Nimeshangaa kuona Bajaji iliyobuniwa na Mtanzania kunyimwa vibali!

Serikali iko sahihi tu, ingini kabuni yeye?
Injini ndo msingi wa kila kitu. Ukitengeneza kitu chochote kwa injini ya kampuni nyingine ni kosa, na kosa halisafishiki kwasababu yoyote ile.
 
Serikali iko sahihi tu, ingini kabuni yeye?
Injini ndo msingi wa kila kitu. Ukitengeneza kitu chochote kwa injini ya kampuni nyingine ni kosa, na kosa halisafishiki kwasababu yoyote ile.
Injini zinauzwa sokoni Injini za magari hakuna Injini inaitwa Toyota , Benz , vogue nk . Bajaj je huunda Injini zao? Zenye copy right tatizo dogo Injini tu? Aweke Injini ya aina ingine hiyo auze achukue ya aina nyingine sio kesi kubwa ni kitu cha kumshauri politely Bila superiority kuonyesha you are much know and you have power
 
Kwanza viongozi wengi wa afrika wamewekwa na wazungu ili kulinda maslahi yao ndo maana hata leo ukigundua bunduki utaambiwa acha mara moja ili mzungu aendelee kutengeneza! Hivi hamfikirii ugunduzi ulivyobadili kabisa uchumi wa nchi husika lakinihuku kwetu ukionekana kugundua kitu unakatazwa na ukikaidi utawekwa ndani au utaambiwa wewe si raia ni banyamulenge sasa ukiambiwa viongozi wanafurahia raia wao kuwa masikini ili kulinda maslahi ya wazungu na huku wao wakifaidi makombo ndo maana Hakuna pepo kwa waafrika kama VP ni bora tuendelee na kusali chini ya miti pamoja na uwepo wa misikiti na makanisa makubwa lakini mijitu bado inamtumikia shetwani.
 
Nimeona hii habari nikasikitika Sana, hivi Tanzania ya viwanda tunataka iwe ya viwanda gani?
Viwanda bora sio bora viwanda, pia idea, na production ya kitu kimoja sio necessarily kwamba kinaweza kuwa mass produced cheaply, its all about economic of scale

Nilitegemea serikali na taasisi mbalimbali wajitokeze wamsapoti Huyu mzee aliyebuni hii Bajaji
Dunia ya leo ukija na idea viable yenye faida sio Serikali tu hata wadau watakusupport wapige pesa swali ni je hii ni bora na cheaper kuliko Bajaji au ni mbovu ya bei ya juu ? kama ni bora asingoje Serikali aongee na Bajaji aweke assembly plant Africa kwa soko la Africa kwa Ubia na Bajaji

Ila walichokifanya ni kumnyima vibali eti kisa Bajaji haijakidhi viwango,sasa kama haijakidhi viwango si ndio fursa hiyo ya kuingia ubia na huyo mzee ili kuboresha hiyo Bajaji.
Kwahio wampe kibali ahatarishe maisha yake na ya watanzania sababu ni mzalendo ?, waingie Ubia hata kama mradi ni non starter au hauna faida ?

Soko la Bajaj lipo hapa kwetu Tanzania na Africa kwa ujumla, kwa kutumia ubunifu wa Bajaj inayobeba abiria wengi(kama 7) tungeleta ushindani na products nyingine toka China na pengine.
Hio ni Bajaji au gari na usalama wake utakuwaje, kama kweli soko lipo ukianza leo unadhani na mtaji mkubwa wa Bajaji watashindwa nao kuleta za watu 7?

Rai yangu Serikali na taasisi mbalimbali tujitahidi kuinua teknolojia yetu kwa kuwasapoti wajasiriamali na wabunifu mbalimbali wa hapa kwetu ili tuweze kuifikia Tanzania ya viwanda.
Ni kweli ila hapa sijaona Teknolojia ya ubunifu ya kuiita yetu pia rai kwa wabunifu dunia ishakuwa kijiji ukiona una cutting edge technology au idea the sky the limit tafuta patent hata kama hauna prototype weka drawings uzia hata kampuni husika uachane na bureaucracy za third word countries.., ila mzee arudi back to the drawing board
 
Tunasujudu kitu kilichotengenezwa na mzungu tunadharau vya kwetu. Cha ajabu hata waafrika wanaoneana wivu , tutaendela lini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukoloni ulikuja kwa sababu kubwa mbili moja kutafuta Mali ghafi za viwanda pili kutafuta masoko ya bidhaa zao ule wa kwanza unaitwa ukoloni huu wa pili wa masoko unaitwa ukoloni mambo leo ambao agenda yake ni masoko ya elimu yao Na vitabu vya masomo kuanzia chekechea hadi PHd vya waandishi wao Na masoko ya bidhaa zao aina zote .Huu ukoloni ndio mbaya kuliko unadharau sana kitu cha mzawa.Kiwe Bajaj aliyogundua au chochote mkoloni kaondoka physically kabaki vichwani mwa wasomi kama pepo au ruhani au jini .Kwa jina la Yesu mapepo mkoloni yaliyowakalia wasomi,wanasiasa nk yawatoke kwa Jina la Yesu
 
Amina Mtumishi
 
Mwambie aipeleke vijijini tu iwe inabeba watu awasogeza Karibu na Town anageuza Sehemu ambayo hakuna traffic wala polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wampe leseni ya muda appractice huko polini kusiko Na watu wa copyright.Tena kujiweka safe side waweza goma kumsajili Ila wakaliambia jeshi la polisi mwacheni afanyie majaribio vijijini yakifanikiwa tumshauri aingie commercial mjini nk nchi Gani isiyo Na Siri.Siri ni pamoja Na kuficha Siri za wagunduzi wetu.Na Inabidi watu wakae sekta mbali mbali mtu kugundua silaha au gari au ndege wajadili kimya kimya waruhusu kimya kimya afanye majaribio kimya kimya.Jeshi,usalama wa Taifa , Watendaji husika wa serikali,bunge Na mahakama nk haya mambo mazito ya uvumbuzi yanatkiwa kujadiliwa Na kuyawekea misimamo kimya kimya wa kusaidia wavumbuzi
 
Kwa vigezo vya Tanzania ruksa.Mimi nimepiga kelele sana kuhusu hilo .Mtu anagundua gari lake TRA wanagoma kuipa usajili Na namba,mwingine kagundua helikopta yake watu wa anga Tanzania hawataki arushe eti haiko viwango!!! kitu nimegundua mimi hicho ni kiwango changu cha Kiswahili mwingine Zanzibar aligundua mitambo ya radio ya kurusha matangazo umbali mrefu mno mitambo hiyo ilikuwa gharama haizidi hata shilingi laki moja kutengeneza.Akazuiwa na mamlaka za mawasiliano Zanzibar.Na mashirika ya misaada ya umoja wa mataifa walimpa mitambo bure ya radio afungue station yake Na anayo .Ubunifu wake ukafia hapo ili asije ua soko la mitambo ya matangazo ya radio ya wazungu.Na Nina Shaka kama hawakupora ugumbuzi wake waweza utumia mbeleni.Turuhusu vyetu hiyo Bajaj isajiliwe
Hivi ugunduzi ni nini?
Nadhani Hawa wetu hawafanyi ugunduzi isipokuwa wwnacopy vilivyogunduliwa na kuvitengeneza katika kiwango duni.Sidhani kama kuna ugunduzi wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi unaamini kua awamu hii ina viongozi wenye akili!? viongozi wanaotumia akili walikuwepo awamu zilizopita
 
Hivi ugunduzi ni nini?
Nadhani Hawa wetu hawafanyi ugunduzi isipokuwa wwnacopy vilivyogunduliwa na kuvitengeneza katika kiwango duni.Sidhani kama kuna ugunduzi wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ningekutakana.Mimi nimewahi hudhuria semina ya wafanyabiashara ambayo ilihusisha wafanyabiashara wa India Na Tanzania.Msomi toka chuo kimoja akasema kwa mbwembwe Na professional superiority full of professional arrogance akauliza kuwa nyie India mnaingiza bidhaa feki za kukopi.Sisahau mfanyabiashara mmoja wa India aliinuka kwa hasira akauliza where is your fake? Nyie hamuwezi tengeneza hata vijiti fake vya kuchokonolea Meno wakati mna miti kibao mnashindwa hata kununua wembe mchonge mfunge hata Na rubber band muuze Na muna engineers Na vitivo vya engineering kibao vyenye miaka kibao.Akasema nchi zote industrialized zilianza kwa kuiga kabla ya Ku pick up.Man tengeneza gari kopi Ila hiyo gari uliyokopi iite hayota usiite Toyota hakuna awezaye kukushitaki.Akauliza tena you shout fake fake fake where is your fake ambayo watanzania wenzenu wanainunua? Mmekomalia fake za watu wengine soko lipo si mtengeneze zenu?
 
Hivi ugunduzi ni nini?
Nadhani Hawa wetu hawafanyi ugunduzi isipokuwa wwnacopy vilivyogunduliwa na kuvitengeneza katika kiwango duni.Sidhani kama kuna ugunduzi wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani madrisha,ramani za nyumba,mageti nk watu hawaigi? Wachumi hawaigi principle mainjinia wa umeme,wahasibu ,wanasiasa hawaigi mfano chadema wanataka ni tuige marekani,kenya,ulaya nk Gari mfano mbona wanaigana huyu akija Na manual wengi waunda magari manual iwe Toyota ,benz nk akihama kuingia automatic wanaigana.Duniani kuigana hakuepukiki.Unachokiongea unakijua mwenyewe.watu wanaigana harusi , furniture nk kuwa nataka kama ya Yule.Uko Dunia Gani wewe?
 
Sasa kama unaiga tengeneza kilicho Bora kuliko mgunduzi.Unatengeneza chombo kimechoka ndo kiruhusiwe kuwa barabarani? Bajaj kaiga Ila yake inabeba abiria wengi zaidi,je ameweka tairi zinazoendana na uzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani madrisha,ramani za nyumba,mageti nk watu hawaigi? Wachumi hawaigi principle mainjinia wa umeme,wahasibu ,wanasiasa hawaigi mfano chadema wanataka ni tuige marekani,kenya,ulaya nk Gari mfano mbona wanaigana huyu akija Na manual wengi waunda magari manual iwe Toyota ,benz nk akihama kuingia automatic wanaigana.Duniani kuigana hakuepukiki.Unachokiongea unakijua mwenyewe.watu wanaigana harusi , furniture nk kuwa nataka kama ya Yule.Uko Dunia Gani wewe?
Bro umenena kwa kweli, asilimia kubwa ya Maisha ya mwanadamu huwa anaiga,tumezaliwa hatujui kuongea,kuvaa,nk lakini tuliwaiga wakubwa zetu
pepo linalo tutesa limetawala fikra kiasi kwamba hatuwezi hata kujiwazia mazuri
 
View attachment 854490
Nimeona hii habari nikasikitika Sana, hivi Tanzania ya viwanda tunataka iwe ya viwanda gani?
Nilitegemea serikali na taasisi mbalimbali wajitokeze wamsapoti Huyu mzee aliyebuni hii Bajaji
Ila walichokifanya ni kumnyima vibali eti kisa Bajaji haijakidhi viwango,sasa kama haijakidhi viwango si ndio fursa hiyo ya kuingia ubia na huyo mzee ili kuboresha hiyo Bajaji.
Soko la Bajaj lipo hapa kwetu Tanzania na Africa kwa ujumla, kwa kutumia ubunifu wa Bajaj inayobeba abiria wengi(kama 7) tungeleta ushindani na products nyingine toka China na pengine.
Rai yangu Serikali na taasisi mbalimbali tujitahidi kuinua teknolojia yetu kwa kuwasapoti wajasiriamali na wabunifu mbalimbali wa hapa kwetu ili tuweze kuifikia Tanzania ya viwanda.
Waafrika ndo maana hatuendelei tunataka mpaka nywele tuvae za kichina hatutaki vyetu. Tunataka kila kitu kutoka nje watu wa nje hata walete kitu kibovu utasikia hiki ni bora kwa sababu kinatoka nje...wamwambie aboreshe kwa maelekezo yao ili ikidhi viwango inatakiwa iweje siyo kuzuia tu halafu husemi nini kinapungua...ila manywele wanayovaa wake zenu yale ya bandia (Mawigi yanaviwango)...nimechukia sana mimi...
 
Zungumzia suala mdau aliloleta usilete hisia hapa...!kwani air malaysia ilikuwa kibajaji au haikutengenezwa kiutaalamu ?fikiria kwanza !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hisia ziko wapi?...mleta uzi amekili kwamba Bajaji hiyo ya kubeba watu saba (ambayo kimsingi hii si bajaji tena kutokana na muundo naidadi ya abiria inayobeba) HAIJAKIDHI VIGEZO vya usalama kuingia barabarani wewe unataka waruhusiwe kutoa huduma imiwa na mapungufu hayo?

Hivi akili za kutafakari mambo mmezihifadhi wapi? Yani unatoa mfano wa Air Malaysia iliyopata ajali na chombo hiki ambacho hata hakijulikani kinaitwaje?

Hivi u adhani kila chombo kijongeacho kinapswa kufanywa chombo cha usafi?

Je umejiuliza kwa umbo, uzito wake, material yaliyotumika ni salama pale chombo hicho kikipishana na gari au chombo kingine cha moto kilicho katika mwendo?

Unaijua fizikia, stability na momentum ya chombo hicho kwa usalama wa mlaji wa huduma zake?

Uwe unatuliza akili. Maswala ya kujifanya mjuaji peleka kwa watoto wenzako!
 
Back
Top Bottom