nimeshangaa kuona wabongo wakifanya ngono hadharani kiasi hiki

Labda walikua wanaigiza mkuu!

Ni kweli walikuwa wanaigiza ile scene ya MZEE WA MAGUMASHI,ila hao mademu walionekana wako na bambo(mzee wa magumashi mwenyewe)lakini hizo picha nyingine hazikuonekana,nadhani watakuwa walifaidi kwanza then ile ambayo haijakaa ki hatari hatari ndio wakai2mia.
 
nadhani tuna shida ya tafsiri, kufanya NGONO na HADHARANI
Not bad,
Ndo starehe ya beach.huwezi kuharibu mafuta yako na muda wako ukaenda mbali kupumzika kisha ukafike huko usifurahie mandhali.hata wewe kuna una demu amekusumbua muda mrefu,ni rafiki yako lakini mzigo hatoi,anakwambia mpaka siku ya ndoa.jaribu kwenda naye beach.utaniambia matokeo.hata hivyo sioni km kulikuwa na watu wengi hapo,na mkienda beach tulivu mara nyingi watu wanapeana distance,hawasogeleani....hii ina maana gani.

Hapo mi naona kosa kubwa ni kuacha picha zikazagaa....ni mtazamo tu.
 
Very sad, sijui dunia na kizazi kinaenda wapi sasa hivi. :smash:
 
Back
Top Bottom