Nimeshangaa kuona mtoto wa miaka 2.5 anaumwa kisukari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeshangaa kuona mtoto wa miaka 2.5 anaumwa kisukari.

Discussion in 'JF Doctor' started by Slave, Nov 3, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hellow jf dr's mtoto wa dada yangu kapatwa na huu ugonjwa wa kisukari ki-ukweli kabisa sikuwa kusikia kuhusu huu ugonjwa kuwapata watoto wadogo.hapa napata hofu kwa kuwa niliwahi kusikia huo ugonjwa hauna tiba.(sina uhakika) wana jf ninachoomba ni uelewa wenu 1. nini chanzo cha kisukari 2.ipi tiba yake
   
Loading...