Nimeshangaa sana jamaa yangu kajazia kuliko demu wake

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Ni jamaa yangu kila jioni anaenda gym ila la kushangaa badala ajazie juu kwa maana ya kifua sixpack na misuli yeye kajazia tako mipaja hiyo ndo usiseme hadi kamshinda demu wake kwa tako

My take!vijana mnofanya mazoezi angali na mazoezi unayofanya ni ya namna gani maana mengine yanafanya muonekane ka wanawake
 
Maadam unamuangalia sana makalio bora mtafune hamu ikuishe.
 
IMG_20220619_093654.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom