not get themselves pregnant! Ni huu uzinzi / uasherati wetu. In this visious cycle matokeo yake ndo hayo. Kama a man or a Lady sio bikra, acheni kabisa kuzungumzia wala kujifanya kuchukia single parents. Si ni matokeo ya matendo hayo??? Unakuta mtu kutwa anakitembeza halafu anakuja eti ctaki single mother / father?

2) These are the Ladies who chose love over 'maisha mteremko'. Yani badala ya kwenda kutoa aliamua kuzaa. Hapo utakuta kuna wanaume wameshatoa sana hela za kwenda kuchomoa mimba. Wakisahau kuwa hao ni binadamu. Unamuacha dada huyu unaenda oa aliyechomoa mimba2 kisa hana mtoto. Kweli hii dunia inaisha.

Msifungue threads bila kufikiria vitu critically, kwa sababu hata ukisema mzazi mwenzie atamsumbua. Hawa wenzi wetu wengine wana ex zao na wanasumbuana bado. Please you don't want them at least msiwaharibie basi
 
Tatizo lao wanafanya mapenzi kama wanavuka barabara kuu pasipo kufumbua macho!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIMESHANGAZWA SANA NA MAJIBU YA MAMA WA RAFIKI YANGU.

Wakuu,

Kuna rafiki yangu huku kitaa amekuwa aki_date na manzi fulani ambaye kiumri wanalandana,
Ila huyo manzi ana mtoto wa miaka minne ambaye baba yake alimtelekeza kitambo.

Sasa huyu mshikaji wangu amefikia maamuzi ya kutaka kumuoa huyu binti,
Na akaona jambo la kwanza ni kumjuza Bi. Mkubwa wake.

Hivyo akanifuata kama rafiki/ndugu wa karibu ili nimsindikize kwa mama yetu (mama yake) tukampe habari njema,
Ikizingatiwa mama amekuwa akiulizia sana kipengele cha mwanaye kuoa.

--------------
Kiukweli Mama alitupokea vizuri kwa shangwe na bashasha tele,
Kwani jamaa alishamdokeza mama kuwa mazungumzo yanahusu habari njema za kubeba jiko.

Msh'kaji alifunguka vema sana kwa Mama,
Na mama akaonekana kuwa furaha, nderemo na shauku kubwa sana ya kumwona mkwewe tarajali.

Akiwa na uso wenye tabasamu pana,
Akaniangalia huku akisema,

" Seneta Wa Mtwiz,
You see ??
It's high time now you young men need to have fruitful social decisions of this kind,

Mind you that,
Our sons getting hitched is amongst notable prides of we parents-

In so doing,
Let your friend start,
And so you follow the very same path-
Since your parents are alongside you in any move towards a prosperous future of you guys.

Simply saying,
We'll support you morally and materially-
Go on guys!!! "

Bi. Mkubwa aliongea meno yote yakiwa nje kwa furaha.

-----------
Ila kiukweli mchizi wangu kuna kipengele alikikwepa kumwambia maza wake kwenye mazungumzo yake-
Hakumwambia 'Maza' kuwa mkwe tarajali alishazaa na jamaa mwingine miaka minne iliyopita.

Mother alipotoka sebuleni kwenda kuturekebishia menyu jikoni-
Mi' nikaona kuna haja ya kuvunja ukimya,

Nikamchana mwana,
Nikamwambia,
"Mwanangu hapa usifiche kitu-
Huyu ni maza wako mzazi,
Mwambie ukweli wa kila kitu ili Bi. Mkubwa aujue uhalisia,
Kuliko kuficha vitu sensitive kama hivyo- baada'e mtaanza kulaumiana.
Kumwambia 'maza' hicho kipengele ni typical unkwepable!!!"

----------
Basi maza aliporejea,
Mchizi akaanza kujing'atang'ata pale-
Kisha akamwambia kuhusu hicho kipengele.

Aisee !!!
Maza mzuka wote ukamwishia,
Hadi sura yake yenye bashasha, shangwe na nderemo ikakunja ndita kiaina.

Huyu maza ni mtu fulani mkarimu sana,
Mwenye busara, hekima na maadili ya hali ya juu,
Ni mtu ambaye amekuwa akiheshimika sana katika jamii kwa upeo wake wa juu na matumizi sahihi ya elimu yake ya shahada mbili (kitaaluma yeye ni gynecologist i.e daktari 'specialist' wa magonjwa ya wanawake).

Kilipita kimya kama cha dakika 11 na sekunde 4 hivi huku mama akionekana kutafakari jambo,
Na sisi tukiwa tumetulia kimya tukisubiri madini atakayoyatema huyu mama (maana'ke ni mtu fulani mwenye hoja kuntu mithili ya zile za Mbunge Lissu dhidi ya 'Mashilingi').

-------
Tofauti na ambavyo tulitarajia,
Bi. Mkubwa aliongea maneno matatu tu-
Maneno ambayo hayakutarajiwa kusikika katika kinywa chake kwa hadhi, umri na nafasi yake.

Maza alituangalia,
Akasema,
"Madogo, Acheni Us*nge!!!"

---------
Na nd'o ukawa mwisho wa mazungumzo kwa kikao hicho.

Mpaka hivi sasa sijaielewa mantiki ya majibu ya huyu maza wa rafiki yangu kwa kweli.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Hii ni chai ya babu Sago kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWa mtu mzima yiyite ambaye anaelewa mahusiano na hizi issue totally hii hadithi haujajipa creditungesema imeandikwa na...............
Mkuu yaani hakuna chochote cha ukweli hapooo ni hadithi tu hiyo kama ukweli upo basi chumvi imekuponza kabisa kukufanya usiwe mkweli
Pia kama ulikuwa haujui single mother wanaolewa sana kuliko hao mnaowaona ndio watulivu then idadi kubwa wanaume now wanaoa mwanamke haswaaa ni kwa mapenzi ya dhati ulimwengu ulivyo hatuna tena mambo ya kupelekeshana
Bimkubwa ambaye kaongea maneno ya pale juu asingeweza kumkataa mwanae kihivyo

ila pia hadithi nzuri ongeza ubunifu tu
 
Hawa watu wanapitia vipindi vigumu sana. Ila kati yao wapo ambao ni mifano ya kuigwa kwa kuwa wake BORA. Suala la kuwa nini kilitokea hadi kuwa single mother kila mmoja anayo story yake. Kuna zinazohuzunisha,kukarahisha,na nyingine ambazo zimetumika kuwafanya wawe bora zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom