Nimeshangaa usiku huu na habari za ITV

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Ndugu wana JF salaam toka Brussels
Nimekuwa naangalia news usiku huu na nimeona matukio 3

1.Waziri Mkuu akiwa Serengeti leo , kwenye hadhara wameonyesha watu wakimsikiliza nimeona kuna mdada alikuwa ana cheza cheza wakati wa hotuba ya Pinda na open space kati kati nikawa najiuliza kama kulikuwa na muziki ukiendelea wakati hotuba ya Pinda inarindima .

2.Nimeona Mgombea wa Chadema Igunga na habari ya Utajiri wa kijiji alichokuwa anahutubia leo .

3.Nimeona Mukama akiongea , na Komba , na Mgombea wa CCM .Nimeshangaa sana sana kuona picha ya umati ulio kuwa kwa Pinda ndiyo wale wale ambao waneonyeshwa Igunga .Kwa kweli nimeshangaa mno na kama kuna yeyote kaona habari za usiku huu tafadhali anasaidie kuelewa .Je ITV wanataka kutueleza nini ? Wana chakachukua mkutano au hawakuwa na picha za matukio ya CCM za leo au Pinda kaonyeshwa kimakosa hakuwa na watu ? Nisaidieni kuelewa am confused .
 
ITV wanatatizo hilo. Wameshashtumiwa mra kadhaa lakini hali inajirudia. Kuna haja ya kuliangalia hii swala kw ukaribu ili kujua kama wanafanya makusudi au la...
 
Nimeona ndugu, Kweli binti akicheza kati ya umti pembeni yupo bibi aliyetoga masikio, tena ikaonesha mukama akiwa chini ya jukwaa, komba akiongea jukwaani. ITV siku hizi ni wachakachuaji ile mbaya. Nao pia ni wanamagamba.
 
Kamanda unachozungumza ni kweli kabisa, yule dada alikua anacheza cheza na mwenzie kasuka rasta walioonyeshwa Mugumu-Serengeti wakati anahutubia pinda, ndizo picha wameonyesha kwy mkutano wa igunga. Yaani sasa iv itv ni ful kimeo ni Tbc-B
 
Ulichokisema ni kweli na kimenishangaza sn tn sn, kweli ITV HAWANA MAANA TENA SAWASAWA NA TBC BORA STAR TV.
 
Waacheni watumike maana ni toilet paper ccm ikipumzishwa sijui itakuwaje. ngoja tusubiri maana picha za TV hazitaweza kubadili matokeo ya Igunga. Wanadhani na wao wameendelea sana kwenye kucheza na computer kumbe ni vilaza tu. Dawa yao ni Chadema TV itakayokuwa inaonyesha bila chenga hatakama ni mkutano wa magamba.
 
hata mimi nmeona.kingine nilichoona ni kampeni za ccm kujaza wanafunzi wa shule za msingi.je wanafunzi hawaendi shule?hawawatendei haki .mia
 
Kamanda unachozungumza ni kweli kabisa, yule dada alikua anacheza cheza na mwenzie kasuka rasta walioonyeshwa Mugumu-Serengeti wakati anahutubia pinda, ndizo picha wameonyesha kwy mkutano wa igunga. Yaani sasa iv itv ni ful kimeo ni Tbc-B

Labda sasa hata wabishi watakubali - CCM ni genge la wahuni, period. Si ajabu ndio walimmwagia kijana tindi kali ili wailaumu Chadema. Hivi sasa wanadiriki hata kutumia picha za DC akiwa uchi eti kupata huruma ya akina mama ili waichukie Chadema, Waislamu waichukie Chadema na wana Igunga wainyime kura Chadema.

Wanakataa katakata kukiri kuwa huko Igunga hawana chao na sasa wameanza kutumia vyombo vya habari kama ITV kuchakachua picha ili siku wakiiba kura wajitetee kuwa wanapendwa huko Igunga.

Wanaficha matukio ya aibu kama ya kufumaniwa kwa mweka hazina wao akifanya vitu vyake na mke wa mtu tena kada wa CCM. Wananunua magazeti na kuyachoma moto yasiwafikie wananchi wa Igunga.

Wapo akina mwita25, kwa sasa kabatizwa philanderer (jina lenye maana ya mzinifu wa wake za watu) na kutwa wako JF wakiutetea uozo wa CCM na kuipakazia Chadema kwa kuahidiwa posho na ubwabwa.

Jamani CCM itabaki CCM tu, genge la wahuni, wezi na mafisadi wanaojipa uhalali kwa kuhatamia katiba iliyopitwa na wakati. Kwa bahati mbaya ujinga wa Watanzania vijijini ndio unatumiwa kama mtaji wa kung'ang'ania madarakani wakati uwezo haupo.

Chadema wanafanya kazi kubwa kuuanika huu uovu wa haya manyang'au na kila kona ya Tanzania pole pole wananchi wanaamka ukiacha wanafiki wachache tunaoshuhudia vituko vyao hadi humu JF kama kilaza Nape na makaruga wake alowatuma.

Kwa bahati mbaya kwao Igunga imewaumbua, Igunga inawaumbua na Igunga itazidi kuwaumbua kama ilivyomuumbua Mwigulu, Mukama na Mkapa na sasa Igunga inamsubiri kwa hamu kubwa Vasco Da Gama imalize kazi.
 
Mimi naona mzee mengi naye ni gamba!,ndio maana hatabiriki na hivi sasa naye ni sehemu ya mkakati wa kuisaidia magamba party ishinde igunga kupitia media press yake hii,wakimtisha kidogo huwa anagwaya......
 
Kwa hakika tukio hili limenishangaza sana sana .Maana nimechunguza na kuona kama sinema na bado hawa watu eti tuna waangalia .ITV hii nchi mabadiliko yakija mtajificha wapi ?
Wametegeshea habari za Igunga za CCM kuwa za mwisho ili wananchi waweze kupotea na kudhani kwamba CCM wako makini zote hizi ni mbinu lakini tuko macho .
 
hata mimi nmeona.kingine nilichoona ni kampeni za ccm kujaza wanafunzi wa shule za msingi.je wanafunzi hawaendi shule?hawawatendei haki .mia
-BABA
COME PAIN
-MWALIMU
COME PAIN
KAKA& DADA MKUU
COME PAIN
ASA KWANINI KAYUMBA
awecshule?
wote kwenye
come pain
 
Kwani muasisi wa usemi 'fulani' ni chaguo la Mungu hamuelewi?
 
ww comment yako ndio conclusion of the whole thread.. Mengi anajpambanua kama ni mpnga ufsadi wakat huohuo anam'support/anampamba vasco da gama.

jamani sasa Mengi ni editor?? cha msingi ni kumjua mwandishi/editor aliyechakachua pcha. kumtuhumu mmiliki kwa kosa la chombo chake mi naona sio sahihi. Pengne Mengi hajui hata jinsi habari zinavyoandaliwa. Tuwe great thinker sio washabiki tu na kuebeza chuki zisizo za msingi. Blv me Mengi hawezi kuwa Magamba..
 
Back
Top Bottom