Nimeshangazwa na kukuta mabati yamepanda bei

Bati G.30 ni 28,000 hadi 27,500.
G. 30 kiwandani ni 13,500@ mt 1. (Wachina)
Mabati ya alaf ni 17,500 @mt 1. Hii ni kwa hapa dodoma, nimenunua tar 19 nov. mwaka huu"
Achana nae huyo ndugu yangu atakuchosha tu.
 
Nmeweka ushahidi wa document ya kiwandani! Weka reliable source ya bei inayosema, weka hata invoice ya kiwanda chochote, unajichekeshaje mbele ya wanaume wenzio? Weka fact mezani
Kwamba gazeti la Mwananchi sio reliable source? Na wewe jichekeshe ukipenda..

Umeweka bei ya kiwandani hapo sasa hiyo bei kwa retailer inazidizi 27,000-28,000 kwa PC?
 
Wapi huko mkuu,Tanzania hii au Ni Burundi? Bati gauge 30 limepanda kutoka 18,000/= Hadi 22-25,000/=, hii Bei yako ya 41,000/= kwa gauge 30 imeanza lini?
Si ndio maana na mimi nimemzingua Yaani anadhani kila mtu mjinga,tuko kwenye sekta ya ujenzi kila siku tunacheza na materials za ujenzi..
 
Kwamba gazeti la Mwananchi sio reliable source? Na wewe jichekeshe ukipenda..

Umeweka bei ya kiwandani hapo sasa hiyo bei kwa retailer inazidizi 27,000-28,000 kwa PC?
Kumbe hata kuisoma ujui hyo doc? Mwananch wana kiwanda cha bati? Unaelewa maana ya quotation kwenye journalism? Ulichoweka ni quote ya mtu aliyehojiwa weka reliable source mbona simple!
 
Achana nae huyo ndugu yangu atakuchosha tu.

Unajua hawa chawa 1% hawajui chochote kuhusu maisha Mtanzania. Akili zao ni kutumia media koU-control ukweli, mawazo yote ya Watanzania.

Hawajali hata babu zao, bibi wanaishi vipi, 99% ya Watanzania.

Kazi yao ni kutukana kukutoa kwenye reli, kupotosha, kupinga kila kitu. Wamempata Blair kuwaongoza.
 
Pole Sana,hizo monetary policy tools haziwezi ku effect kwenye short run..

BOT ilifanya kitu kama hicho kwenye interests na kutoa wito kwa mabenki kishusha riba,vipi mchumi riba zimeshuka?
Avatar yako ina terminology ya kichumi lkn huitendei haki, si kila bidhaa inaweza ikafeli in short run, lkn vifaa vya ujenzi majirani zetu wote wanazalisha pale Uganda kuna mabati ya orijino ya bei fololo ni kitendo Cha wizara tu hapo mtukula kuwanotify maafisa wa forodha ruhusuni mabati yaingie kwa kulegeza mashariti ya import duty, dakika mbili kunakuwa na mafuriko ya mabati nchini.
 
Kinachozuia siku zote hayo mabati kuingia nchini ni nini?
 
Nimesoma report kutoka mwananchi, kumbe shida inaanzia china, nao wana miradi mikubwa kiasi kwamba export ya materia ya chuma imepunguzwa, kwa hiyo tujipange siku ngumu zinakuja mbeleni dont expect hizi price zishuke paap!
Na vifurushi kupanda Bei Ni kwasababu ya China ?

Kuongezeka kwa tozo za miamala ni kwasababu ya China ?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Yote ni mfumuko wa bei, huwezi ku control mfumuko wa bei kiurahisi kwa sababu mnyororo unaosababisha kutokea mfumuko wa bei ni mkubwa sana unahusisha sector nyingi sana ndani na nje ya nchi

Nikupe mfano, nchi nyingi zilikuwa zimejuifungia hamna uzalishaji wa kutosha kuanzia kwenye, mazao, uchimbaji madini kama chuma na aluminium, mafuta, viwanda n.k now wanajifungulia unadhani hali itakuwaje?
Kwani Tanzania ilikuwa imejifungia kipindi Cha corona ?

Mbona Kenya na Uganda ambazo zilikuwa zimejifungia bidhaa hazijapanda Bei Kama hapa TANZANIA!!

Kama unabisha uliza hizo bidhaa zilizopanda Bei Tanzania kwa upande wa Kenya zikoje Bei ...

Mafuta yanapanda Bei Tanzania na Malawi Bei inakuwa chini wakati yamepitia bandar ya Dsm

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Tanzania ilikuwa imejifungia kipindi Cha corona ?

Mbona Kenya na Uganda ambazo zilikuwa zimejifungia bidhaa hazijapanda Bei Kama hapa TANZANIA!!

Kama unabisha uliza hizo bidhaa zilizopanda Bei Tanzania kwa upande wa Kenya zikoje Bei ...

Mafuta yanapanda Bei Tanzania na Malawi Bei inakuwa chini wakati yamepitia bandar ya Dsm

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

Soma kwa kutulia, hapa tunaongelea vifaa vya ujenzi...utakuwa upo nyuma sana kufuatilia habari mafuta yamepanda nchi kibao duniani jana tuu marekani kaamua kunfungulia reserve yake ku ease situation mafuta marekani yamepanda mara 2 ya ilivyokuwa

Uliza bei ya vyakula kenya na uganda

Screenshot_20211124-220423_Samsung Internet.jpg
 
Soma kwa kutulia, hapa tunaongelea vifaa vya ujenzi...utakuwa upo nyuma sana kufuatilia habari mafuta yamepanda nchi kibao duniani jana tuu marekani kaamua kunfungulia reserve yake ku ease situation mafuta marekani yamepanda mara 2 ya ilivyokuwa

Uliza bei ya vyakula kenya na uganda

View attachment 2022372
Unaongea vitu hata huvijui mwaka Jana Bei ya mafuta Marekani ilifikia Hadi negative ila Tanzania Bei ilibaki kuwa kubwa!

Wiki iliyopita nilikuwa Kenya so naongea ninachokijua acha kuleta taarifa zako za vitini.

Nenda Malawi hapo kaulizie Bei ya mafuta ya petrol ni shilingi 1,600 kwa lita 1. Leo Tanzania Ni tsh 2,400. Kwanini Bei iwe kubwa TANZANIA tu ? Hadi Burundi Petrol Bei ni chini. Sijui unazungumzia dunia ipi Bei ya mafuta ni kubwa.

Nyie ndio mkipewa nyadhifa mnaendesha nchi kipumbavu.

Huna akili, negative maana kwamba mtu akienda kuweka mafuta analipwa ama? I hate kujenga hoja na dumb ass kids...

Niambie unachokijua
 
Back
Top Bottom