Kelvin X
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,927
- 2,367
Ukifanya trade protectionism uwe umejipanga, kwanza kuna mikataba ya east african community, lakini kumbuna kuna social welfare, kwamba bei ita wasaidia wana nnchi, na wewe kama kiongozi kuna political mileage kwenye hilo.Mkuu!
Magufuli hakuzuia sukari toka nje kwa sababu ya roho mbaya hapana.
Alisema kabisa tuna mashambe mengi tuzalishe sukari yetu hapa hapa nchini na kufaidisha viwanda vyetu vya ndani.
Yule mzee aliambulia matusi toka wapumbavu badala ya kutumia fursa hiyo kuongeza uzalishaji ili kuinua vipato na kuongeza ajira.!
Kila siku huwa nasema hapa kwamba kumpigania mpumbavu malipo yake ni upumbavu!
Ona sasa tunaenda kuwa dampo la sukari toka uganda!
Nmeona uzi hapa jana mtu anashauri Samia aruhusu cement toka Kenya, na usishangae na yeye akafanya hivyo.