kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,075
- 15,912
Baada ya profesa msomi sana mjuvi sana aliyewagaragaza mabeberu yaliokua wakitunyonya kwa kushirikiana na wezi waliopo hapa nchini watanzania wenzetu, kutuibia maliasili zetu, jana Palangamanda Kabudi amechafua hali ya hewa baada ya mawakala wa mabeberu na wanaharakati uchwara wa nyuma ya keyboard kutoa povu kumjibu profesa kama wao ndio bunge la ulaya kule jamuhuri ya twitter yupo wakala:
1. Zitto 2. Maria sarungi 3. Haule madevu.
Kwa kweli watu hawa si wema hata kidogo kwa mustakabali wa nchi wamulikwe na waangaliwe vyema.
Mawakala hawa wanatoa kejeli na dhihaka nyingi wameshasahau kama nao ni Watanzania.
Yaani imewauma sana profesa mjuvi kuwajibu mabeberu sasa wao ndio wamekuwa ndio wenye uchungu kuliko mabalozi waliopo hapa mkizidi sana mtalala ubalozini bila ya sababu!