sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 865
Nimewaona akina mama wakiwa katika kongamano la kuadhimisha siku yao Duniani kwa hapa kwetu nchini, kilichonishangaza ni kuona wale wote waliokuwa wakiongea akiwemo mgeni rasmi walitumia lugha ya kigeni ili hali naamini asilimia kubwa kati ya waliohudhuria ni watanzania.
Nina wasiwasi kuna watu waliondoka bila kuambua neno, huku upande wa pili mh Rais kwenye mkutano wa kimataifa akimkaribisha Rais wa Vietnam yeye akitumia lugha ya Taifa mbali na kuwepo wasioijua kabisa lugha hiyo, hii ni kuenzi utamaduni wetu wakina mama mnatakiwa.
MBADILIKEE.