dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,399
- 19,418
Unaogopa kutapeliwa dadaNi kuwa nyie vijana wakati mwingine hamuaminiki. Sijui hata niseme nini, uko mkoa gani kwani?
Unaogopa kutapeliwa dadaNi kuwa nyie vijana wakati mwingine hamuaminiki. Sijui hata niseme nini, uko mkoa gani kwani?
Shukrani kaka nipo pmNjoo pm nikusaidie mawazo
Nipo njombe mkuuNi kuwa nyie vijana wakati mwingine hamuaminiki. Sijui hata niseme nini, uko mkoa gani kwani?
Unataka kufa? Ngoja siku yako ifike utakufa tu. Usijiue. Unafikiri nani atabaki hapa duniani?
Si unasema hela ya kula huna? Sasa yanini kujiua si usubiri tu ufe na njaa.
Punguani wahed.
Hii dhana sio kweli.Naina unatafuta kantaji uongeze kwenye forex maana huko ukiwa na mtaji mkubwa ndio unafanya biashara
Talk more as u canWewe usichezee watu akili. Nenda serikali ya mtaa wako utasaidiwa. Ndiyo kazi ya serikali hiyo.
Pole sana mkuu....Hey wala usijiue.. mm yalinikuta hayo.. nilipoteza pesa forex 6000$ tena ya kuazima kwa watu tofauti karibu 20. Nilikaa ndan zaid ya 2 years .. sina kitu ...
But always God give second chance .. and other side of life...
Kama kufa , kupo tu subiri kikukute chenyewe ila si wewe kujiua..
Dont kill yourself
Nipo njombe mkuu
FOREX FOREX FOREX INATAKA KUTOA ROHO YA MTU..... ONTARIO utawaambia nini watu jamaa akijiua?
ila nini mkuu... KUJIUA SIO SULUHISHO, KUNA MAISHA MAZURI YANAKUSUBIRI MBELE, UNAPOKATA TAMAA UNAFELI SANA.
NAAMINI WATU WATAKUJA KUKUSAIDIA...MUNGU ANAONA KILIO CHAKO.
DuuhUlishawai kufika Dar mkuu?
Izo screenshoot zina toa adi body la simu yote .. noma sana
Duuh
Kaka nimepita mikoa mingi sana na huko DSM nimekaa miaka mitatuDuh ndo jibu?
Kaka nimepita mikoa mingi sana na huko DSM nimekaa miaka mitatu