Nimeshakata tamaa ya maisha nimepanga kujiua ( mawazo yangu ni kujiua 100%)

Bora hyo pesa angeuzia karanga
Nimevutiwa na hii sehemu!!

Kwanza wewe ni mzembe, yani uliingia kwenye forex kutafuta quik fix ya matatizo yako kisaikolojia usingekua sawa na kwa sababu kisaikolijia hukua sawa either uliitaji mtu wa kukushika mkono na kukuongoza au ukae pembeni mpaka uwe na uwezo wa kielimu/skills, kisaikolojia/emotional control!!

Kosa lingine nililoona...

SWALI: Una account ya dola 1000 unafunguaje positions zote hizo? what was your risk management?

Mpaka hapa utaelewa namaanisha nn ninaposema uliingia kwenye forex kutafuta quick fix ya matatizo yako kwa lugha ingine ulitaka uwe Jeff Bezos ndani ya wiki moja!!!

SWALI LINGINE: SL yako uliweka wapi?

SWALI LINGINE: Kwanini una buy na ku sell pair moja at once?

Pia kwenye forex tunasisitiza sana kuchagua broker mzuri, je wewe ilikuaje ukamchagua templer?

Vitu vilivyo kumaliza ni hivi...

1. Huna ujuzi wa forex.

2. Hujui maana risk management.

3. Kisaikolojia hukua stable.

4. Una trade bila SL!!

USHAURI:

FX is life, sio get rich quik scheme!!
 
POLENI NA MAJUKUMU ( ee, MUNGU nisaidie)

Mimi ni kijana ambaye utoto wangu nimeishi maisha ya uyatima nasema hivi kwa kuwa tangu nizaliwe sijawahi kumwona mama wala sijui baba yangu anafananaje maana naambiwa mama alifariki nikiwa na umri wa miezi mitatu na baba hapo hapo akaniacha nikiwa na umri huo hivyo nimelelewa na bibi mzaa mama hadi kufikia umri wa kwenda shule ambapo hapo nimelelewa na baba mdogo kutoka darasa la kwanza

Baba mzazi sijawahi kumuona ila niliona maiti yake nikiwa darasa la tatu ambayo yalisafirishwa kutoka huko alikokuwa akiishi
Maisha yangu yamekuwa ya mateso muda WOTE hakuna siku nimewahi kupata raha au faraja katika maisha yangu nimeteseka sana ,nimefanya kazi kama mtumwa ,nimelala sana na njaa ( kulala siku mbili,au tatu bila kula sio jambo la kushangaza imekuwa kawaida yangu

Niseme wazi licha ya baba mdogo kuwa na hali ngumu ya maisha lakini kanisaidia kusoma hadi chuo cha UALIMU ngazi ya cheti (UALIMU shule za msingi) sina budi kumshukuru japo michango mingi na ada za shule nimelipiwa na tasisi mbalimbali hivyo yeye alikuwa mlezi wangu japo alikuwa akinipa na hela ndogo ndogo za matumizi licha ya kuwa anawatoto wake na hali ngumu ya maisha

Baada ya kumaliza chuo cha UALIMU mwaka 2015 nikaona kama ndo ukombozi wangu maana miezi na siku yoyote nitaajiriwa lakini mpaka Leo sijapata ajira ,nimefanya vibarua na kago mtaani làkini kila ninachokipata hakijawahi fanikisha malengo yangu kabisa kabisa nimeishia kukopwa na jamaa,marafiki na ndugu lakini ubaya wake hawajawai nirejeshea pesa zangu nimekuwa ni mtu wa kufanya bidii na kuhangaika huku na huku hakuna siku nimepata faraja katika maisha yangu

Kumbuka hapa nilipo siwezi kurudi kwa baba mlezi kwa maana umri wake umeenda na hajiwezi tena na Mimi nimekuwa nikijitahidi kumkumbuka kwa kadri ya kidogo nachopata lakini kadri siku zinavyoenda ndo hali yangu inazidi kuwa mbaya zaidi,

Nipo kwenye matatizo na majaribu mazito hapa nilipo sijala chochote toka juzi na macho yamevimba kutokana na kulia muda wote usingizi hamna kabisakabisa na nimeishiwa chakari kabisa hapa nimebakiwa na mia sita kwa ajiri ya kununulia sumu tu

Hali yangu ya maisha imekuwa ngumu mno na nilijaribu kuomba ushauri kwa baadhi ya watu wakaniambia nyota yako imechafuka hivyo unapaswa uende kwa wataalamu wasafishe nyota Leo Nina miezi kadhaa tangu niende huko sijapata hata tone la fanikio nimeishia kutoa pesa zangu nilizotafuta kwa jasho jingi

Nimehangaika sana nimehangaika mno sina namna ya kujikwamua sioni upenyo wowote yaani mbele sioni kabisakabisa ninaowadai wamenifungia simu zao na kuniblock mungu wape maisha mema unajua kujitoa kwangu kulikuwaje mpaka Leo nawaza hivi najua ni mapenzi yako ee mungu

Hii hali ilivyozidi kuwa mbaya siku hadi siku kule kijijini kulikuwa na mashamba ambayo walikuwa wakilima na kuyatumia wazazi wangu hivyo baada ya wao kutangulia mbele za haki baba mlezi kanipatia hayo mashamba NA kaniambia wazi kuwa niyauze ili nipate pa kuanzia lakini baada ya kuuza hayo mashamba ndo nimezidi kuumia kwa zaidi ya Mara mia zaidi

Pesa iliyopatikana niliamua kufanya ufugaji wa kuku lakini katika vifaranga 150 nilivyoanza navyo vilikufa na kubaki 11 tu na baadae vimefikia umri wa kutaga vikafa tena vikabaki 5 tu ambavyo niliamua kuuza kwa bei ya hasara

Nimefanya mengi bila mafanikio
Nimejiunga na shirika moja la ujasiriamali la utengenezaji bidhaa za viwandani lakini baadae likafungiwa maana lilikuwa halina usajiri kila nachogusa ndo kinaniumiza zaidi

Pesa niliyokuwa nimetunza sehemu iliyobaki baada ya kuuza mashamba kuna mtu kanishauri kuwekeza katika forex MUNGU WE MUNGU WE EEE MUNGU (MJINGA MM)

Jamani MUNGU nimekosa nini mm mbona kila jambo nalogusa sifanikiwi kibaya zaidi unaniacha nahangaika na kulala na njaa siku zote hizi mbona nikipata huwa nasaidia kila aliyeniomba msaada kwanini mm nipo hivi EE MUNGU NIMEKOSA NINI MM?

jamani nateseka sina cha kutegemea tena hali yangu imezorota sana nimekonda hakuna mfano, uso mzito maana Nina siku mbili ndani nimelala tu nashindia kulia tu sijala Leo naenda siku ya tatu

Jamani nimeingia huko forex nimeliwa kila kitu,TV na sabufa nimeuza kitanda nimeuza,simu nayo nataka niuze kwa ajiri ya nauli navyoenda kunywa sumu maana nimepanga kunywea mbali na meneo haya tena mtoni ili kupoteza ushahidi

Nimeshakata tamaa kabisakabisa naomba naomba kwa mwenye msaada wa mawazo yoyote ya kuninusuru maisha yangu anisaidie ,pia kama kuna mtu yeyote mwenye kuweza kunisaidia kupata ajira huko serikalini nisaidieni maana kama vyeti ninavyo na nimetuma maombi ya ajira Mara kadhaa serikalini bila mafanikio

Nisaidieni jamani nisaidieni jamani

Hapa chini utaona screenshot ya trade nilizounguza katika mfumo wa dola

Naombeni msaada wa hali NA Mali nisaidieni nisipoteze roho yangu kwa njaa ama kujiua

Naombeni msaada wenu nisaidieni mm msaada wenu tafadhali nipatiwe msaada
Wa mawazo
Au nipate ajira serikalini
Msaada hata pesa nitashukuru zaidi

Ahsante

Pia nimeambatanisha barua niliyoandikiwa na kijiji kipindi naenda chuo kama uthibitisho

Nimeandika ukweli mtupu japo tabu na mateso mengi niliyopitia sijaandika ila utayeguswa kwa namna yoyote ile nitashukuru kwa msaada wakoView attachment 1180631View attachment 1180647
1.Jmn Poleh dear usijiue pls
Tafadhali kwa kuanzia
Weka namba ya mpesa ama tigopesa mwenye chochote akurushie mapema saivi au kesho mapema upate walau chakula na mahitaji muhimu
Hata sh 500 jmn tukiwa wengi itamsaidia

Pls usijiue dear..najua ni ngumu cz nishawahi fika hio point pia ila jipe moyo siku nzuri zitakuja na utasahau
We ni wa thamani Mungu ana makusudi usikate tamaa usimpe shetani ushindi
What doesnt kill u makes u stronger

Kwanza kwa leo...Sali..
js a short prayer 'msijisumbue kwa neno lolote bali kwa kila neno kusali na kushukuru haja zenu zijulikane na Mungu'...Mungu akupe nguvu kuvuka hili unaweza..maisha mazuri zaidi yako mbele yako usiyaache

2.Oga maji ya chumvi na olive oil kwa siku saba mfululizo..mda unaoga unanuia maneno ya kheri..ukitoa nuksi na mikosi yoyote unayoijua na usojua na kujinenea mema hasa roho ya kukubalika na kila mtu kila mahali na kufanikiwa kila nyanja

Oga kawaida then nusu ndoo ogea huo mchanganyiko afu usinawe tena ..ni nzuri usiku
 
Ubarikiwe mkuu kwa ushauri Mungu akuinue
 
HAPA NILIPO NATAMANI HATA TONE LA USINGIZI LABDA MAWAZO YATATOKA ILA USINGIZI HAMNA KABISA YAANI
 
Nimevutiwa na hii sehemu!!

Kwanza wewe ni mzembe, yani uliingia kwenye forex kutafuta quik fix ya matatizo yako kisaikolojia usingekua sawa na kwa sababu kisaikolijia hukua sawa either uliitaji mtu wa kukushika mkono na kukuongoza au ukae pembeni mpaka uwe na uwezo wa kielimu/skills, kisaikolojia/emotional control!!

Kosa lingine nililoona...

SWALI: Una account ya dola 1000 unafunguaje positions zote hizo? what was your risk management?

Mpaka hapa utaelewa namaanisha nn ninaposema uliingia kwenye forex kutafuta quick fix ya matatizo yako kwa lugha ingine ulitaka uwe Jeff Bezos ndani ya wiki moja!!!

SWALI LINGINE: SL yako uliweka wapi?

SWALI LINGINE: Kwanini una buy na ku sell pair moja at once?

Pia kwenye forex tunasisitiza sana kuchagua broker mzuri, je wewe ilikuaje ukamchagua templer?

Vitu vilivyo kumaliza ni hivi...

1. Huna ujuzi wa forex.

2. Hujui maana risk management.

3. Kisaikolojia hukua stable.

4. Una trade bila SL!!

USHAURI:

FX is life, sio get rich quik scheme!!
Daa kweli kaka sikuwa natumia SL lakini pia kilichonifanya nibuy na kusell pair moja ni pale baada ya kuona account inaenda kuungua so nilifanya vile ili price isimove sana kwenye loss
 
siku hizi simu ya pacha yanachakachua haiui haraka, tafuta ile ya kuunguzia majani mashambani utakufaa sana.
 
POLENI NA MAJUKUMU ( ee, MUNGU nisaidie)

Mimi ni kijana ambaye utoto wangu nimeishi maisha ya uyatima nasema hivi kwa kuwa tangu nizaliwe sijawahi kumwona mama wala sijui baba yangu anafananaje maana naambiwa mama alifariki nikiwa na umri wa miezi mitatu na baba hapo hapo akaniacha nikiwa na umri huo hivyo nimelelewa na bibi mzaa mama hadi kufikia umri wa kwenda shule ambapo hapo nimelelewa na baba mdogo kutoka darasa la kwanza

Baba mzazi sijawahi kumuona ila niliona maiti yake nikiwa darasa la tatu ambayo yalisafirishwa kutoka huko alikokuwa akiishi
Maisha yangu yamekuwa ya mateso muda WOTE hakuna siku nimewahi kupata raha au faraja katika maisha yangu nimeteseka sana ,nimefanya kazi kama mtumwa ,nimelala sana na njaa ( kulala siku mbili,au tatu bila kula sio jambo la kushangaza imekuwa kawaida yangu

Niseme wazi licha ya baba mdogo kuwa na hali ngumu ya maisha lakini kanisaidia kusoma hadi chuo cha UALIMU ngazi ya cheti (UALIMU shule za msingi) sina budi kumshukuru japo michango mingi na ada za shule nimelipiwa na tasisi mbalimbali hivyo yeye alikuwa mlezi wangu japo alikuwa akinipa na hela ndogo ndogo za matumizi licha ya kuwa anawatoto wake na hali ngumu ya maisha

Baada ya kumaliza chuo cha UALIMU mwaka 2015 nikaona kama ndo ukombozi wangu maana miezi na siku yoyote nitaajiriwa lakini mpaka Leo sijapata ajira ,nimefanya vibarua na kago mtaani làkini kila ninachokipata hakijawahi fanikisha malengo yangu kabisa kabisa nimeishia kukopwa na jamaa,marafiki na ndugu lakini ubaya wake hawajawai nirejeshea pesa zangu nimekuwa ni mtu wa kufanya bidii na kuhangaika huku na huku hakuna siku nimepata faraja katika maisha yangu

Kumbuka hapa nilipo siwezi kurudi kwa baba mlezi kwa maana umri wake umeenda na hajiwezi tena na Mimi nimekuwa nikijitahidi kumkumbuka kwa kadri ya kidogo nachopata lakini kadri siku zinavyoenda ndo hali yangu inazidi kuwa mbaya zaidi,

Nipo kwenye matatizo na majaribu mazito hapa nilipo sijala chochote toka juzi na macho yamevimba kutokana na kulia muda wote usingizi hamna kabisakabisa na nimeishiwa chakari kabisa hapa nimebakiwa na mia sita kwa ajiri ya kununulia sumu tu

Hali yangu ya maisha imekuwa ngumu mno na nilijaribu kuomba ushauri kwa baadhi ya watu wakaniambia nyota yako imechafuka hivyo unapaswa uende kwa wataalamu wasafishe nyota Leo Nina miezi kadhaa tangu niende huko sijapata hata tone la fanikio nimeishia kutoa pesa zangu nilizotafuta kwa jasho jingi

Nimehangaika sana nimehangaika mno sina namna ya kujikwamua sioni upenyo wowote yaani mbele sioni kabisakabisa ninaowadai wamenifungia simu zao na kuniblock mungu wape maisha mema unajua kujitoa kwangu kulikuwaje mpaka Leo nawaza hivi najua ni mapenzi yako ee mungu

Hii hali ilivyozidi kuwa mbaya siku hadi siku kule kijijini kulikuwa na mashamba ambayo walikuwa wakilima na kuyatumia wazazi wangu hivyo baada ya wao kutangulia mbele za haki baba mlezi kanipatia hayo mashamba NA kaniambia wazi kuwa niyauze ili nipate pa kuanzia lakini baada ya kuuza hayo mashamba ndo nimezidi kuumia kwa zaidi ya Mara mia zaidi

Pesa iliyopatikana niliamua kufanya ufugaji wa kuku lakini katika vifaranga 150 nilivyoanza navyo vilikufa na kubaki 11 tu na baadae vimefikia umri wa kutaga vikafa tena vikabaki 5 tu ambavyo niliamua kuuza kwa bei ya hasara

Nimefanya mengi bila mafanikio
Nimejiunga na shirika moja la ujasiriamali la utengenezaji bidhaa za viwandani lakini baadae likafungiwa maana lilikuwa halina usajiri kila nachogusa ndo kinaniumiza zaidi

Pesa niliyokuwa nimetunza sehemu iliyobaki baada ya kuuza mashamba kuna mtu kanishauri kuwekeza katika forex MUNGU WE MUNGU WE EEE MUNGU (MJINGA MM)

Jamani MUNGU nimekosa nini mm mbona kila jambo nalogusa sifanikiwi kibaya zaidi unaniacha nahangaika na kulala na njaa siku zote hizi mbona nikipata huwa nasaidia kila aliyeniomba msaada kwanini mm nipo hivi EE MUNGU NIMEKOSA NINI MM?

jamani nateseka sina cha kutegemea tena hali yangu imezorota sana nimekonda hakuna mfano, uso mzito maana Nina siku mbili ndani nimelala tu nashindia kulia tu sijala Leo naenda siku ya tatu

Jamani nimeingia huko forex nimeliwa kila kitu,TV na sabufa nimeuza kitanda nimeuza,simu nayo nataka niuze kwa ajiri ya nauli navyoenda kunywa sumu maana nimepanga kunywea mbali na meneo haya tena mtoni ili kupoteza ushahidi

Nimeshakata tamaa kabisakabisa naomba naomba kwa mwenye msaada wa mawazo yoyote ya kuninusuru maisha yangu anisaidie ,pia kama kuna mtu yeyote mwenye kuweza kunisaidia kupata ajira huko serikalini nisaidieni maana kama vyeti ninavyo na nimetuma maombi ya ajira Mara kadhaa serikalini bila mafanikio

Nisaidieni jamani nisaidieni jamani

Hapa chini utaona screenshot ya trade nilizounguza katika mfumo wa dola

Naombeni msaada wa hali NA Mali nisaidieni nisipoteze roho yangu kwa njaa ama kujiua

Naombeni msaada wenu nisaidieni mm msaada wenu tafadhali nipatiwe msaada
Wa mawazo
Au nipate ajira serikalini
Msaada hata pesa nitashukuru zaidi

Ahsante

Pia nimeambatanisha barua niliyoandikiwa na kijiji kipindi naenda chuo kama uthibitisho

Nimeandika ukweli mtupu japo tabu na mateso mengi niliyopitia sijaandika ila utayeguswa kwa namna yoyote ile nitashukuru kwa msaada wakoView attachment 1180631View attachment 1180647
Kijana Pole sana lakini Mpaka hapa wewe ni Mshindi na umeshafanikiwa vya kutosha. Nikushauri Nenda kanisani katoe huo ushuhuda mbele ya waumini nakuhakikishia siku hiyo ukikosa Kazi na kukosa mahala pa kuishi basi Endelea na Uamzi wako wa Kujiua. na Kupitia pitio lako utawaponya wengi. Nakuomba urud kunishukuru kwa ushauri huu. Mungu Amenituma usiku huu kuongea na wewe kuwa tayari wewe ni tajiri.
 
Ndugu Zangu
Ukikubali Kulaliwa Mwisho Utapasuka Utakuwa Kama Pono, Kulaliwa Kwa Dhuruma.
********************************************
Kuna Viambatanisho Hujaweka Vema Hasa Hasa Mikeka Ya Forex, Picture Yako Tuone Ulivyovimba Macho, Aliyekushauri Ucheze Forex Ni Nani Thread Tele Humu Jukwaani

Ama Ndiyo Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni. Utatupa Lawama.
Yule Jamaa Wa Forex Hasafishiki Hata Kwa Foma Gold.

Yaani Unauza Shamba, Kisa Kamari
 
Daa kweli kaka sikuwa natumia SL lakini pia kilichonifanya nibuy na kusell pair moja ni pale baada ya kuona account inaenda kuungua so nilifanya vile ili price isimove sana kwenye loss
HATUFANYI IVYO KWENYE FX, FWATA USHAURI NILIOKUPA. RUDIA KUSOMA KWA MAKINI POST YANGU.
 
Ndugu Zangu
Ukikubali Kulaliwa Mwisho Utapasuka Utakuwa Kama Pono, Kulaliwa Kwa Dhuruma.
********************************************
Kuna Viambatanisho Hujaweka Vema Hasa Hasa Mikeka Ya Forex, Picture Yako Tuone Ulivyovimba Macho, Aliyekushauri Ucheze Forex Ni Nani Thread Tele Humu Jukwaani

Ama Ndiyo Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni. Utatupa Lawama.
Yule Jamaa Wa Forex Hasafishiki Hata Kwa Foma Gold.

Yaani Unauza Shamba, Kisa Kamari
Ivi unaweza kucheza forex? Imekua mziki? Well, kama "ukicheza forex" lazima uone moto ila kama uta "trade forex" utaona mafanikio.
 
HAPA NILIPO NATAMANI HATA TONE LA USINGIZI LABDA MAWAZO YATATOKA ILA USINGIZI HAMNA KABISA YAANI
Young brother. Tupo wengi wenye shida pia, tupo wengi wenye sleepless nights ila tunajitahidi matatizo yetu yatujenge kuliko kutubomoa. Mungu akujaalie nguvu mdogo wangu ili ufike salama.
 
Hey wala usijiue.. mm yalinikuta hayo.. nilipoteza pesa forex 6000$ tena ya kuazima kwa watu tofauti karibu 20. Nilikaa ndan zaid ya 2 years .. sina kitu ...
But always God give second chance .. and other side of life...
Kama kufa , kupo tu subiri kikukute chenyewe ila si wewe kujiua..
Dont kill yourself
 
Ila wanajiua hua hawasemi zaid ya kuandika hosia tuu alaf unakuta kajitundika au kanywa sumu, anyway kazi maana wengine wanapitia magumu zaid yako ila wanapigana kimya kimya bila kulia o

Back
Top Bottom