Nimeshangazwa na Wananchi wanaobeza majibu ya Prof. Kabudi kwa nchi za Magharibi

Serikali imara huwa haiwabambikii kesi kesi uonevu unyanyasaji mateso kwa wapinzani na wala Serikali imara haibaki kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
Utakalia na ngonjera zako hizi hadi miaka mitano ya jpm inaisha
 
Unavyoandika tu unaoneka uelewa wako wewe dada ni zero. Nenda tu ukaolewa huko na mabeberu utuachie nchi yetu ikiwa salama!
Wewe Mbona ni mbumbumbu juha zuzu kilaza wa kutupwa? Uelewa huko CCM ni kumwita mzungu Beberu? Kwani CCM ni mbuzi jike? Kutwa CCM mnawaomba misaada wazungu na mkienda huko mnawaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu wenu ndipo mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi ni mbuzi jike, wewe nenda ukaolewe na kibabu kabudi acha kujitoa fahamu.
 
Huo mfano wako ni wa kibwege mno kwani ni alikutuma uulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu? nani kakutuma kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Unataka uwe unafanya unyama manyanyaso mateso uonevu kwa wapinzani pasipo wapinzani kusaka Haki? Ukitaka kusiwepo na akina Amsterdam acha vitendo vyako haramu vya kishamba na kishetani
Wewe na watu wako wachache mnajulikana na kila mtu kama watengeneza-matukio za kutafutia huruma za wananchi, watu wa madili & ruzuku za serikali kwenye sakosi, wazushi mliokubuhu, wabishi, waongo, wapinga-kila kitu na hamna hata chembe ya uzalendo. Hakuna mtu atakayekaa awaamini. Mr Mzungu alipotaka kuwaandamanisha Watanzania wafe mbona???
 
Baada ya profesa msomi sana mjuvi sana aliyewagaragaza mabeberu yaliokua wakitunyonya kwa kushirikiana na wezi waliopo hapa nchini watanzania wenzetu, kutuibia maliasili zetu ,jana palangamanda kabudi amechafua hali ya hewa baada ya mawakala wa mabeberu na mashoga na wanaharakati uchwara wa nyuma ya keyboard kutoa povu kumjibu profesa kama wao ndio bunge la ulaya kule jamuhuri ya twitter yupo wakala
1.Zitto
2.Maria sarungi
3.Haule madevu
Kwa kweli watu hawa si wema hata kidogo kwa mustakabali wa nchi wamulikwe na waangaliwe vyema,
Mawakala hawa wanatoa kejeli na dhihaka nyingi wameshasahau kama nao ni watanzania,
Yaani imewauma sana profesa mjuvi kuwajibu mabeberu sasa wao ndio wamekuwa ndio wenye uchungu kuliko mabalozi waliopo hapa mkizidi sana mtalala ubalozini bila ya sababu!
I'm sorry to call you a "torture agent".
 
Uyo unayemwita mjuzi,hakujibu hoja kama ilivyo.
Pesa imetumikaje wakati hakukuwa na corona? Mwambie ajibu hilo.

Pili swali aliulizwa mwenyekiti wa bunge hilo,kuwa Tanzania ilikuwa na kigezo gani cha kumfanya pesa ya covidi wakati huo ugonjwa haupo?

Ajibu hilo kama swali linamuhusu siyo kupuyanga tu na kutoa mijicho utadhani mjusi kabanwa na mlango
 
Wewe Mbona ni mbumbumbu juha zuzu kilaza wa kutupwa? Uelewa huko CCM ni kumwita mzungu Beberu? Kwani CCM ni mbuzi jike? Kutwa CCM mnawaomba misaada wazungu na mkienda huko mnawaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu wenu ndipo mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi ni mbuzi jike, wewe nenda ukaolewe na kibabu kabudi acha kujitoa fahamu.
Naona umepaniki??? Huyo alikuwa anakutania tu. Issue yenyewe iko hivi, leo maandamano hakuna???
 
Baada ya profesa msomi sana mjuvi sana aliyewagaragaza mabeberu yaliokua wakitunyonya kwa kushirikiana na wezi waliopo hapa nchini watanzania wenzetu, kutuibia maliasili zetu ,jana palangamanda kabudi amechafua hali ya hewa baada ya mawakala wa mabeberu na mashoga na wanaharakati uchwara wa nyuma ya keyboard kutoa povu kumjibu profesa kama wao ndio bunge la ulaya kule jamuhuri ya twitter yupo wakala
1.Zitto
2.Maria sarungi
3.Haule madevu
Kwa kweli watu hawa si wema hata kidogo kwa mustakabali wa nchi wamulikwe na waangaliwe vyema,
Mawakala hawa wanatoa kejeli na dhihaka nyingi wameshasahau kama nao ni watanzania,
Yaani imewauma sana profesa mjuvi kuwajibu mabeberu sasa wao ndio wamekuwa ndio wenye uchungu kuliko mabalozi waliopo hapa mkizidi sana mtalala ubalozini bila ya sababu!
Huyo sarungi sio mtanzania kafuata asili yao upande wa mama ndomana..kuna mila mama ndo mzazi halali sio baba..
 
Matanga sijasikia katibu akisema mtoke mkapangue hoja au siku izi anawatonya kimya kimya.

Ila bado haujasema hela za korona ilitumikaje. Ndio jibu zuri kwa Sasa

Hapa sijaelewa kwa polepole
Screenshot_20201122-070459.jpg
 
Hawa ni sampuli ya wale watu wanaotaka wakubamize, halafu wewe hupaswi kujibu chochote ili waseme umewaogopa. The only thing they have forgotten ni kwamba hii ni Tanzania nyingine kabisa. Kuna watu watakuja kuzikumbuka na kuziaprishieti nyakati hizi wakiwa wamechelewa sana. Mr Mzungu anakwambia, You can take that to the bank!
A band of bandits.
 
Uyo unayemwita mjuzi,hakujibu hoja kama ilivyo.
Pesa imetumikaje wakati hakukuwa na corona? Mwambie ajibu hilo.

Pili swali aliulizwa mwenyekiti wa bunge hilo,kuwa Tanzania ilikuwa na kigezo gani cha kumfanya pesa ya covidi wakati huo ugonjwa haupo?

Ajibu hilo kama swali linamuhusu siyo kupuyanga tu na kutoa mijicho utadhani mjusi kabanwa na mlango
1. Una uhakika Kovid-19 haikuwepo Tanzania??? Au umehamia na wewe???

2. Unatoaje pesa bila kujua ni kwa kusudi gani ama inaenda kutumiaje? ??
 
Uyo unayemwita mjuzi,hakujibu hoja kama ilivyo.
Pesa imetumikaje wakati hakukuwa na corona? Mwambie ajibu hilo.

Pili swali aliulizwa mwenyekiti wa bunge hilo,kuwa Tanzania ilikuwa na kigezo gani cha kumfanya pesa ya covidi wakati huo ugonjwa haupo?

Ajibu hilo kama swali linamuhusu siyo kupuyanga tu na kutoa mijicho utadhani mjusi kabanwa na mlango
Kibabu kabudi kimepata pesa za mgao toka kwenye fungu la pesa za corona ndiyo maana kamejitoa fahamu zote kanawafokea wazungu kama kapo gheto kwa cyprian Musiba kakivuta Bangi
 
Acha ndoto kisa unasaka uteuzi mda saa yeyote utashuhudia maajabu ya Dunia
Sina shida na uteuzi,mimi ni mwajiriwa serikalini,huo ndo uteuzi wangu,ninachokitetea hapa ni kuhusu vibaraka wa wazungu kuinanga nchi yetu,

Hivyo vitisho vya muda na masaa utavisubiri sana wewe,hakuna jipya lolote liwalo litatokea
 
Back
Top Bottom