Nimeshangaa Askofu Kakobe kuhusu CHADEMA ya sasa!

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,975
Mahubiri aliyoyatoa Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship(FGBF) Zachary Kakobe ambalo makao makuu yake yapo barabara ya Sam Nujoma yameonyesha kuwa alikuwa bado hajaifahamu CHADEMA ya sasa.

Kilichonishangaza zaidi ni muda mrefu aliochukua kuijua CHADEMA ya sasa wakati kwa nafasi yake angekuwa ameishaifahamu vizuri baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Slaa kujivua cheo chake na kwenda kuishi Canada.

Yaliyotokea baada ya Dkt. Slaa kujivua cheo cha Katibu Mkuu wa CHADEMA kuliwafanya watu wenye fikra pana, hekima na busara kuijua vizuri CHADEMA.

CHADEMA ya sasa sio kwamba inaendeshwa na dhana pekee ya tenda wema uende zako bali pia unasindikizwa na dharau, kejeli na matusi.

Kwa yale ambayo Dkt. Slaa aliyafanya ndani ya CHADEMA kama mwanachama na kiongozi wa ngazi za juu haikuingia akilini kwa mtu mwenye fikra pana, hekima na busara kuona anadhihakiwa, kudharauliwa, kukejeliwa lakini kikubwa zaidi kutukanwa baada ya kujivua cheo chake kama Katibu Mkuu wa CHADEMA

Kama wameweza kumdharau, kumkejeli na kumtukana kiongozi ambaye alikuwa anaheshimika sana sio ndani ya CHADEMA pekee bali pia nje ya CHADEM, kuna kiongozi gani mwingine ndani na nje ya CHADEMA ambaye hawezi tena kuyapata aliyoyapata Dkt. Slaa.

CHADEMA ya Dkt. Slaa ilikuwa ina heshimu sana sio wanachama pekee bali hata wasio wanachama. Matamko ya chama yalikuwa yanapitia katika mkondo wa taratibu za chama lakini kikubwa zaidi hata viongozi hawakuruhusiwa kuongea ovyo ovyo.

Mkuu wa Idara ya Habari wa Chadema, Tumaini Makene kwa sasa ni kama hana kazi kwa sababu kazi zake zinafanywa hovyo hovyo na wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.

CHADEMA ya sasa kila kiongozi ni msemaji wa CHADEMA. Kibaya zaidi, kila Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama kwa sasa anaongea kila anachotaka bila hata kupima athari za maneno yake. Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu wamekuwa kama wanaharakati badala ya wanasiasa.

Dhambi iliyotendewa Dkt. Slaa imewapata pia viongozi wa madhehebu ya dini nchini akiwemo Askofu Kakobe ambao walikwenda Ikulu kukutana na Rais Magufuli.

Kutokuwepo kwa Freeman Mbowe uraiani pia kumechagia kwa kiasi kikubwa hali kuwa mbaya zaidi kwa sasa ndani ya chama kwa sababu ni kiongozi mwenye sauti, anasikilizwa na anayeheshimika ndani ya chama lakini pia ana hekima na busara. Katibu Mkuu wa sasa hana sauti ndani ya chama.

Walichokifanya Wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa viongozi wa madhehebu ya dini kinanikumbusha ujumbe wa Kamanda wa Jeshi na Mwanafalsafa wa Kichina, Sun Tzu aliposema, ‘’If a battle cannot be won, do not fight it’’.
You have to pick your battles wisely. Not every conflict is worth turning into a major battle. There are certain battles which simply cannot be won no matter how much effort you put into it or what strategies you use. They are just losing causes, and fighting such battles does little to help you accomplish your ultimate objectives.

Vita waliyoianzisha viongozi wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa viongozi wa madhehebu ya dini hawawezi kushinda. Huu ni ukweli ambayo watu mwenye akili timamu na fikra pana wanaujua.

Niliwahi kuandika kwenye hii thread;
LINK>>>Wakati CCM wanaimarisha Wadhamini, Wapinzani wameanza kuwatukana Wadhamini

LINK>>>Hii ni awamu ya CHADEMA kufutika kama Chama Kikuu cha Upinzani nchini?[/url]
 
CHADEMA ya sasa imefilisika kabisa.

Siyo taasisi tena. Imekuwa ni kikundi cha wana-matukio tu.

Ndo maana unaona hata wafuasi wake waliomo humu nao wamekuwa na ushabiki wa ajabu sana.

Unakuta mtu anashabikia habari za Lisu kupata sijui wafuasi 90,000...mara sijui eti kaongea na KTN ya Kenya...

Hadi fake news wanazishabikia. Hata akili za kugundua kuwa hii au ile ni fake news hawana!

Wamekomalia eti Trump alivutiwa sana na performance ya Lisu kwenye HARDtalk hadi kaamua kumwalika White House!

Sikuwahi kudhani CHADEMA kingechuja namna hii.

Kimekuwa chama cha hovyo sana.
 
kuna mda mwengine chadema tunaitaji kupunguza kujifanya tumenyooka sana kwa kujua kukosoa ndo .angekuwa kamchana JPM hapo uzi wako ungekuwa na mapambio na vigeregere.
yeye binafsi katoa maoni yake.
Nadhani alishamchana JPM na nilitoa maoni yangu.
 
Nawakumbusha tena chadema muwe na kumbukumbu
tapatalk_1548609736746.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA ya sasa imefilisika kabisa.

Siyo taasisi tena. Imekuwa ni kikundi cha wana-matukio tu.

Ndo maana unaona hata wafuasi wake waliomo humu nao wamekuwa na ushabiki wa ajabu sana.

Unakuta mtu anashabikia habari za Lisu kupata sijui wafuasi 90,000...mara sijui eti kaongea na KTN ya Kenya...

Hadi fake news wanazishabikia. Hata akili za kugundua kuwa hii au ile ni fake news hawana!

Wamekomalia eti Trump alivutiwa sana na performance ya Lisu kwenye HARDtalk hadi kaamua kumwalika White House!

Sikuwahi kudhani CHADEMA kingechuja namna hii.

Kimekuwa chama cha hovyo sana.
Inasikitisha na kushangaza sana.
CHADEMA imekuwa ni sawa na familia ya watoto isiyokuwa na wazazi au waangalizi.

Kibaya zaidi, ujinga umekuwa ni mwingi na unazidi kumea kwa wanachama na mashabiki wake.
 
CHADEMA ya sasa imefilisika kabisa.

Siyo taasisi tena. Imekuwa ni kikundi cha wana-matukio tu.

Ndo maana unaona hata wafuasi wake waliomo humu nao wamekuwa na ushabiki wa ajabu sana.

Unakuta mtu anashabikia habari za Lisu kupata sijui wafuasi 90,000...mara sijui eti kaongea na KTN ya Kenya...

Hadi fake news wanazishabikia. Hata akili za kugundua kuwa hii au ile ni fake news hawana!

Wamekomalia eti Trump alivutiwa sana na performance ya Lisu kwenye HARDtalk hadi kaamua kumwalika White House!

Sikuwahi kudhani CHADEMA kingechuja namna hii.

Kimekuwa chama cha hovyo sana.
Baada ya kuingiza makapi nafaka zilijitenga nao..makapi ndio hayo mitandaoni yanasifia hadi kinyesi cha lissu eti kinanukia vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA ya sasa imefilisika kabisa.

Siyo taasisi tena. Imekuwa ni kikundi cha wana-matukio tu.

Ndo maana unaona hata wafuasi wake waliomo humu nao wamekuwa na ushabiki wa ajabu sana.

Unakuta mtu anashabikia habari za Lisu kupata sijui wafuasi 90,000...mara sijui eti kaongea na KTN ya Kenya...

Hadi fake news wanazishabikia. Hata akili za kugundua kuwa hii au ile ni fake news hawana!

Wamekomalia eti Trump alivutiwa sana na performance ya Lisu kwenye HARDtalk hadi kaamua kumwalika White House!

Sikuwahi kudhani CHADEMA kingechuja namna hii.

Kimekuwa chama cha hovyo sana.
Mkuu kama ulishiriki kwenye dhambi ya kutaka kumuuwa Lisu.dawa yake ni kutubu sivyo utateseka sana. Lazima utaje Lisu. Vipi Kati ya watu waliomkasilikia MUNGU kumponya Lisu nawe upo?
 
Wamuulize Lowassa yaliyomkuta alipokwenda ikulu mpaka mgonjwa ughaibuni alikuwa akimwaga matusi ,sema ndio mgonjwa akitaka kukata roho lazima ajiwe na maruweruwe chadema njia ile ni nyembamba iendayo uzimani!
Chama cha siasa hakiwezi kufanya kazi za uanaharakati. Tatizo la CHADEMA ina viongozi wa ngazi za juu ambao hawajui tofauti ya mwanasiasa na mwanaharakati.

Fikiria Mwanasiasa ambaye wanadai atakuwa mgombea wao wa Urais anasema sheria ya ushoga imevunja katiba ya Tanzania na kama akichaguliwa ataifuta.

Kwa mazingira ya Tanzania, haya maneno yalitakiwa yatamkwe na mwanaharakati lakini sio mwanasiasa tena ambaye anataka kuwa mgombea Urais.

Ushoga kwa Tanzania bado ni taboo.
 
Kwa nianze kwa kusema, Ujinga maana yake ni hali ya kukosa kujua kitu fulani. Binadamu wote kwa namna moja au nyingine ni wajinga kwa mambo fulani.

Mahubiri aliyoyatoa Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship(FGBF) Zachary Kakobe ambalo makao makuu yake yapo barabara ya Sam Nujoma yameonyesha kuwa alikuwa bado hajaifahamu CHADEMA ya sasa.

Kilichonishangaza zaidi ni muda mrefu aliochukua kuijua CHADEMA ya sasa wakati kwa nafasi yake angekuwa ameishaifahamu vizuri baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Slaa kujivua cheo chake na kwenda kuishi Canada.

Yaliyotokea baada ya Dkt. Slaa kujivua cheo cha Katibu Mkuu wa CHADEMA kuliwafanya watu wenye fikra pana, hekima na busara kuijua vizuri CHADEMA.

CHADEMA ya sasa sio kwamba inaendeshwa na dhana pekee ya tenda wema uende zako bali pia unasindikizwa na dharau, kejeli na matusi.

Kwa yale ambayo Dkt. Slaa aliyafanya ndani ya CHADEMA kama mwanachama na kiongozi wa ngazi za juu haikuingia akilini kwa mtu mwenye fikra pana, hekima na busara kuona anadhihakiwa, kudharauliwa, kukejeliwa lakini kikubwa zaidi kutukanwa baada ya kujivua cheo chake kama Katibu Mkuu wa CHADEMA

Kama wameweza kumdharau, kumkejeli na kumtukana kiongozi ambaye alikuwa anaheshimika sana sio ndani ya CHADEMA pekee bali pia nje ya CHADEM, kuna kiongozi gani mwingine ndani na nje ya CHADEMA ambaye hawezi tena kuyapata aliyoyapata Dkt. Slaa.

CHADEMA ya Dkt. Slaa ilikuwa ina heshimu sana sio wanachama pekee bali hata wasio wanachama. Matamko ya chama yalikuwa yanapitia katika mkondo wa taratibu za chama lakini kikubwa zaidi hata viongozi hawakuruhusiwa kuongea ovyo ovyo.

Mkuu wa Idara ya Habari wa Chadema, Tumaini Makene kwa sasa ni kama hana kazi kwa sababu kazi zake zinafanywa hovyo hovyo na wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.

CHADEMA ya sasa kila kiongozi ni msemaji wa CHADEMA. Kibaya zaidi, kila Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama kwa sasa anaongea kila anachotaka bila hata kupima athari za maneno yake. Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu wamekuwa kama wanaharakati badala ya wanasiasa.

Dhambi iliyotendewa Dkt. Slaa imewapata pia viongozi wa madhehebu ya dini nchini akiwemo Askofu Kakobe ambao walikwenda Ikulu kukutana na Rais Magufuli.

Kutokuwepo kwa Freeman Mbowe uraiani pia kumechagia kwa kiasi kikubwa hali kuwa mbaya zaidi kwa sasa ndani ya chama kwa sababu ni kiongozi mwenye sauti, anasikilizwa na anayeheshimika ndani ya chama lakini pia ana hekima na busara. Katibu Mkuu wa sasa hana sauti ndani ya chama.

Walichokifanya Wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa viongozi wa madhehebu ya dini kinanikumbusha ujumbe wa Kamanda wa Jeshi na Mwanafalsafa wa Kichina, Sun Tzu aliposema, ‘’If a battle cannot be won, do not fight it’’.
You have to pick your battles wisely. Not every conflict is worth turning into a major battle. There are certain battles which simply cannot be won no matter how much effort you put into it or what strategies you use. They are just losing causes, and fighting such battles does little to help you accomplish your ultimate objectives.

Vita waliyoianzisha viongozi wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa viongozi wa madhehebu ya dini hawawezi kushinda. Huu ni ukweli ambayo watu mwenye akili timamu na fikra pana wanaujua.

Niliwahi kuandika kwenye hii thread;
LINK>>>Wakati CCM wanaimarisha Wadhamini, Wapinzani wameanza kuwatukana Wadhamini

LINK>>>Hii ni awamu ya CHADEMA kufutika kama Chama Kikuu cha Upinzani nchini?[/url]
Kakobe atuambie jamaa alishakwenda kutubu au yeye ndio anayetubu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom