Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Mbeya na Rukwa PC moja ya bati g30 ni 27,500-28,000 na bando ni Kati ya 432,000-440,000Wapi kiongozi nijuze ..tufatilie huku dar bei chafu
Mbeya na Rukwa PC moja ya bati g30 ni 27,500-28,000 na bando ni Kati ya 432,000-440,000Wapi kiongozi nijuze ..tufatilie huku dar bei chafu
Kwamba gazeti la Mwananchi sio reliable source? Na wewe jichekeshe ukipenda..Nmeweka ushahidi wa document ya kiwandani! Weka reliable source ya bei inayosema, weka hata invoice ya kiwanda chochote, unajichekeshaje mbele ya wanaume wenzio? Weka fact mezani
Si ndio maana na mimi nimemzingua Yaani anadhani kila mtu mjinga,tuko kwenye sekta ya ujenzi kila siku tunacheza na materials za ujenzi..Wapi huko mkuu,Tanzania hii au Ni Burundi? Bati gauge 30 limepanda kutoka 18,000/= Hadi 22-25,000/=, hii Bei yako ya 41,000/= kwa gauge 30 imeanza lini?
Kumbe hata kuisoma ujui hyo doc? Mwananch wana kiwanda cha bati? Unaelewa maana ya quotation kwenye journalism? Ulichoweka ni quote ya mtu aliyehojiwa weka reliable source mbona simple!Kwamba gazeti la Mwananchi sio reliable source? Na wewe jichekeshe ukipenda..
Umeweka bei ya kiwandani hapo sasa hiyo bei kwa retailer inazidizi 27,000-28,000 kwa PC?
Hivyo vibali vya ujenzi vyenyewe mtihani, mtu anataka rushwa bila kupepesa macho.Sisi tunachotaka ni mlipie vibali vya ujenzi...jukumu letu linaishia hapo hayo mengine pambaneni na hali zenu,
Achana nae huyo ndugu yangu atakuchosha tu.
Avatar yako ina terminology ya kichumi lkn huitendei haki, si kila bidhaa inaweza ikafeli in short run, lkn vifaa vya ujenzi majirani zetu wote wanazalisha pale Uganda kuna mabati ya orijino ya bei fololo ni kitendo Cha wizara tu hapo mtukula kuwanotify maafisa wa forodha ruhusuni mabati yaingie kwa kulegeza mashariti ya import duty, dakika mbili kunakuwa na mafuriko ya mabati nchini.Pole Sana,hizo monetary policy tools haziwezi ku effect kwenye short run..
BOT ilifanya kitu kama hicho kwenye interests na kutoa wito kwa mabenki kishusha riba,vipi mchumi riba zimeshuka?
bati gani?? nenda Ando migongo midogo 47000Acha uongo mkuu kwamba pc 1=tsh.41,346? Kwamba bando 1 ni zaidi ya 600k? Mbona mkoani bei ni hiyo 27,000 kwa PC?
Andi anatumia nani bwana,hapa ni bati za mchina ,kiboko nkbati gani?? nenda Ando migongo midogo 47000
Kinachozuia siku zote hayo mabati kuingia nchini ni nini?Avatar yako ina terminology ya kichumi lkn huitendei haki, si kila bidhaa inaweza ikafeli in short run, lkn vifaa vya ujenzi majirani zetu wote wanazalisha pale Uganda kuna mabati ya orijino ya bei fololo ni kitendo Cha wizara tu hapo mtukula kuwanotify maafisa wa forodha ruhusuni mabati yaingie kwa kulegeza mashariti ya import duty, dakika mbili kunakuwa na mafuriko ya mabati nchini.
sasa sokoni zinafanya nn kama hazitumiki sema hutumiii ila zinauzwa we bwana vipAndi anatumia nani bwana,hapa ni bati za mchina ,kiboko nk
Na vifurushi kupanda Bei Ni kwasababu ya China ?Nimesoma report kutoka mwananchi, kumbe shida inaanzia china, nao wana miradi mikubwa kiasi kwamba export ya materia ya chuma imepunguzwa, kwa hiyo tujipange siku ngumu zinakuja mbeleni dont expect hizi price zishuke paap!
Kwani Tanzania ilikuwa imejifungia kipindi Cha corona ?Yote ni mfumuko wa bei, huwezi ku control mfumuko wa bei kiurahisi kwa sababu mnyororo unaosababisha kutokea mfumuko wa bei ni mkubwa sana unahusisha sector nyingi sana ndani na nje ya nchi
Nikupe mfano, nchi nyingi zilikuwa zimejuifungia hamna uzalishaji wa kutosha kuanzia kwenye, mazao, uchimbaji madini kama chuma na aluminium, mafuta, viwanda n.k now wanajifungulia unadhani hali itakuwaje?
Kwani Tanzania ilikuwa imejifungia kipindi Cha corona ?
Mbona Kenya na Uganda ambazo zilikuwa zimejifungia bidhaa hazijapanda Bei Kama hapa TANZANIA!!
Kama unabisha uliza hizo bidhaa zilizopanda Bei Tanzania kwa upande wa Kenya zikoje Bei ...
Mafuta yanapanda Bei Tanzania na Malawi Bei inakuwa chini wakati yamepitia bandar ya Dsm
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sasa tulipie hivyo vibali ili tujengee nini?? Unaambiwa kila kitu kimepanda bei☹Sisi tunachotaka ni mlipie vibali vya ujenzi...jukumu letu linaishia hapo hayo mengine pambaneni na hali zenu,
Unaongea vitu hata huvijui mwaka Jana Bei ya mafuta Marekani ilifikia Hadi negative ila Tanzania Bei ilibaki kuwa kubwa!Soma kwa kutulia, hapa tunaongelea vifaa vya ujenzi...utakuwa upo nyuma sana kufuatilia habari mafuta yamepanda nchi kibao duniani jana tuu marekani kaamua kunfungulia reserve yake ku ease situation mafuta marekani yamepanda mara 2 ya ilivyokuwa
Uliza bei ya vyakula kenya na uganda
View attachment 2022372
Babu ni hizo import duty ndo zinazuia yasiingie,Kinachozuia siku zote hayo mabati kuingia nchini ni nini?
Huna akili, negative maana kwamba mtu akienda kuweka mafuta analipwa ama? I hate kujenga hoja na dumb ass kids...Unaongea vitu hata huvijui mwaka Jana Bei ya mafuta Marekani ilifikia Hadi negative ila Tanzania Bei ilibaki kuwa kubwa!
Wiki iliyopita nilikuwa Kenya so naongea ninachokijua acha kuleta taarifa zako za vitini.
Nenda Malawi hapo kaulizie Bei ya mafuta ya petrol ni shilingi 1,600 kwa lita 1. Leo Tanzania Ni tsh 2,400. Kwanini Bei iwe kubwa TANZANIA tu ? Hadi Burundi Petrol Bei ni chini. Sijui unazungumzia dunia ipi Bei ya mafuta ni kubwa.
Nyie ndio mkipewa nyadhifa mnaendesha nchi kipumbavu.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Utoe Ili ukose mapato? Hakuna kitu kama hiyo,nondo na mabati sio basic needBabu ni hizo import duty ndo zinazuia yasiingie,